milele

Milele is an urban gospel and humanitarian group composed of Kanjii Mbugua, Harry Kiiru, Christian Mungai and Kaima Mwiti. The group formed after the longtime friends who were originally from Kenya met in Pomona, California at a prayer breakfast in 1998. Milele, which means "forever" in Swahili has performed alongside gospel artists like Andrae Crouch and Helen Baylor and recorded four albums, Forever, Level up, Afrique and their most recent recording, Monday. Apart from the music, Milele has also launched many campaigns in Africa with the purpose of providing means for impoverished African communities to gather strength to make steps towards better living standards.

View More On Wikipedia.org
  1. Mganguzi

    Rais wangu, usikubali uwanja wa soka Arusha uitwe jina lako. Mpe mwanakwenda Edward Lowassa, utaheshimika milele!

    Michoro na mkataba wa ujenzi wa uwanja mpya wa soka Arusha uko tayari na umesainiwa; na tayari wakandarasi wako site! Kelele nyingi na majigambo ya machawa ni kuhusu jina la uwanja wakati bado hata Lori Moja la mchanga halijamwagwa pale tayari wametoka na jina la uwanja wenyewe! . Samia...
  2. Nigrastratatract nerve

    Wajumbe wa kamati ya LAAC wafika Chato kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mheshimiwa Stanslaus Mabula wamefika Chato nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe na kufanya maombi mafupi katika kaburi lake.
  3. Erythrocyte

    Utawala wa Awamu ya 5 kulikuwa na kampeni ya wazi ya kutaka aliyekuwepo aongoze milele, Sababu hasa ya kampeni hii ilikuwa nini?

    Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi wa 3, ambao ni mwezi wa Mungu. Ni wazi kila mwananchi anafahamu kuhusu kampeni za wazi kabisa za kutaka Rais wa awamu ya 5 Dkt John Magufuli aongezewe muda wa utawala wake kinyume kabisa cha Katiba ya Tanzania, yaani baada ya kumaliza utawala wake wa miaka...
  4. M

    CCM itatawala milele Watanzania Wasiposhtuka

    Watanzania wenzangu tumeshuhudia vyama vya upinzani vikiongozwa kwa matakwa wamiliki wa vyama husika .Mfano halisi ni TLP na UDP.Kutokana na hivyo vyma kuendeshwa kwa matakwa ya mtu binafsi kumekuwepo na ombe la muendelezo wa hivi vyma na haswa pale vioongozi wa hivi vyma wanapokuwa wamechoka...
  5. A

    Tuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar Milele na Milele!

    Tuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 1964 Milele na Milele. Zanzibar ndio alama yetu pekee tunayoitegemea hapa Visiwani. CCM oyee. NB: Karibuni katika sherehe ya kusherehekea miaka 60 ya kumfurusha Sultani.
  6. Kiboko ya Jiwe

    Watanzania hawatapata unafuu wa maisha milele

    Hello! Ninaposema Watanzania namaanisha majority ya Watanzania nikiwaondoa watu wachache sana. Hawa majority walipata taabu sana, wanapata taabu sana na watapata taabu sana. Babu zao walipata taabu sana kubeba mizigo bandarini na kufanya shughuli zingine ngumu ili wale na wajenge nyumba za...
  7. Nifah

    Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

    Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi! Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba ndio kuanguka na kufariki? Chanzo ni simu kutoka kwa Ali Kiba kwenda kwa Lulu. Lulu alienda kwa...
  8. Erythrocyte

    Mchengerwa hutokuwa Waziri milele. Napinga kauli zako za Kibabe kwa Watumishi

    Uongozi ni kuongoza kwa kuelekeza na kuonyesha njia utaratibu wa kuongoza Taasisi ya serikali unayo miongozo yake, huongozi tu kwa akili yako. Kwamba wewe kwa vile ni kiongozi wa kuteuliwa kutokana na koneksheni basi unadhani una akili kuliko watendaji wote wa kitengo chako huko ni kujidanganya...
  9. GENTAMYCINE

    Ukikosa Goma la bure Kesho ( Leo ) Mkeshani kwa Mtume wao 'Cow Way' Tanganyika Packers basi una Nuksi ya Milele

    Ili ung'oe Goma la bure hakikisha unaandaa Tshs 1,000/ ya Ugali Dagaa na Tembele au 1,500/ ya Ubwabwa Maharage. Na baada ya Kung'oa hayo Magoma ambayo GENTAMYCINE kwa Uzoefu wangu tukuka huwa yana Gono na Kaswende huku Ugonjwa Sugu wa 1981 ukiwa Umeshawakomaa wahi upesi Duka lolote la Dawa na...
  10. Mr George Francis

    Ndoa ni agano la milele

    NDOA NI AGANO LA MILELE Neno la Mungu linasema, MATHAYO 19:3-12 "Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe kwa kila sababu? Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke, Akasema, Kwa sababu hiyo...
  11. R

    Mrisho Mpoto utalaaniwa milele na uzao wako kwa kuwadhalilisha/kuwadhihaki walioalikwa Ikulu utiaji wa saini mikataba ya Bandari

    Umedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO!
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mjue MKAVILONDO, Askari anayedumu milele katikati ya jiji la Dar es Salaam

    Huyu ndiye ASKARI ambaye sanamu yake iliwekwa pale SAMORA AVENUE ROUNDABOUT -ASKARI MONUMENT. Inasemekana hapo ndio muda aliokuwa amepozi kwa ajili ya kutengenezwa sanamu, kwa jina aliitwa MKAVILONDO.
  13. TUKANA UONE

    Ni rahisi sana Kiranga kuurithi uzima wa milele kuliko Wakristo na Waisilamu wengi walio wanafiki

    Ukihitaji salamu suburi kwanza nilewe, tofauti na hapo utaambulia chuya! Kiranga ana asilimia kubwa kuurithi uzima wa milele kuliko watu wengi wanafiki!. Narudia tena "Kiranga anazo asilimia kubwa za kuurithi uzima wa milele kuliko wanafiki walio wengi" Kiranga ni nani? Huyu ni jamaa ambaye...
  14. Baba Rhobi

    Jinsi nilivyochomoka na kuikimbia nyeto milele

    Matukio yaliyonikuta mpaka nikaacha nyeto na kuhama CHAPUTA forever. Dhumuni la kuleta uzi huu ni baada ya kuona kuna watu wanateseka sana na upigaji wa nyeto na wengine wanatamani kuacha ila hawa amini wataweza acha, pia wale wanaowai kumwaga tafkiri penzi la kuku nao pia wanapitia msoto mkali...
  15. Erythrocyte

    Hakuna serikali yoyote duniani iliyofanikiwa kuwadharau Raia wake huku ikifanya itakavyo milele ikafanikiwa

    Tambueni kwamba wananchi ndio wenye nchi, kwahiyo wanachokitaka ndio kinachopaswa kuwa kipaumbele, dharau, kiburi, jeuri havijawahi kuacha salama serikali yoyote ile. Na wala hakuna serikali ilfanikiwa kwa kutegemea vyombo vya dola na watekaji, haijawahi kuwepo, kudharau baadhi ya wastaafu na...
  16. C

    Zanzibar Mwekezaji wa Bandari kapewa miaka 5 tu na watareview mkataba, Bara kajifunzeni hata huko

    Inaumiza sana, Mwekezaji wa kuendesha bandari ya Zanzibar kapewa miaka mitano tu ya kuendesha bandari. Mwekezaji huyo kutoka ufaransa ataendesha bandari kwa miaka mitano tu na mkataba utaangaliwa upya kama kafikia malengo ataongezewa muda na kama hajafikia malengo atapewa mwekezaji mwingine...
  17. Wadiz

    Mjadala wa Bandari za Tanganyika umeongeza nguvu ya kuamini kwamba Mungu wa kweli yu hai jana, leo na hata milele

    Wasalaam, Tumsifu kristo na bwana wa majeshi. Nimekuwa nikitafari sana juu ya waliofanya jambo la kuleta huu mkataba na nimepata kuamini pamoja na watawala wengi kuwa ni wafuasi wa freemasons na illuminati lakini bado nguvu ya Mungu haiteteleki. Jeuri, kibri, dharau havina nguvu mbele ya Mungu...
  18. Mwande na Mndewa

    Nimetoka kanisani kwetu Mikocheni, tumesomewa tena waraka wa Maaskofu wa Katoliki kupinga uuzwaji wa bandari,watu wamepiga makofi na vigelegele

    👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu...
  19. Mwande na Mndewa

    Itakuwaje DP World ikimuuzia China bandari yetu ya Dar es kwa mkataba wa milele!?

    Mwendo wa kimyaaa kimya huku wakingoja watu wasahau tukisha sahau tutaiona bendera ya waarabu inapepea pale bandarini kimya kimya na hakuna hata gazeti litalo andika! tukianza kelele mwarabu anamuuzia MoU mchina,mpaka hapo Watanzania tutakuwa tumepotezwa mbaya,tukitaka kumpokonya...
Back
Top Bottom