rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
 1. Rashda Zunde

  Rais Samia alivyochochea ukuaji wa uwekezaji kwenye sekta mbalimbali nchini

  Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa taarifa kuhusu mwenendo wa hali ua uwekezaji nchini katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais wa awamu ya sita, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kueleza kwamba jumla ya miradi 575 imesajiliwa sawa na ongezeko la asilimia 26. Mchanganuo wa...
 2. J

  Tundu Lissu aache kumkebehi Rais Samia

  Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona. Lissu alidai tena aliponea kuuawa mara ya pili baada ya uchaguzi kumalizika na akaokolewa na ubalozi wa Ujerumani. Rais Samia ambaye ndiye...
 3. Roving Journalist

  Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lilioandaliwa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) katika Ukumbi wa Kuringe - Mkoa wa Kilimanjaro leo tarehe 08 Machi, 2023. Rais Samia akipokelewa na Viongozi wa Chadema...
 4. benzemah

  Mbunge wa Sengerema afunguka mafanikio ya Rais Samia na ukweli kuhusu uwepo wa Sukuma Gang

  Mbunge wa Sengerema, Tabasamu Hamisi Mwagao amesema kipindi cha Miaka Miwili ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan imekuwa ya Mafanikio katika Sekta mbalimbali ikiwamo Nishati, Maji, Elimu, Afya na Miundombinu katika Mkoa wa Mwanza huku akikana uwapo wa...
 5. benzemah

  Rais Samia kununua kwa milioni 10 kila goli la Taifa Stars kufuzu AFCON

  Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila goli ambalo Taifa Stars itafunga katika michuano ya kufuzu fainali ya michuano ya AFCON inayoendelea. Taarifa iliyotolewa leo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa imesema Rais Samia ameahidi kuanza kutoa...
 6. Stephano Mgendanyi

  DC Victoria Mwanziva: Miaka Miwili ya Rais Samia imekuwa ya Neema na Baraka tele kwa Wana-Ludewa

  DC VICTORIA MWANZIVA - MIAKA MIWILI YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN NDANI YA WILAYA YA LUDEWA Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva amesema; kwa hakika Miaka Miwili imekuwa ya Neema na Baraka tele kwa Wana-Ludewa, kwani Rais Samia amekuwa akiitazama Wilaya kwa jicho la upekee sana...
 7. B

  Rais Samia awezesha ndege mpya ya mizigo kutua Aprili

  Rais Samia awezesha ndege mpya ya mizigo kutua Aprili. Na Bwanku Bwanku. Ndege mpya ya mizigo iliyoagizwa na Serikali ya Tanzania kutoka nchini Marekani inatarajiwa kupokewa nchini mwezi Aprili mwaka huu ili ianze mara moja kuendelea kufungua uchumi wa Taifa kupitia usafarishaji wa mizigo...
 8. benzemah

  Wakati Rais Samia anaibeba sekta ya michezo, TFF wanaturudisha kwenye migogoro ya enzi za FAT

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu amejipambanua kuwa mpenda michezo na amekuwa mara kadhaa akiunga mkono sekta hii kwa vitendo akitoa hamasa na zawadi mbalimbali kwa michezo tofautitofauti. Tumeshuhudia Serikali yake ikiondoa kodi katika nyasi bandia ili kuboresha viwanja...
 9. Stephano Mgendanyi

  Mbunge Juliana Shonza: Miaka Miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan Imekuwa Chachu ya Mafanikio kwa Taifa

  MBUNGE MHE. JULIANA DANIEL SHONZA - "MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN IMEKUWA CHACHU YA MAFANIKIO KWA TAIFA Mbunge wa Viti Maalum CCM Wanawake (UWT) anayetokea Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza amempongeza Rais Samia kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani huku akijikita kwa...
 10. Kabende Msakila

  Vyama vya Upinzani wanamsifia Rais Samia au CCM?

  WanaJf salaam! Najiuliza tu, kwamba shauku ya Rais Samia ni kuendelea kuongoza nchi hii kupitia chama chake cha CCM, tena anapenda chama kishinde uchaguzi katika mitaa na vijiji 2024. Kisha ashinde nafasi za Ubunge na Urais. Wakati huo upinzani umeshamuona kama kiongozi mwenye msimamo wa kadri...
 11. SemperFI

  Wanafunzi, Wazazi wamlilia Rais Samia kuhusu matokeo yaliyofutwa

  Wanafunzi 140 wa shule ya sekondari Thaqaafa ya jijini Mwanza waliofutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka jana wamemwomna Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati kwa kuziagiza mamlaka husika kuwapa fursa ya kurudia kufanya mitihani ya kidato cha nne. Wakazungumza na waandishi wa...
 12. T

  Rais Samia ndio Magareth Thatcher wa leo, Mwanamapinduzi na Mwanamageuzi wa kweli

  Mihula mitatu ya uongozi wa mwanamama shupavu aliyekuwa Waziri mkuu wa Uingereza Magareth Thatcher kutoka 1979-1990 ilihitimishwa kwa mabadiliko makubwa nchini Uingereza. Ni misimamo yake mikali iliyopelekea akapewa jina la 'The iron Lady' Historia ya Margareth Thatcher ni ya kusisimua sana...
 13. N

  Watanzania wengi wanasema Rais Samia anaendelea kuvunja rekodi

  Tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu aliahidi vitu vingi na akasema yeye amekuja na nguzo nne zitakazomuongoza katika uongozi wake ambazo ni Maridhino, Ustahimilivu, Mabadiliko pia Kujenga upya. Tumeona amezifanyia kazi nguzo zote nne na sasa yuko katika ujenzi wa Tanzania mpya. Rais Samia...
 14. benzemah

  Ukaguzi wa CAG 2021: Halmashauri zilizopata Hati Mbaya zimepungua

  Mwaka wa fedha 2020/21 Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kuhusu ukaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonesha kuimarika ikiwa ni kielelezo kuimarika kwa usimamizi wa fedha katika ngazi hiyo. Halmashauri zilizopata Hati...
 15. benzemah

  Miaka miwili ya Rais Samia: Halmashauri zavuka malengo ukusanyaji mapato

  Katika miaka miwili ya uongozi wa awamu ya Sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Halmashauri nchini zimevuka malengo ya makusanyo ya mapato yaliyowekwa. Mwaka 2021/22 halmashauri zilikusanya mapato ya ndani ya Sh bilioni 888.7 kati ya Sh bilioni 863.86...
 16. Stephano Mgendanyi

  Martha Nehemia Gwau: Miaka Miwili ya Rais Samia Madarakani "Singida Tunasimama na Samia"

  MHE. MARTHA N. GWAU - MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA MADARAKANI "SINGIDA TUNASIMAMA NA SAMIA" Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Martha Nehemia Gwau katika kuadhimisha Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Madarakani amesema "Singida...
 17. M

  Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani

  ~ Tozo kandamizi. ~ Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani. ~ Maisha kupanda bei, leo hii kula mlo mara mbili ni anasa. Maana maharage tu ni Tsh. 3,000. ~ Kufutia mafisadi makosa huku wasio na urafiki nae wakisota gerezani ~ Ndege za waarabu kushusha makontena hifadhi za taifa.
 18. I

  Kuna jambo linasahaulika kuhusu Rais Samia

  Mambo mengi yametajwa kuhusu mafanikio ya Mhe. Samia Suluhu Hassan katika miaka hii miwili, lakini kuna jambo kubwa sana ambalo bila kulisema hayo mengine yote ni bure na hayana maana. Ni kuhusu kujenga FAMILIA. 1. Rais ameunganisha familia- Watu wengi walikuwa magerezani, mahabusu...
 19. I

  KUNA JAMBO LINASAHAULIKA KUHUSU RAIS SAMIA

  Mambo mengi yametajwa kuhusu mafanikio ya Mhe. Samia Suluhu Hassan katika miaka hii miwili , lakini kuna jambo kubwa sana ambalo bila kulisema hayo mengine yote ni bure na hayana maana. Ni kuhusu kujenga FAMILIA. 1. Rais ameunganisha familia- Watu wengi walikuwa magerezani, mahabusu...
 20. kipara kipya

  Tunampongeza Rais Samia kwa mazuri anayofanya; tusisahau aliyemteua kuwa mgombea mwenza wake!

  Maisha yapo kasi sana wakati tunaendelea kumwaga pongezi za utendaji mzuri wa mama Samia Rais wa JMT katika kipindi cha miaka miwili. Tumshukuru pia aliyemteua na kumpa nafasi ya kuwa mgombea mwenza wake mpaka makamu wa raisi mpaka kufikia uraisi wa katiba katika nchi yetu. Tumpe haki yake...
Top Bottom