There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Kila siku tunasikia taarifa za ajali zinazopoteza maisha na kuacha familia zikiwa na majonzi. 😔 Hamna mtanzania ambaye yupo salama ambaye anatoka asubuhi kwenda kutafuta. Polis wa usalama barabarani fanyeni kazi kwa weledi ajali zinaepukika.
Tuwe makini barabarani:
🚗 Epuka mwendo kasi.
📵...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili kuungwa Mkono kwa kazi kubwa na njema aliyoifanya ya kulivusha Taifa letu katika nyakati Nguma na za...
Abdallah Msofe Abdallah alipojiunga na Kampuni ya Uhandisi wa Bandari ya China (CHEC) miaka sita iliyopita, alianza kama mfanyakazi wa kawaida katika mradi wa ujenzi jijini Dar es Salaam.
Leo, Mtanzania huyo anahudumu kama meneja wa rasilimali watu katika mradi mpya wa bandari ya Zanzibar...
Sifa zote ziende kwa mwenyezi mungu muumba mbingu na dunia. Vyote tuvionavyo duniani ni mungu alipanga na kiliandikwa kwenye kitabu cha enzi cha Mungu.
Binadamu wewe ni nani kuanza kuhoji au mpaka kukejeli muonekano wa kiumbe cha mungu kama sio ushetani ni nini. Hii ardhi ni ya mwenyezi mungu...
Wanabodi
Hili ni bandiko la swali kuhusu neno "zazwa" na neno " zuzu".
Naomba kuanza na usaidizi wa AI
neno zazwa mazwazwa na neno zuzu, mazuzu
Maneno haya yote mawili yanatumika kuelezea mtu mjinga, asiye na uzoefu, au mtu anayedanganyika kwa urahisi. Hata hivyo, yana utofauti mdogo katika...
Hellow wana JF.
Saizi mitandaoni, maredioni na viongozi wa jiji la Dar es salaam kuanzia mkuu wa mkoa, wabunge mpaka balozi wa nyumba kumi wanajifanya kukomalia usafi kwasababu Mh Rais alisema Dar es salaam ni chafu sana.
Inamaana Mh Rais asinge sema jiji lingeendelea kuwa chafu na kunuka...
Mimi sio mashabiki wa siasa
Ninacho penda ni real changes sio kubwabwaja tu.
Je, kwa kinacho endelea na vuguvugu hili la kisiasa kuna any possibilities ya any changes any soon?
Au ndo tunajiburudisha tu kama miaka yote? Na CCM watarudi na kitu kipya? Na kutufunika macho kama kawaida yao?
Je...
Serikali imewataka Watanzania kuepuka kuingiza nchini gesi zilizopigwa marufuku na vifaa vinavyotumia gesi zinazoharibu Tabaka la Ozoni, ikiwemo majokofu na viyoyozi vilivyotumika, ili kulinda mazingira na kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi.
Wito huo umetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi...
TUNAJUA ,baada ya kusogeza Mbele Kikao cha Baraza Kuu, tuliwavuruga sana , tulivuruga mnoo michongo yenu Ovu.
Sasa sisi tunawaambia Leo 15/9/2026, ikawe kumbukumbu.
Kama ambavyo MBOWE kadharauliwa na Wananchi, ndivyo nanyinyi mtaenda kua hivohivo !!.
Unapenda sana Kumtumia Mungu, Sasa...
Wana JF natumai hamjambo kabisa
Kuna wimbi limeanza kusambaa sasa la baadhi ya watanzania kuleta taharuki ambazo hazina mbele wala nyuma.
Kuhusu suala la kutokuonekana hadharani Balozi Dk. Emanuel John Nchimbi imefikia kwa baadhi ya watanzania kuleta stori ambazo zinaibua hisia hasi vichwani...
Ndungu zangu tujenge utamaduni wa kukomba chakula kwenye sufuria au sahani. Haiwezekan wakati binadamu kwenye mataifa mengine wanalia njaa, huku sisi tunatupa vyakula.
ona chakula kingi kilivyobaki, hii si sawa nimemwambia binti achukue maji ya kunywa asuuze anikusanyie viukoko kwenye kikombe...
WATANZANIA wana sifa moja kubwa sana ambayo mpaka leo mataifa mengine duniani wanashindwa kuelewa ni watu wa aina gani. Watanzania ni watu ambao wanaunganishwa kwenye jamii zao kwa mambo ya kijamii ikiwemo misiba na sherehe na mambo mengine ya namna hiyo.
WAKATI nchi zingine watu wanaalikwa...
Lazima tukubali ukweli kwamba Waswahili na Wabantu hatuna historia kubwa kuu ya kale kihivyo na kwa hiyo hatuna mengi ya kujifunza, kuchangamsha na kuimarisha misuli ya bongo zetu kutoka kwenye historia yetu na tamaduni zetu wenyewe na kati yetu.
Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa tunahitaji...
Mimi naona kuna kitu CCM inapaswa kukielewa vizuri kuhusu Watanzania. Watanzania kwa ujumla ni watu watulivu sana. Wengi hawataki maandamano, hawataki vurugu, hawataki nchi isambaratike. Mwananchi wa kawaida anataka maisha yake, biashara yake, familia yake na amani yake. Lakini pamoja na hayo...
Nipende kutoa rai kwa watanzania kuacha kushabikia kitendo kilichofanywa na Daktari kupigana na askari tena akiwa katika majukumu yake. Mambo kama haya yakishabikiwa kila mtu kuchukua sheria mkononi Tutahatarisha usalama wetu wenyewe
Hili ni jambo baya na Nashauri Dr. Aliefanya jambo hili...
Maneno ya Wasira yameonyesha mambo matatu makubwa sana ambayo bila shaka si Watanzania walielewa mpango huu muovu wa CCM;
CCM hawako tayari Tanzania iwe na Katiba Mpya
CCM waliamua kutumia kisingizio cha Octoba 29 kama kizuizi cha kuwa na katiba mpya
CCM waliamua kumfukuza Nchimbi kwa sababu...
Tangu Rais Rutto aseme foreigners wanaofanya kazi ndogo ndogo wanapaswa kurudi kwao kuanzia Jumatatu hii ya juzi, baadhi ya Wakenya walianza kuingia barabarani Jumatatu na kufukuza Burundians warudi kwao kwa sababu wanadai wamejaa maeneo ya mijini wakiuza kahawa, kitu ambacho baadhi ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.