Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.
Baada ya uchaguzi wa ndani wa Chadema wa mwaka 2024/25, baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho walifanya maamuzi yaliyobadili mwelekeo wa kisiasa waliokuwa wameuzoea kwa miaka kadhaa.
Miongoni mwao ni Twaha Mwaipaya, aliyewahi kuwa kiongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA)...
Kwani hii nchi tumerogwa na nani wakuu? Hivi unaweza kusomea udobi halafu ukaajairiwa kama Daktari?
Kwamba wabunge wote hakuna hata mmoja mwenye ujuzi na sheria apewe wizara?
Haya bwana
Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega amesema yuko tayari kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu wizara...
Kwa taarifa nilizokagua asubuhi ya leo, 1 Oktoba 2026, sijaona taarifa rasmi au ya kuaminika inayothibitisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan tayari ametuma salamu za pole kufuatia kifo cha Wicknell Chivayo na mke wake, Lucy Muteke.
Ajali ilitokea 30 Septemba 2026 huko Marondera, Zimbabwe, na...
Billionaire Aliko Dangote ameonyesha kuwa kesi ya ardhi inayohusisha eneo linalopangwa kujengwa Dangote East Africa Refinery huko Lamu haitoshi kumfanya abadili msimamo kuhusu mradi huo.
Akizungumza na wawekezaji Jijini Nairobi leo, Dangote alitaja changamoto za kisheria nchini Kenya kama jambo...
Kibanda: Nakujibu swali lako uliyosema tufanye nini. Sisi kama taifa lazima tuseme turejee katika misingi. Na pili tufanye kile ambacho Baba wa Taifa na Mwanzilishi alisema 'tujisahikishe'. Na hili la kujisahikisha hili...
Ukiwaangalia viongozi wa serikali, wanataka sisi tujisahikishe...
📱 Huduma za ardhi sasa kiganjani!,Kupitia e-Ardhi, Serikali inaendelea kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi, Wataalamu wa sekta ya ardhi wameupokea vyema Mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi na kuonesha utayari wa kuutumia katika kutoa huduma kwa wananchi kwa ufanisi, haraka na kwa urahisi zaidi...
Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case...
Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama zinazoweza kuja baada ya kulinunua.
Unaponunua gari, ni muhimu kutenga bajeti ya ziada (Buffer Amount) kwa ajili ya kuboresha au kubadilisha baadhi ya vitu muhimu kama Tairi, Rim na Interior.
Tairi na Rim
Kwa hali ya barabara zetu zilizojaa...
kuna baadhi ya familia au sehemu, kama huna pesa huonekani kabisa kama mtu; uwepo wako hauna uzito na sauti yako haina maana. Pengine unaweza ukatoka safari ndefu ya mbali na yenye uchovu, lakini usichinjiwe hata jogoo wa kukukaribisha, wala usipokelewe kwa furaha. Hakuna anayejali afya yako au...
Kwanini unatafuta ajira wakati tayari unafanya biashara au umejiajiri?
Si mlisema ajira ni utumwa, na kujiajiri ndio uhuru? 🤔
Sasa wewe mhitimu umejiajiri, una biashara yako, boss ni wewe mwenyewe… lakini kila siku uko kwenye magroup ya ajira na JF kwenye jukwaa la ajira ukitafuta nafasi za...
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Septemba 5, 2026 imeongeza nguvu katika ulinzi na usimamizi wa rasilimali za wanyamapori baada ya askari wapya 268 kuhitimu mafunzo ya kijeshi katika Chuo cha Mafunzo ya Jeshi la Uhifadhi Mlele, mkoani Katavi.
Askari hao wamehitimu baada ya...
Magari ya Wagonjwa yawe tayari muda wote. Tulishanunua magari, yawe na mafuta. Kila wakati yawe na mafuta. Tusichangishe wagonjwa kuweka mafuta kwenye gari ya Serikali kubeba mgonjwa ambaye yuko mautini-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba.
📍Ilongero-Singida
🗓️Septemba 06, 2026
——————-
Amesema...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa mrejesho zaidi kuhusu mtuhumiwa inayesemekaa ni Dereva Bodaboda anayedaiwa kumfanyia ukatili wa kijinsia mtoto wa Darasa la Tatu katika Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande kisha kuachiwa akiendelea...
Huyu amesahaulika haraka zaidi kuliko Polepole.
Hakuna sauti za kuuliza TU wapi Makamu wetu,au Free him,kama ilivyokua Kwa wengine,mfano Malisa.
Alisema atajiuzuru rasmi tarehe 4-9-2026 Kuna yoyote ameshuhudia akikabidhiana ofisi?
Huyu tumekwishampoteza tayari,huenda tusimuone Tena.
Kirahisi TU.
Binafsi ninafahamu ili upate leseni daraja E lazima uwe umesoma course ya HGV
Sasa inakuwaje N.I.T ili usome HGV wanataka uwe na leseni class D
Naona kama ni funny inakuwaje mtu uwe leseni husika alafu uende tena chuo ukasome wakati una cheti na leseni Class D?
Naomba muongozo!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.