Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.
Kiukweli hawa wanawake wa kichaga hasa hawa wanawake wa kutoka Machame ndiyo wife material kiukweli yaani mimi baada ya kumpiga chini yule Mnyantuzu nikaenda kwa hawa wanawake wa kichaga kutoka Machame kiukweli nimepata amani ya moyo na maisha yangu yanaenda sawa nimejenga nyumba 2 Machame...
Tukio la kusikitisha limetokea angani ndani ya ndege ya shirika la Kenya Airways (KQ) iliyokuwa ikisafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA), Nairobi kuelekea Lagos, Nigeria, baada ya abiria mmoja wa kiume kupoteza maisha kabla ya ndege hiyo kutua.
Jinsi Tukio...
Mamlaka ya Usafirishaji Simiyu haifanyi kazi kwa usahihi, kwani abiria wamekuwa wakitozwa nauli ambazo haziendani na umbali wanaosafiri. Mfano, umbali kutoka Bariadi mpaka Dutwa ni km 38, ambapo nauli inayotozwa ni Sh3,000, huku umbali kutoka Mwakibuga wa km 6 ukitozwa Sh2,000. Umbali kutoka...
Anonymous
Thread
bariadi
haziendani
kazi
kubwa
kutoka
kwenda
latra
mfano
nauli
simiyu
ufasaha
umbali
Kumekua na mijadala na hoja kadha wa kadha za kuwasagia kunguni wanawake wa kimatumbi toka kabila moja tukufu hapa nchini kwamba hawafai kufanywa wake wa ndoa.
Wapo wanaodai kwamba wanawake hao ni vibaka wakuzaliwa na kwamba wanapita na chochote ulichonacho.
Hata kama mwanaume unamiliki buku...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia katika hatua ya ziada ya kuboresha ufanisi wa huduma na kupanua miundombinu ya bandari zake, huku ikilenga kukabiliana na ongezeko kubwa la meli na mizigo pamoja na kuimarisha ushindani wa bandari nchini katika soko la kimataifa...
Nimeona ni muhimu sana kuwajulisha na kuwaandaa kisaikolojia, ili wakati muafaka ukifika msione kama ni surprise.
Chama hakina pesa kwa sasa na sio siri tena, chama kinapitia ukata mkali wa pesa za matumizi ya kawaida ya kuendesha chama kwa kiwango kibaya sana, na mchango wako wa hali na mali...
Nchini Tanzania, neno "Gamelang" (au linalojulikana rasmi kama Gemilang) linarejelea mabasi yenye muundo wa bodi (body) kutoka kampuni ya Gemilang Coachworks ya Malaysia, ambayo mara nyingi huwekwa kwenye chasis za Scania. Kampuni maarufu za usafiri nchini zilizowahi au zinazoendelea kutumia...
Kero yetu kwa upande wa Tabata, maji hayaotoki jamani tunakaa mpaka wiki mbili hadi tatu.
Mitaa ya Barakuda mpaka Shule mbona maji ya shida? Siku yakirudi yanarudi usiku Saa 10 mpaka Saa 11 alfajiri.
Baada ya Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Selemani Msindi "Afande Sele" kutoa maoni yake kuhusu ratiba ya treni ya SGR kutokea Mkoano Morogoro kuelekea Dar es Salaam. ufafanuzi umetolewa na Shirika la Reli Tanzania (SGR).
Alichokisema Afande Sele kipo hapa ~ Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa...
Wakuu.
Ikitokea, haujaridhishwa na mwenendo wa Bei ya mafuta, na unataka gari ambalo 99% misele Yako ni mjini bila kwenda nje ya mkoa wako, na unakaa Nyumba ambayo unaweza kupark gari na kuchaji, basi moja kati ya EV hizi zitakufaa;
1. Nissan Leaf (2018 - 2024)
Ni vizuri kuanza na gari...
Mwaka 1953, Pyongyang ilikuwa mrundikano wa majivu na kifusi. Marekani ilikuwa imedondosha tani elfu kadhaa za mabomu hivi kwamba hakukubaki hata jengo moja refu lililokuwa salama.
Leo, taifa hilo lililowekewa vikwazo vikali zaidi duniani si tu kwamba linatengeneza makombora ya nyuklia, bali...
Chuo kimepitisha waraka mpya unaoainisha kuongezeka kwa gharama za kuishi hostel, kulipia mitihani na mambo mengine hadi kufikia zaidi ya laki tano na hii ni njee ya ADA hivyo inatuthiri sisi wanafunzi tuliokuwa tunategemea BOOM ili kulipa ADA ambapo hatukupata asilimia mia moja lakini na muda...
Anonymous
Thread
chuo cha udsm
cost
direct cost
gharama za maisha
hali
kutoka
nzuri
udsm
wanafunzi
Walimu walioajiriwa hivi karibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC), huu ni mwaka wa pili sasa hatujapewa fedha za kujikimu, licha ya kuona watumishi wa idara nyingine wakilipwa.
Tunaomba mamlaka husika itusaidie kufuatilia suala hili na kuhakikisha na sisi walimu tunapatiwa...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
geita
geita dc
idara
ila
kujikimu
kutoka
mpya
mwaka
pesa
pesa za kujikimu
pili
walimu
walimu ajira mpya
Rapa nguli wa Marekani na mmiliki wa lebo ya Maybach Music Group (MMG), William Leonard Roberts II (Rick Ross), amejikuta katikati ya dhoruba kali ya kisheria nchini kwake. Hatua hiyo imekuja siku chache tu baada ya msanii huyo kujipambanua kama msifiaji mkubwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inalenga kuongeza uwezo wa kuhudumia mizigo hadi tani milioni 54, sambamba na maboresho ya miundombinu na huduma za bandari. Bandari ya Dar es Salaam tayari ilihudumia rekodi ya tani milioni 33.7 katika mwaka wa fedha 2025/2026, ongezeko kutoka tani...
Hivi karibuni, mwelekeo wa hotuba na matamko ya viongozi wengi wa umma nchini umeshuhudia mabadiliko makubwa yanayozua maswali mengi kuliko majibu. Kauli kama zile za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, zinazotoa vitisho vya kisaikolojia au kisheria kwa raia na madereva, zimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.