Kupitia mitandao ya kijamii, kumekuwepo taarifa inayodai kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, amejiunga rasmi Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chapisho hilo linadai: “Rasmi Freeman Mbowe ametimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM).”
Chapisho lina ujumbe ufuatao:Kwa muda mrefu...
Quantum Wealth Fund Taasisi inayojinadi kujihusisha na uwekezaji kwenye soko la hisa la DSE kwa ushirikiano na Orbit Securities Limited, ni kweli imesajiliwa BRELA?
Je inatambuliwa na mamlaka ya Masoko na Mitaji?
Je inalipa kodi kwa shughuli inayojihusisha nayo ya kupokea pesa kutoka kwa...
Haijabainika maramoja, sababu wala lengo la uamuzi huo wa Lema kisiasa. Wala haijawekwa wazi atatangaza uamuzi huo kabla au baada ya hukumu ya mwenyekiti wa chadema taifa.
Una maoni gani dhidi ya hatua hii ya lema ndani ya chadema? Kuna mahali anaelekea kufanya siasa na kupata changamoto mpya...
☰
بسم الله الرحمن الرحيم
Shukrani zote anastahiki Allah mola mlezi wa walimwengu wote
Sala na salaam zimwendee Mtume wetu Muhammad- swalla llaahu alayhi wasallam- na jamaa zake na Maswahaba zake na watakao wafuata hao mpaka siku ya mwisho.
Ama ba'ad:
Vipengele hivi ni katika kubainisha...
Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame.
Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea.
Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm
Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
Yaani kwa Ufupi, hakuna anayejali kuhusu Tanganyika. Mtajijua wenyewe.
Mlima Kilimanjaro unawaka Moto, Watendaji wa Serikali ni kama hakuna kilichotokea.
Malori yamegoma, lakini watendaji wa Serikali wapo kwenye Vikao vya posho.
Nchi haina mwenye. Shamba la Bibi. Polisi wanalwta vitisho...
Mke wangu ana matatizo ya mcho ya kuona mbali aliwahi kuugua macho akapona kama miaka 8 imepita.
Sasa nimejaribu kufatilia kidogo nikasikia kitu kinaitwa mtoto wa jicho na matibabu yake ni kubadilishiwa lensi tu.
Basi shida yangu nataka kujua makadirio ya matibabu yanaweza kufikia kiasi gani...
Aliyekuwa mwajiriwa wa CHADEMA kama Katibu wa Kanda ya Serengeti kuanzia Julai 27, 2013 hadi Desemba 31, 2020 anaendelea kupigania haki yake katika Mahakama kufuatia kuzungushwa na uongozi wa CHADEMA kwa muda mrefu, huenda Nzemo akalipwa fedha zake baada ya kutumia nguvu ya kisheria kudai haki yake.
Nimejikuta nawaza kama mzazi umezaa mtoto umemlea kwa kadiri ya Mungu alivyokujalia, mara mtoto anakuwa anajiingiza kwenye maisha ya utapeli na kulikana jina la ukoo wako wewe kama Baba mzazi utajisikiaje?
Wapo watoto wa ukoo wenye jina lao la Nyerere na hawashoboki nalo mfano mtoto wa kike wa...
Naishi Zanzibar, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi B, ni mtumiaji wa Mtandao wa Halotel kwa takribani miaka nane sasa, lakini kwa kipindi hiki nimekuwa nikikumbana na changamoto ya kutopatikana kwa huduma ya mtandao katika baadhi ya maeneo.
Nikifanya safari kutoka Mkoa wa Mjini...
Mamia ya malori yamekwama bila kufanya kazi katika mpaka wa milimani wa mashariki mwa Uturuki, kwenye njia kuu ya kuingia Iran. Kituo hicho cha mpakani kimekuwa muhimu zaidi kiuchumi kwa Tehran, huku Jeshi la Wanamaji la Marekani likiweka vizuizi katika bandari za Iran.
Rais wa Iran, Masoud...
Maisha ya Mtanzania yana thamani gani?
Ni swali najiuliza kila siku linapokuja maswala ya majanga hapa nchini ya maji, moto, ajali za barabarani na mengineyo.
Ajali ya ghorofa kaiakoo, ilichukua wiki kufanya zoezi la uokozi
Meli kuzama Zanzibar na Lake Victoria mpaka leo bado kuna...
Ni gari dogo zuri tu, binafsi kwaajili ya matumizi yake mwenyewe na ya familia yake, kama ambavyo pia aliwahi kupewa na marafiki zake kipindi cha hapo nyuma.
Je,
kwa hali ya kisasa ilivyo ndani na nje ya chadema kwasasa dhidi yake, unadhani ni wakati muafaka kwa kiongozi huyo kupokea gari hilo...
Mzozo kati ya majirani umeibua mjadala kuhusu haki, mipaka na namna tunavyoshughulikia migogoro katika maeneo tunayoishi.
Mwanamke mmoja amesimulia jinsi alivyokasirishwa baada ya jirani yake kudaiwa kutupa duvet yake mara kwa mara. Badala ya suala hilo kumalizika kwa mazungumzo, hali ilizidi...
Rais William Ruto akiwa New York, Marekani, alipata wakati wa kukutana na mwanamke kutoka Nigeria aliyemkaribia na kumshukuru kwa kile alichosema ni mchango wake kwa Afrika.
Katika video hiyo, mwanamke huyo anamwambia Ruto, “Your Excellency, we want to thank you…”, huku akieleza shukrani zake...
Nina jamaa yangu ambaye mdogo wake ni Mwandishi wa Habari katika chombo cha habari cha mtandaoni (Online TV), anasema kila kunapokuwa na Press Conference ya Mwaipopo, lazima wanahabari wapate hela. Hata kama waandishi ni zaidi ya 30, kila mmoja anachukua chake kisichopungua Sh. 50,000. Pia...
Anonymous
Thread
conference
mwaipopo
nani
press conference
wanahabari
zake
Win 95: Sauti yake maarufu ya kuwaka (startup sound) ilitengenezwa na mwanamuziki Brian Eno akitumia kompyuta ya Mac!
Win 98: Ilileta "Blue Screen of Death" (BSOD) live jukwaani mbele ya Bill Gates wakati akionyesha muunganiko wa USB.
Win Me: Ilikuwa na crash nyingi hivi kwamba watumiaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.