hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
 1. Nigrastratatract nerve

  Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

  Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani. Yaani kumbuka sasa hivi...
 2. Wakuperuzi

  Nataka kufanya DNA test ya watoto wa kaka kupitia mimi je inawezekana?

  Mwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu kama inawezekana ili nijiridhishe. Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hivi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yangu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbani kwajili ya...
 3. Jaji Mfawidhi

  Makonda ni Shujaa na hajawahi kufuta Kauli yake Hii hadharani!

  Mwenezi wa CCM Bwana "Daudi Albert Bashite" al maaruf kama Po Makonda, amekuwa na kauli tofauti tofauti dhidi ya mtu yeyote. So far kishawazodoa karibu viongozi wote,wa kisiasa na kidini isipokuwa aliyemteua. Unakumbuka kauli ipi kwa kiongozi yupi ? Nukuu tafadhali!
 4. Replica

  Gerald Hando: Watanzania wanataka sukari, usituambie tusitumie. Asema majibu ya Janabi na Chalamila ni dharau kwa watanzania

  Mwandishi wa EFM, Gerald Hando ameshangazwa na majibu ya sukari yaliyotolewa na Prof. Janabi yaliyoungwa mkono na mkuu wa mkoa wa Dar. Hando amesema ni mtazamo finyu kuwaza sukari ni chai pekee ilhali sukari inayotumika kwenye chai ni vijiko viwili. Hando amesema sehemu kubwa ya vitafunwa...
 5. 2019

  Kamata kamata ya sukari itaongeza tatizo kwa walaji, chonde Serikali acheni hii kitu

  Nimesikitika sana asubuhi kusikia viongozi wanajitamba kuwakamata wafanyabiashara wanaouza sukari bei juu...😜😁😁Nachrka kwa dharau. Unamkamata muha,mangi mwenye kirobba cha kg 25 kanunua 100,000 unataka uauzeje sukari? Yeye kanunua duka la jumla, kosa lake ni nini? Yeye hana kiwanda, kwanini...
 6. FRANCIS DA DON

  Je, hii ni sanamu ya nani, nasikia imezinduliwa Addis Ababa huko Ethiopia

  Sanamu yenyewe ndio hiyo hapo chini, ni sanamu ya nani hiyo?
 7. N

  Hii nchi ina mambo ya ajabu sana! Eti wanapima uzalendo kwa mtu kuteseka

  Kuna picha moja inatend ya mmoja wapo wa mtumishi wa Afya akiwa amebeba vaccine carrier kwa maana chanjo akivuka mto kwenda kutoa chanjo. Ile picha imenifikirisha sana kwanza yule mtumishi wa Afya ni mpumbavu,mjinga na hajielewi yaani unavuka kwenye mto ili iweje? Je, haoni hatari ilioje? Na...
 8. Mganguzi

  Baada ya Samweli Sitta spika wa viwango! Sasa ni Tulia Ackson Mwansasu homa ya jiji

  Bila unafiki, ushambenga, uchawa na ukurung'unzu wowote. Nasimama kusema katika umri wangu spika Bora niliyewahi kumuona na kumkubali alikuwa Samweli Sitta mzee wa viwango! Lakini kwa sasa nchi ipo mikono salama chini ya spika Tulia Ackson Mwansasu. Huyu mtu sio tu ni spika bali tumepata...
 9. Mjanja M1

  Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

  Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024. Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
 10. uran

  Usifanye hii Kazi, Hata Kama Maisha yakiwa magumu sana

  1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo. Hii kazi inauhusiano wa moja kwa moja na ukichaa. Katika tafiti yangu ndogo nimegundua wanaojihusisha na hii kazi lazima akili ziruke kidogo. Kuna mmoja hapo External alikuwa mzima kabisa hadi alipoanza kuzunguka na mfuko huko barabarani kutafuta...
 11. Equation x

  Wakuu, mlishakutana na hii hali?

  Mambo yamebadilika wakuu Zamani ilikuwa mwanaume ndio anaomba namba kwa mwanamke, na anaishia kuzungushwa zungusha na mwisho wa siku anaweza asipewe namba. Ila nyakati hizi mambo yamebadilika; wanawake ndio wanaomba namba, na ukimpatia tu; anaanza kukusumbua muweze kuonana na kupangilia...
 12. WeedLiquorz

  Hii ndio Injili yenye nguvu zaidi dunia ya sasa

  Salaam, Je, wewe ni Mchungaji au una ndoto ya Kumiliki Kanisa? Basi huitaji kutumia Nguvu nyingi, Pesa nyingi wala Muda mwingi kuzunguka huko duniani ukitangaza neno. Unachopaswa kufanya sasa: 1. Acha kabisa kukemea dhambi kanisani. 2. Jitahidi kuchekesha wakati wa ibada. 3. Jenga urafiki...
 13. Kiboko ya Jiwe

  Nimezunguka Gongolamboto sokoni hakuna sukari, hivi hii nchi ina uongozi?

  Daaaaahh Issue ndogo ya sukari ilipaswa kutatuliwa na kiongozi wa ngazi ya katibu mkuu wa wizara au Mkurugenzi wa bodi ya sukari basi. Lakini serikali yote iliingiza miguu yote na kuambulia kusombwa na maji. Sasa sukari hakuna kabisa. Watanzania msitegemee maendeleo kwa akili hizi za hawa...
 14. GENTAMYCINE

  Hivi hii ya Mgawo wa Umeme kuendelea hadi June 2024 nimeisikia mahala jana peke yangu tu au?

  Rais Samia alituambia kwa uhakika kuwa hadi Mwezi ujao Machi Mgawo hautokuwepo tena na TANESCO nao wakasema hadi Mwezi huu wa Februari kutakuwa hakuna tena Mgawo wa Umeme na hatimaye jana nimesikia ( labda niwe nimesikia vibaya ) kuwa sasa Mgawo wa Umeme tutaenda nao na utaisha Mwezi June...
 15. Suley2019

  Yanayojiri katika mahojiano ya Tundu Lissu Star TV leo Februari 16, 2024

  https://www.youtube.com/watch?v=IqmxT2cZNSM Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu yupo Star TV muda huu akifanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha The Big Ajenda. Fuatana nami katika uzi huu ambao utamulika baadhi ya hoja zinazoibuka: TUNDU LISSU KUHUSU LOWASSA NA KESI YA UFISADI DPP...
 16. Abraham Lincolnn

  Hili la umeme ni ishara tosha kwamba serikali hii ni failure, haipaswi kurudi

  Sasa hivi ukienda kila mahali na kila kona ya nchi, vilio vya umene vimetawala, mbaya zaidi ukiuliza sababu ya mgao wa umeme ni maajabu ya kushangaza kwani hakuna sababu yoyote ya msingi huku uongo na ahadi zilizojaa uongo mtupu zikitaradadi! Wakati huo kiongozi mkuu wa nchi anabadilisha tu...
 17. Mjanja M1

  Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu

  Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu Itazua Balaa! 😂
Back
Top Bottom