Hapo vip!
Za chini ni hivi kuna kiongozi wa yanga mpumbavu sana yule mtu,ameone hii darby yanga anaenda kupoteza hivyo anatumia njia mbadala ya kuta kuwarubuni wale key players wa Simba ili wacheze chini ya kiwango ili apate ushindi.
Na hili linaanza kutupa wasiwa kwa darby iliyopita kwa baadhi...
Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira...
Uchambuzi wa kina wa soka la Bongo uliotolewa na wachambuzi wa michezo, Hans Raphael na Juma kupitia kipindi cha Crown Plus, umeweka wazi mwenendo wa klabu za Simba SC na Young Africans (Yanga) kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, huku ikibainika kuwa Simba wameanza maandalizi kabambe ya usajili wa...
1. Samia Yanga.
2. Ndejembi Yanga
3. Mwigulu Yanga
4. Mzabuni mkubwa wa nondo kwenye mradi wa SGR (GSM) Yanga.
Tatizo liko wapi? Engineer jitafakari. Umetumia bilioni 15 kusajili, Simba wametumia bilioni 5 tena za mali kauli.
Ubora wa wachezaji waliopo yanga hauendani na hili boko wanalotoa. Tangu engineer amfukuze Gamondi kisa Gamondi kamwambia ukweli, timu imekosa mwelekeo, inashinda kiujanja ujanja.
Engineer alikuwa anawaharibu wachezaji Gamondi akamchana kuwa si vizuri kujenga matabaka wakiwa Serena hotel...
Hapo VIP!
Unajua yanga ni club inayoafanya maandalizi kwa kutumia mbinu nyiingi sana ,hususana akiwa Na match Na mtani wake Simba sc,yanga yupo tayari kutumia mbinu yeyote zagizani au zinazoonekana..mfano wameanza kuandika barua TFF kuomba kadi nyekundu ya Aziz-key kufutwa,wapo serious..wakati...
Sitarajii TFF iwe na huruma na hawa waamuzi wanaofanya makosa maksudi licha ya wao kuwa na nafasi ya kupitia maamuzi yao kupitia vfs.
TFF wawe na standard katika kushughulikia makosa yanayofanywa na wachezaji pamoja na waamuzi.
Mfano ni Eli Sasii ambaye ameshindwa kutoa adhabu sahihi kwa beki...
Yanga ni master mind sana hapo tutegemee kuroga uwanja ili Simba asishinde hio tarehe 10 wao wanatumia KMC stadium ila imekuwa ghafla kutaka kucheza mechi ya kirafiki uwanja wa uhuru ambao Simba anautumia kama uwanja wa nyumbani wamekuja ili wafukie matunguli yao uwanjani .
Simba kama Yanga...
Kwa miaka kadhaa kumekuwa na malalamiko ya waamuzi kuchezesha kwa maelekezo ya timu zenye uwezo wa kifedha ama nguvu serikalini.
Kwa kupunguza ama kuondoa kabisa malalamiko kama hayo TFF ilifanya jambo la maana sana kuleta vfs iliyokusudiwa kupunguza makosa ya kibinadamu.
Hata hivyo bado...
Timu zote za Zanzibar zatolewa katika michuano ya Shirikisho na Klabu bingwa barani Afrika.
Huku timu za Tanzania Bara (Tanganyika) zikibaki na kuendelea na raundi ya pili ya mtoano kabla ya makundi.
Simba atakutana na 15 De Agosto kutokea huko Equatorial Guinea (Guinea ya Ikweta) ambayo ndio...
Yanga watafungiwa kucheza mechi bila washabiki uwanjani kwa kosa hilo wewe mshabiki wa Simba huyo mshabiki ni wa hovyo sana pia inawezekana akawa mshabiki wa Simba alievaa jezi ya Yanga inatakiwa afuatiliwe sana kumjua vizuri zaidi.
Mpira sio uadui; mpira ni furaha, burudani na umoja. Kitendo kinachodaiwa kufanywa na kiongozi wa Yanga cha kumpiga ngumi kocha wa Gaborone United kinaharibu taswira ya mpira wa miguu nchini Tanzania.
Matukio ya aina hii yanaweza kugeuza mpira kuwa uhasama, jambo ambalo ni hatari zaidi katika...
Hili tukio la kumshambulia Kocha wa Timu Gaborone sidhani kama Timu yetu ya Yanga itapona mbele ya panga kali la CAF.
Hizi tabia za kijinga washabiki wataacha lini?
Kocha wa Timu ya Gaborone United ya Botswana, Sean Connor amesema kikosi chake kimejipanga kwa nidhamu, umakini na mbinu kuhakikisha kinapata matokeo dhidi ya Young Africans, akieleza kuwa wamebaini maeneo ambayo wanaweza kuyatumia kuisumbua Yanga katika mchezo huo.
Amesema Yanga ilionyesha...
Kikosi cha Yanga SC kimepata ingizo la nguvu kuelekea mechi zinazofuata za msimu baada ya beki Dickson Job na mshambuliaji Clement Mzize kupona kikamilifu na kuruhusiwa kurejea uwanjani.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ali Kamwe, amethibitisha kuwa idara ya matibabu imewakagua...
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, amewataka washambuliaji na mabeki wake kuingia uwanjani wakiwa na umakini wa kiwango cha juu, akisisitiza kuwa ufanisi wa kufunga na uimara wa safu ya ulinzi ndizo zitakazokuwa silaha kuu za kuing’oa Gaborone United ya Botswana.
Mchezo huo wa marudiano...
Kiungo mchezaji , Clatous Chama, ameibua gumzo kubwa kwenye ulimwengu wa soka nchini baada ya kutishia kuweka wazi ushahidi wa mazungumzo ya faragha (chat) kati yake na Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said.
Chama anadai kuwa wakati wa mchakato wa usajili wake uliomng'oa kutoka kwa watani zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.