game

  1. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Game Theory na Ufahamu(Bongo)

    Game theory; Ni mkakati maalumu wa kupata matokeo uyatakayo kwa kutumia, kufanya au kushawishi maamuzi kabambe. Mfano. mchakato wa kuwapata viongozi nani anapendekeza kuwa fulani akagombee na kwa nini? Ufahamu/conciousness; Kitu pekee cha muhimu kwa mwanadamu hapa duniani na ndio siri msingi...
  2. DesertStorm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marudio ya mechi, Full game nitaipataje wakuu?

    Wakuu kwema lakini? Nataka nicheki game la Morocco na wazungu full game, acha pes. Ni really yenyewe! Naombeni mnisaidie kwa hilo. You tube kila nikifungua nakutana na clip not really Morocco forever ♥
  3. Sir MGAX

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja game unalolipenda umpate mwana hapa mwenzio

    Taja game unalolipenda umpate mwana hapa mwenzio Kichwa hakina miguu,tuenedelee tulipoishia…
  4. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Nipo Morocco, nimepata tiketi kuja kuangalia mechi, nitawasimulia game inavyoenda

    Mko poa Kwa ninavyoona hapa uwanjani mechi itakuwa kali sanaa yaani, na itakuwa mechi ya historia TANZANIA NA SENEGAL-U17 Kiukweli mechi ni ngumu sana kwa upande wetu ninavyoiona hapa uwanjani ukweli usemwe.. lakini fainal ni fainal yeyote anaweza akashinda Nipo moroco hotel kinondoni...
  5. ShesRise_1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upendo au Game ya Kujipendekeza?

    Unalewaje ukisikia neno KUJIPENDEKEZA? Neno kujipendekeza mara nyingi lina ladha ya dhihaka Ukisema Fulani naye anajipendekeza sana mara nyingi unamaanisha mtu anajishusha au anajitahidi kupita kiasi ili apate kukubalika, kupewa nafasi, au kupata kitu fulani Au apate attention Lakini kuna...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ninawapa tahadhari wachama wa MCC ,ni wakati wa kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi,muda si wenu tena umepinduka na game is over

    MCC ni kwasasa ni kama maluweluwe ni kama mtu,mbuzi,nyoka ,mara kiwiliwili ni joka kubwa na upande wa juu ni binadamu anaye nena maneno ya Makufuru kila muda na kila dakika Kifupi MCC ni monster,liko tayari kusuck blood ya yoyote tena Lina penda fresh blood,lakini linawapambe kibao wanalipwa...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania The game is unfair, but you still have to play

    The game is unfair, but you still have to play. Mfumo wa Maisha hauwezi kuwa sawa kwa 100% - kuna watu wenye connection, pesa, na faida ya mapema. (FAIDA YA MAPEMA) au (head start) ni pale umezaliwa katika Familia Bora yenye wazazi walio na akili timamu ambao tayari walishajenga msingi ambao...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu alietoboa vilivyo kwenye biashara hapa Bongo utasubiri sana hadi uote sugu, Game lipo zigzaga tofauti na unachokiona

    Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu haa bongo hasa kwenye biashara utakesha Makanisani, Misikitini, mpaka uote sugu Utamaliza rapa kwa kubuni Biashara na kuwekeza ukiamini utakuwa kama fulani. kumbe Siri Yao ya Mafanikio ni Short Cut Halali inawezekana ila huchukua muda mrefu sana na ubaya ni...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ushirika wa PPPC na TPSF ni game changer kwenye kujenga Uchumi mkubwa na wa kisasa | Watanzania tuchangamkie fursa huko huko tunakoishi

    Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) wamesaini makubaliano muhimu ya ushirikiano yanayolenga kuimarisha nafasi ya sekta binafsi katika miradi ya ubia (PPP). Hatua hii inatajwa kuwa ni mwendelezo wa jitihada za...
  10. Ziroseventytwo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hiki ndio alichokesema Thierry Hendry baada ya game ya jana kati ya PSG na Bayern Munich. UCL semi fainal

    heirry Henry speaks on PSG vs Bayern Munich score line 5:4 "Listen, we need to have a serious conversation about what we are watching. For the fans, of course, it’s exciting, nine goals, end-to-end, moments everywhere, Everyone is on social media screaming, 'Oh, what a game! But is it? Really...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuingia deal ya mafuta na Uganda Game changer ama risk kwa uchumi?

    Kenya imechukua hatua kubwa baada ya William Ruto kutangaza kuwa nchi itawekeza kwenye refinery ya mafuta ya Uganda yenye thamani ya zaidi ya Ksh.500 billion. Hii si deal ndogo ni move inayoweza kubadilisha mwelekeo wa energy sector Afrika Mashariki. Akiongea katika Africa We Build Summit 2026...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Muhoozi Kainerugaba anacheza game gani? Au ni ujinga wa kuzidi tu?

    Huyu jamaa maneno anayotoa kwa umma ni kuna game au hila anachezea watu au ni ujinga umemzidi na Schizo kabisa?
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Yalipa Ksh 3.9B AFCON Fee Game On 2027

    Kenya imechukua hatua kubwa sana baada ya kulipa Ksh 3.9 Billion (USD 30M) kwa Confederation of African Football kuhakikisha nchi iko fully on track kuhost Africa Cup of Nations 2027. Kwa mujibu wa Sports CS Salim Mvurya, hii move inaonyesha serikali iko serious about delivering a world class...
  14. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania MO29 TV ni game changer ya habari Tanzania

    Daa hii nchi sijui kama itapona makovu ya MO29. Sasa Kuna TV mpya , ni online TV, imeanzishwa imepewa jina la MO29 TV. Hii channel inapiga spana kweli kweli, imegeuka kilio Cha kusaga meno Kwa CCM. Je MO29 TV ni ya nani? Na itaweza ku- survive bila kufungiwa. Let wait and see. Mto wa mbu...
  15. Young silver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetoa ngoma mpya. Naomba sapoti yenu

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏... Support...
  16. Young silver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Support, support support

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏...
  17. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Game la Drafti - Checkers/Draughts/Dama: Backrow Rush

    Kuna Game la Drafti linaitwa Backrow Rush ni zuri sana. Linapatikana Play store kwa jina Backrow Rush Naomba msaada wa kulijaribu na mnipatie maoni yenu kipi cha kuboresha na kuongeza. Kwa sasa inafanya yafuatayo. Wachezaji Wengi Mtandaoni (Online Arena) – Cheza na wachezaji kutoka sehemu...
  18. PLOII

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau mna lipi la kusema? Maana sielewi Simba as the

    Wadau mna lipi la kusema? Kesho nilale ndani au?
  19. Tunzo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi utadharau vipo watu wako milion 59 na zaidi unapeleka game kwa watu hawazidi milioni

    Uongozi wa Yanga ujitafakari, na utafakari tena, mashindanyo makubwa kama haya unapeleka tanzania bara, huko zanzibar, unaacha watu mamilion washangiliaji hapa, mjitafakari, msipoangalia mtaweka ujinga wa uzanzibari na utanzania, au udini, hapa DSM watu wanatoka mikoa uanakuja hapa Dar es...
Back
Top Bottom