Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Credit Suisse, Tidjane Thiam ,62, ameukana uraia wake wa Ufaransa ili kutimiza masharti ya kushiriki katika uchaguzi wa urais wa Ivory Coast...
Huyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp.
Mimi...
My name is fox, Am looking a woman, age between 25 to 35 for true relationship which will lead us for marriage, Any woman who is serious in relationship just PM.
Heshima wanajamvi.
Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.
Taarifa...
Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga.
Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.