kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. Bani Israel

    Je! kuna Bifu kati ya staff wa tanesco na dawasa?

    leo nimeshuhudia sijui ni bifu au tuseme ni kituko gari ya tanesco yenye wafanyakazi ilipokutana na ya dawasa kwenye foleni Mwenge basi yakaanza matani dawasa wanaitwa chura nao wanawaita wa tanesco popo yakaanza matusi sasa 🤣🤣🤣
  2. mwanamichakato

    Currency swap kati ya Tanzania na China, India, Turkey kukabiliana na uhaba wa Dola

    Kuna biashara kubwa sana (inayohusisha mabilioni ya fedha) baina ya nchi yetu na China, India, Uturuki, Afrika Kusini n.k. Taifa letu bado ni tegemezi katika kuagiza vitu, vifaa, chakula, nguo na mengine toka katika nchi mbalimbali. Hili linafanya wafanyabiashara wanaoagiza kuhitaji na kutafuta...
  3. K

    Ipi gari bora kati ya Carina Ti au Premio old model?

    Wapendwa nahitaji kununua gari kati ya Carina Ti na Premio old model ipi ni bora?
  4. De Opera

    Ipi ni fasaha kati ya 'Njozi' na 'Njonzi'?

    Wakuu kwema? Nahitaji kujua usahihi wa maneno haya kati ya Njozi na Njonzi. Nimekuwa nikisika wengi wakati wa usiku wakitakiana njonzi njema, wengine njozi njema. Lipi ni neno sahihi? Ahsanteni!
  5. L

    Maonesho ya Uagizaji na Mauzo ya Nje ya China ni mfano wa kunufaishana kati ya China na dunia

    Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji wa Bidhaa ya China, maarufu kama ‘Canton Fair,’ yameanza tarehe 15 mwezi April mjini Guangzhou, mkoa wa Guandong, hapa China. Katika maonyesho ya mwaka jana, idadi kubwa ya kampuni zilishiriki, na mwaka huu, idadi hiyo imeongezeka tena kwa kiasi kikubwa...
  6. N

    Nani anastahili huruma kati ya Israel na Palestine?

    Sina maelezo mengi wote wenye akili timamu tumeona biasness, hypocrites, na double standard nyingi kwenye huu mgogoro. Media coverages ni full of biasses kila mmoja amechukua upande, je nani anastahili huruma. Alianza kushambuliwa israel kisha akajibu mapigo je who deserve sympathy.
  7. profesawaaganojipya

    Ipi kampuni bora ya bima ya magari kati ya hizi?

    Wakuu, kati ya kampuni hizi hapa ipi ni bora kwa ajili ya bima ya gari?
  8. BARD AI

    Kati ya Idris Elba na Djimon Hounsou unamkubali Mwigizaji gani hapo?

    Movies za Idris Elba Bastille Day Sean Briar Finding Dory Fluke Voice role 100 Streets Max Star Trek Beyond Krall / Balthazar Edison 2017 The Dark Tower Roland Deschain Molly's Game Charlie Jaffey The Mountain Between Us Ben Bass Thor: Ragnarok Heimdall 2018...
  9. Influenza

    Huenda mgogoro wa Kidiplomasia ukaanza kati ya Tanzania na Malawi baada ya uboreshaji wa Bandari ya Mbamba Bay kuanza

    Tanzania na Malawi ziko ukingoni mwa mvutano wa Kidiplomasia kufuatia uamuzi wa Tanzania kuboresha Bandari ya Mbamba Bay, iliyoko kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa. Malawi imeilaumu Tanzania kwa kuanzisha mradi wa kuboresha na kupanua Bandari ya Mbamba Bay kwenye Ziwa Nyasa bila kuomba ridhaa, huku...
  10. M

    Waziri Simbachawene ingilia kati mfumo wa ESS unakwamisha maisha ya Watumishi

    Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi. Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal. Lakini mpaka sasa huduma nyingi...
  11. Webabu

    Israel imeshambuliwa kwa aibu na uzito wa kujibu ndio huu hapa

    Kutokana na taarifa za ukubwa wa jeshi la Israel na umiliki wa silaha za kisasa,haikutarajiwa kwamba kungetokea nchi yoyote ile ikajiamini kuirushia makombora kulenga maeneo yake muhimu hasa ikizingatiwa kuwa iliwahi kuyashinda mataifa kadhaa ya kiarabu mwaka 1967 katika vita maarufu vya siku 7...
  12. matunduizi

    Tofauti kati ya vitukuu vya mzungu na vitukuu vya mtu mweusi. Miaka 137 iliyopita na leo

    Mercedes benzi miaka 137 iliyopita na leo. Mswahili akipanda miaka 137 iliyopita na leo.
  13. The Sheriff

    Rais Cyril Ramaphosa kuzuru Uganda katika ziara ya kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    Rais wa Afrika Kusini anaanza ziara ya siku mbili nchini Uganda leo, miezi baada ya nchi yake kutuma wanajeshi chini ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kupambana na waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wizara ya Mambo ya Nje ya Uganda ilisema kuwa ziara ya...
  14. Yoda

    Kwanini Mashariki ya Kati ni eneo korofi lisilopata utulivu watu wanaishi ngumi mkononi?

    Eneo la Mashariki ya kati ni kama eneo lenye laana fulani hivi ya vurugu. Tangu nimeanza kupata akili za kufuatilia habari sijawahi kusikiliza taarifa ya habari katika redio au TV bila kusikia kuna watu Mashariki ya wakati wamezinguana. Yani huwa hakuna kutulia, ukiachilia mbali mgogoro wa...
  15. F

    ITIFAKI: Ni nani Mkubwa kati ya Waziri Mkuu na Spika wa Bunge?

    Nimekuwa nikitatizwa ktk tifaki za serikali ya JMT. Waziri Mkuu amekuwa akimtangulia Spika wa Bunge ambaye ni kiongozi wa Muhimili. Waziri Mkuu ni kingozi wa shughuli za serikali Bungeni. Mkubwa wake ni Spika wa Bunge. Nimeona ktk Msiba ya Lowassa na Kumbikizi ya Miaka 40 ya kifo cha Sokoine.
  16. econonist

    JWTZ na Waziri Mkuu ingilieni kati huu utapeli

    Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu. Ukienda pale ikulu Zanzibar hayupo mtu Kama huyo na ukienda kwenye data base ya JWTZ Hilo jina halipo...
  17. HIMARS

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Jordan imefunga matumizi ya anga lake kwa ndege za kiraia baada ya mfumo wa GPS kutokuwa sahihi. Nchi zingine ni Kuwait, Iraq, Syria, Bahrain
  18. ndege JOHN

    Uhusiano kati ya kipaji na mapendeleo yako

    Kipaji Ni uwezo yaani watu wanakuwa na maslahi na kile ulichonacho wakati hamu ni mapendeleo ni hisia ama tamaa unayokuwa na shauku nayo juu ya kitu /jambo fulani linalokuvutia. Ili kukitambua kipaji chako lazima uwe makini kwenye shughuli za kila siku au matendo unayoyatenda Kila siku yapi...
  19. Webabu

    Walafi wanaziteka sherehe za Idi. Serikali iingilie kati

    Waislamu wanatumia muda wa mwenzi mzima kwa ibada nzito ya kufunga na pia wanatumia gharama nyingi kwa maandalizi ya sikukuu ya idi ambayo nayo kusherehekea kwake kuna maelekezo ya kiibada. Kuna mafisadi walafi na makafiri huwa wanawaangalia tu waislamu ili ifikapo siku ya idi wawaharibie kila...
  20. Erythrocyte

    Tangu lini Idd ilisherehekewa kwenye vivuko? Huu ndio uchumi wa Kati? Mwigulu tunaomba majibu

    Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi. Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania? Jamani umasikini ni dhambi na ni laana kuu hatutakiwi kujivunia.
Back
Top Bottom