miaka 60

This article lists the major characters from the manga series Fushigi Yûgi, its anime adaptation, and the prequels Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden and Fushigi Yûgi: Byakko Senki.

View More On Wikipedia.org
  1. bless on

    JamiiForums Tanzania Usifikishe Miaka 60 Bila Kufanya Haya 6

    Wengi wanapenda kuiongelea miaka 40 Ila Mimi nitakuwa tofauti kidogo 👇 KABLA HUJAfikisha MIAKA 60, HAKIKISHA UMEFANYA MAMBO HAYA 6: 1. Jenga nyumba yako. Hata kama ni ya vyumba viwili, kuwa na makazi yako mwenyewe kunakupa utulivu, heshima na usalama wa maisha unapostaafu. 2. Weka akiba ya...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru, umeme ni WA grid ya Taifa unakatika masaa 5, usalama wa nchi u wapi?mwizi wa RASIRIMALI akiukata anatuua wote

    Miaka 60 ya kujitawala, Taifa linategemea umeme wa Grid ya Taifa Ikipata itilafu kama ya Jana Taifa Zima kasoro ikulu tunakuwa gizani. Kwa Nini kila mkoa usiwe na CHANZO chake cha kuzalisha umeme IKITOKEA IMEKATIKA mkoa unawash? Mwizi wa RASIRIMALI alkipitia hapo si atatumaliza wote kasoro ikulu?
  3. Room 28

    JamiiForums Tanzania Je watawala wetu (ssm) mkiiona Adis Ababa,Ethiopia miaka 5 Vs Dar,Tanzania miaka 60 mnajisikiaje??

    Mimi si mpenzi wa siasa,lakini naweza kusema ni mpenzi wa kulinganisha mambo hasa uchumi. Jiji la Adis ababa limetoka kutoka jiji la kawaida kuwa jiji lenye hadhi ya juu ya kimataifa ndani ya miaka 5 tu ya utawala wa Abby Ahmed. Wakati huo huo tuna jiji la Dar es salaam ambalo limejengwa kwa...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wengi wakifikisha miaka 60+ huanza kurudi kwenye kilimo?

    kama umegundua Watu wengi wanaofanikiwa kwenye biashara au sekta nyingine mbalimbali, wakifika umri mkubwa hasa miaka 60 na kuendelea, wanaanza kuhamishia nguvu zao kwenye kilimo. Mfano, Shabiby wa dodoma amefanya sana biashara ya mabasi na siasa, lakini sasa anaonekana kuwekeza kwa ukubwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tarimba: Miaka 60 ya uhuru Dar es Saalam bado kuna shida ya maji, tusichukulie poa

    Akizungumza katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili kikao cha saba leo Februari 4, 2026, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Tarimba Gulam Abbas amesema ni miaka sistini ya uhuru lakini jiji la Dar es Salaam bado inachangamoto ya maji, amesisitiza katika mpango wa maendele ya serikali kuweza kuzingatia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania OMBI: Naishauri Serikali kupunguza umri wa kustaafu kutoka miaka 60 mpaka 45. Na kustaafu kwa hiyari kuanzia miaka 40

    Habari zenu wakuu. Kutokana na kuongezeka kwa wimbi kubwa la wasomi na wahitimu wa vyuo vikuu...Suala la ajira kwa vijana linaonekana kuwa ni ndoto huku wale wallioajiriwa kuendelea kukaa ajirani mpaka kufikisha miaka 60. Kitendo ambacho kipo kinyume na ongezeko la wahitimu mitaani Ombi langu...
  7. Foffana

    JamiiForums Tanzania Hajapata usingizi zaidi ya miaka 60!! Inawezekanaje?

    Duniani kuna mambo yanashangaza sana Kuna mzee mkulima mwenye umri wa miaka 81 anayejulikana kwa jina la THAI NGOC hajafanikiwa kupata usingizi ndani ya miaka 60 Yaani yeye anashinda anapiga zake game na kuvuta sigara halali kabisa yaani.Hata familia yake na majirani wamekiri kuwa hawajawahi...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM imewezaje kudumisha propaganda ya kisiwa cha amani kwa miaka 60?

    Ukiwasikiliza watu wa CCM wanapoiongolea Tanzania kama kisiwa cha amani kila mara wakati wa uchaguzi unaweza kufikiria ni jambo la kipekee sana linaloitofautisha Tanzania na nchi nyingine au unaweza kufikiri ni kisiwa kumbe pembeni yake tu kuna nchi za Zambia na Malawi ambazo zimekuwa na siasa...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mtendaji wa kata Sumbawanga ahukumiwa miaka 60 jela kwa uhujumu uchumi

    Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa imemhukumu Bw. Badwin Atanazi Chundu (60), Mtendaji wa Kata ya Ikozi, kifungo cha miaka 60 jela pamoja na kurejesha zaidi ya Shilingi milioni 44 alizozitumia vibaya. Kwa mujibu wa taarifa ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na Uhamiaji miaka 60 ya Uhuru wanashindwa kutengeneza passport , bila shaka hatuwezi kupata maendeleo CCM ikiendelea kuwa madarakani

    Wadau, Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya...
  11. Financial Intelligence

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Miaka 60 hekta 500,000 za umwagiliaji miaka 4 ya Rais Samia hekta mpya 400,000

    KAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO. == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa...
  12. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Miaka 64 ya uhuru: Watu wanakwama kwa siku 18 kisiwani bila usafiri, Hii ndiyo CCM

    Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima...
  13. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

    Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani wa Zanzibar anarudi baada ya miongo sita ya uhamisho nchini Uingereza na Oman, kufuatia kuondolewa...
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Enyi wazee wa Kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya

    Enyi wazee wa kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya, mnang’ang’ania kana kwamba hamjazaa Enyi wazee wetu miaka 60 ya kustaafu imeshatimia bado hamuachii viti mmekua kama hamjazaa mbona vijana tupo Vijana wenye ujuzi mpya wapo mitaani...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Safari ya Miaka 60: Kitabu Cha Picha Historia ya Tanzania

    SAFARI YA MIAKA 60 NDANI YA CHAPISHO LA PICHA ZA HISTORIA YA TANZANIA Leo Maktaba imebahatika kutembelewa na mwandishi wa kujitegemea ambae ameandika na anaendelea kuandika sasa kwa miaka na magazeti maarufu ya Ulaya. Ally Sultan. Ally Sultan hakuja mikono mitupu amekuja na kitabu na jarida...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Generali Ulimwengu: Miaka 60 baada ya uhuru tuna rais mfalme hawajibiki kwa mamlaka yoyote

    Nimemsikia akiongea mahali mchambuzi huyu wa mambo ya kisiasa anasema Tanzania ina Rais jina tu lakini kiuhalisia mamlaka ya rais wa Tanzania ni ya kifalme. Sii Baraza la mawaziri wala bunge lenye mamlaka ya kumfanya chochote rais wa Tanzania. Kwa maana hiyo rais yuko juu ya Sheria
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Chana (Mb) amezindua rasmi utalii wa puto ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa Ruaha

    MIAKA 60 YA HIFADHI YA TAIFA RUAHA, WAZIRI PINDI AZINDUA UTALII WA PUTO ■Maboresho makubwa ya Miundombinu ya Utalii yaja Na Happiness Shayo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua rasmi utalii wa puto ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Geita wachangia damu, kuadhimisha miaka 60

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, wamechangia damu kwa ajili ya kuwasaidia wananchi pindi wanapopata Changamoto za uhitaji wa damu katika Wilaya ya Mbogwe Mkoa wa Geita. Kamishna Msaidizi wa Polisi ACPMagai Chassa amesema Jeshi la...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha wachangia damu, wafanya matembezi kuadhimisha miaka 60 Jeshi hilo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, leo Septemba 13, 2024 wamechangia damu kwa wagonjwa wenye uhitaji na kufanya mazoezi ya kutembea katika Jiji la Arusha. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Debora...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya JWTZ Tanzania iwekeze kwenye kinu cha nyuklia

    Naangazia mada yangu kwa muktadha wa kutoa maoni kwa tume maalumu ya mipango ya nchi. Ni wakati muafaka wa kufikiri na kufanyia kazi kwa haraka. Tanzania kupitia JWTZ ifanye uwekezaji huu muhimu na kwa haraka ili tujitosheleze kwa nishati lakini pia tujiwekeze kiulinzi. Zama za kutegemea URUSI...
Back
Top Bottom