afcon

The CAF Africa Cup of Nations, officially CAN (French: Coupe d'Afrique des Nations), also referred to as AFCON, or Total Africa Cup of Nations after its headline sponsor, is the main international men's association football competition in Africa. It is sanctioned by the Confederation of African Football (CAF) and was first held in 1957. Since 1968 it has been held every two years, switching to odd-numbered years in 2013.
In the first edition in 1957 there were only three participating nations: Egypt, Sudan and Ethiopia. South Africa was originally scheduled to compete, but was disqualified due to the apartheid policies of the government then in power. Since then the tournament has grown greatly, making it necessary to hold a qualifying tournament. The number of participants in the final tournament reached 16 in 1998 (16 teams were to compete in 1996 but Nigeria withdrew, reducing the field to 15, and the same happened with Togo's withdrawal in 2010), and until 2017, the format had been unchanged, with the sixteen teams being drawn into four groups of four teams each, with the top two teams of each group advancing to a "knock-out" stage. On 20 July 2017, the Africa Cup of Nations was moved from January to June and expanded from 16 to 24 teams.Egypt is the most successful nation in the cup's history, winning the tournament a record of seven times (including when Egypt was known as the United Arab Republic between 1958 and 1961). Three different trophies have been awarded during the tournament's history, with Ghana and Cameroon winning the first two versions to keep after each of them won a tournament three times. The current trophy was first awarded in 2002 and with Egypt winning it indefinitely after winning their unprecedented third consecutive title in 2010.
In 2013, the tournament format was switched to being held in odd-numbered years so as not to clash with the FIFA World Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Samatta arudishwe timu ya taifa.Astaafu baada ya AFCON.

    Hatuna vipaji ambavyo vitufanye tuone sawa tu mchezaji wa ligue one Mbwana Samatta astaafu kuchezea timu ya taifa huku kuna mashindano ya AFCON. Aombwe arudi ,aje astaafu baada ya AFCON, mchango wake bado unahitajika.
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo tusipopita kwenye Qualifiers stage Hatuchezi AFCON ata kama ni Wenyeji au Tutapendelewa?

    Ili group naona sipo poa. Mfano tukawa wa 3 au 4 baada ya mechi zote?
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makonda: Maandamano kuzuia AFCON? Hayatakuwepo, Mtanzania anataka Amani!

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amepuuza taarifa na uvumi unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa maandamano ya kuzuia michezo kuelekea Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), akisisitiza kuwa hakuna maandamano yoyote na kwamba...
  4. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda allocates shs42b for AFCON 2027 hotel upgrades

    The Government has set aside sh42b to support private hotel investors in Gulu and Lira as part of preparations to host the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), State Minister for Sports Peter Ogwang has said. The financing is intended to help hotel owners in the two northern Uganda cities to...
  5. K

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 na Mkakati wa "Dada wa Taifa": Mtego wa Kidemokrasia Ambao Dola Haidumu Kuushinda

    Utangulizi: Sauti ya Mange Kimambi na Karata Mpya ya Mapambano Mange Kimambi amekuwa nguzo muhimu katika kuibua mijadala ya kijamii na kisiasa nchini Tanzania kutokea uhamishoni. Licha ya changamoto za kufungiwa kwa akaunti zake za Instagram na serikali kushinikiza masharti makali dhidi yake...
  6. B

    JamiiForums Tanzania CAF TotalEnergies (AFCON) Pamoja 2027 - Tanzania wapi pa kuongeza kasi, na wapi mambo bado yapo nyuma sana

    MICHEZO KAMA ZANA [TOOL] YA USHAWISHI KIDIPLOMASIA, KISIASA NA UCHUMI 17 September 2026 Dar es Salaam, Tanzania CAF President Dr Patrice Motsepe Press Conference Wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, Tanzania , mnamo tarehe 17...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CAF Yasifu Maandalizi ya Tanzania kuelekea AFCON 2027

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kupitia Rais wake Patrice Motsepe, limeeleza kuridhishwa na maendeleo ya maandalizi ya Tanzania kwa ajili ya AFCON 2027. Motsepe amesifu juhudi zinazofanywa nchini katika kuboresha miundombinu ya viwanja na maandalizi mengine, huku akisisitiza...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu picha zinazoenea za jezi za Tanzania kwenye Afcon?

    Kama ni kweli zile tunazoziona kwenye social media ndio Jezi watakazovaa timu ya Taifa kwenye Afcon basi tutakuwa na tatizo la afya ya akili. Waziri Makonda usikubali huu usanii utakaopelekea kuharibu saikolojia ya wachezaji uwanjani. Mbona uzi wa Yanga ni mzuri na una kiwango iweje uzi wa Taifa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 Special Thread, Karibu utoe maoni yako

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Nini kifanywe au kiachwe (kisifanywe) ili mashindano haya yafane? Karibu sana utoe maoni yako Mtanzania mwenzangu
  10. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yajipanga matibabu ya Kibobezi kwa Wanamichezo AFCON 2027

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kujiandaa kutoa huduma bora za kibingwa na kibobezi wakati wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambapo imeendesha mafunzo ya upasuaji wa magoti kwa njia ya matundu madogo kwa kushirikiana na wataalam kutoka...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mnaowekeza Arusha karibu na uwanja wa AFCON wekeni mikakati ya muda mrefu kuendeleza biashara na sio faida ya mwezi mmoja ya AFCON.

    Enzi za JK watu walikimbilia kuweka mahoteli ya kifahari Mtwara bila kuwa na mikakati ya muda mrefu wakaishia kutoa milio baada ishu ya gesi kutokwenda sawa. Kwa sasa naona watu huko Arusha wanawekeza mahoteli wakiitaja sana AFCON kama lengo lao. Ikumbukwe AFCON ni mashindano ya mwezi mmoja tu...
  12. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania CAF yaridhishwa na maandalizi ya moi kuelekea AFCON 2027

    Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limeeleza kuridhishwa na maandalizi ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo (MOI) katika kutoa huduma za tiba za michezo kuelekea Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 yatakayofanyika Tanzania, Kenya na Uganda. Kauli hiyo...
  13. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Uganda yajitoa AFCON U-23 kisa ukata wa fedha

    Timu ya taifa ya Uganda ya vijana chini ya umri wa miaka 23 ‘Kobs’, imejitoa kwenye mashindano ya kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Vijana weny umri chini ya miaka 23 (AFCON U23) 2027. Uamuzi huo umekuja baada ya Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) kushindwa kupata fedha za kutosha...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania HOJA Wazawa watatu hadi wanne pekee wanaanza kikosini Simba na Yanga, Taifa Stars iko salama kuelekea AFCON 2027?

    Wakuu Nimepitilia lineup za hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga na kujiongea Utawala wa wachezaji wa kigeni katika vikosi vya kwanza vya Simba na Yanga, wakati Tanzania ikijiandaa kwa AFCON 2027, ni kisu chenye makali miwili. Kwa upande mmoja, nyota hawa wameiongezea Ligi Kuu ya NBC...
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania AFCON hivi Taifa Stars itashiriki? Maandalizi yanaanza lini?

    2027 tuna AFCON bado tunapambania viwanja na taa. Vipi maandalizi ya Timu? Au?
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je haiwezekani katika bwawa la rufiji wakapandikizwa sato?

    Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?... Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada, yaani waishi katika misingi ya asili, je linawezekana? #Wajuzi mtujuze! -SATO -SANGARA
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu aagiza kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vya AFCON iongezeke, ataka Wakandarasi kukamilisha mikataba ya Wafanyakazi

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ili vikamilike kwa wakati na kukidhi viwango vinavyotakiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Amesema kazi hiyo...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Yajipanga Kutwaa Ufunguzi na Fainali ya AFCON 2027

    Kenya imeonyesha matumaini makubwa ya kupewa nafasi ya kuandaa sherehe za ufunguzi na kufunga mashindano ya AFCON 2027, yatakayoandaliwa kwa pamoja na Kenya, Uganda na Tanzania. Local Organising Committee (LOC), inayoongozwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye, imewaambia...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Je kuna waandishi au vyombo vya habari vimelipwa kuichafua ARUSHA kabla ya AFCON??

    Rejea aina ya habari kutoka kwa waandishi feki wa mitandaoni kila wanapotoa taarifa kuhusu mkoa wa Arusha huongelea mauaji tu husikii habari za matukio mazuri yanayotokea huko ambayo ni mengi kuliko haya yanayopewa kipaumbele na yenye kuumiza saikolojia ya binadamu. Wizara ya Habari ,TCRA na...
  20. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania CAF Msije mkaleta AFCON Tanzania ni hatari sana

    Kitendo cha magaidi kuua maelfu ya watu tarehe 29 mwezi October 2025 na hakuna gaidi hata mmoja aliyekamatwa ni chakutisha Nawasihi CAF wafikirie nchi nyingine salama isiyo na ugaidi ili wapeleke michuano hii. Pia magaidi wengine wameweza kumteka kiongozi mkubwa serikalini ambaye alikuwa...
Back
Top Bottom