watawala

Watawala is a village in Sri Lanka. It is located within Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: TLS inakabiliwa wazi na mashambulizi ya watawala

    https://www.facebook.com/share/v/1FHUuAKTYz/ Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema taasisi hiyo inakabiliwa na mashambulizi ya wazi kutoka kwa watawala, kauli hiyo ameitoa muda mfupi baada ya kuitikia wito wa polisi. Kauli hiyo inakuja siku chache...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Watawala wametoa pole kwa Wicknell Chivayo lakini wameshindwa kutoa pole ajali iliyoua Watanzania 30

    Mkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika. Lakini Morogoro ajali ya Magari imeua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania JE NI KWELI KANISA HALINA HAKI YA KUONYA AU KUKEMEA WATAWALA WAOVU? NA JE MAKONDA ALIKUWA SAHIHI KUONGEA YALE KWA KUJIVISHA UTUMISHI?

    Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine. Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo: 1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Kanisa halina haki ya kuonya au kukemea Watawala waovu?, Na je Makonda alikuwa sahihi kuongea yale kwa kujivisha utumishi?

    Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine. Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo: 1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tangu lini watawala wa ccm wakawa na uchungu na wananchi! EL NINO kwao ni fursa kubwa ya kupiga hela na most likely "zimeshapigwa".

    Bilioni 700 ni pesa zimeshagawanywa ...ni fursa...vikao nadhani vimeshakula robo! ☺️ ☺️:CarltonPls: Time will tell!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Polisi maisha yenu ni magumu sana amkeni ,msitumiwe na watawala

    Polisi wetu ni njaa Kali lakini Cha kushangaza watatumika ovyo. ,au elimu ndo changamoto .amkeni amkeni . Ukiambiwa fanya jifanye haujaona au hukuelewa Askari mzima hata nauli ya kwenda kaazini Hauna alafu unabebeshwa libunduki uue raia aisee na Mtatumika mpaka lini Kama Hauna Cha...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Katiba tuliyonayo haijawahi kutungwa na wananchi maana yake ni kwamba watawala waliamua watutawaleje!?

    Ndugu zangu inahitaji moyo mkuu sana ili kuwa muumini wa katiba tuliyonayo nayo sasa, kwani mbali ya kuwa Ina mapungufu mengi haikuumdwa na raia bali iliundwa na viongozi Yaani watawala wanakubaliana kwa niaba ya watawaliwa Hii ni sawa na kuwe na kampuni mbili Moja inaninua nyingine inauza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bob Marley aliimba hivi "Ukweli unaweza kuwa ni kosa la Jinai kwa watawala waovu, haijawahi kuwa dhambi dhambi"

    "Kwa sababu mnaniuliza na rasta zangu, Bob Marley aliimba hivi: 'Ukweli unaweza ukawa ni kosa la jinai kwa watawala waovu, haijawahi kuwa dhambi.' Truth may be an offense, it is never a sin. Asante sana. Asante, mi niko na nguvu, sitaki kuwachosha askari wangu... Ah nawapenda sana sitaki...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania HOJA Wazawa watatu hadi wanne pekee wanaanza kikosini Simba na Yanga, Taifa Stars iko salama kuelekea AFCON 2027?

    Wakuu Nimepitilia lineup za hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga na kujiongea Utawala wa wachezaji wa kigeni katika vikosi vya kwanza vya Simba na Yanga, wakati Tanzania ikijiandaa kwa AFCON 2027, ni kisu chenye makali miwili. Kwa upande mmoja, nyota hawa wameiongezea Ligi Kuu ya NBC...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa maridhiano unaonesha kuwa ni kati ya watawala ambao ni serlikali na vyombo vya dola na watawaliwa ambao ni wananchi wakiongozwa na CHADEMA

    Hilo kwasasa halipingiki kuwa, unapozungumzia maridhiano pande zinazohusika ni:- kundi la kwanza linaundwa na watawala, serikali na vyombo vya dola na wafanyabishara wakubwa ambao wamehozi CCM na wanaushawishi juu ya serikali. Kwenye kundi hili pia zipo baadhi ya Taasisi za dini kikristo...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watawala wa kiafrika noma sana. Yaani hata kama haukubaliki unalazimisha kwa kuteka

    There is no good politics in Africa👇
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Alikuwa karibu kuwa mmoja wa watawala wenye nguvu zaidi barani Ulaya

    Kisha tatizo dogo likatokea kwenye koo lake. Ndani ya miezi michache, Kaizari alikuwa hawezi kabisa kuongea. Na madaktari wake hawakuweza hata kukubaliana ni ugonjwa gani waliokuwa wanakabiliana nao. Mnamo mwaka 1887, Mwanamfalme Friedrich wa Ujerumani alipata tatizo ambalo hapo awali...
  13. idiomer

    JamiiForums Tanzania Je huu ni wakati wa watawala kubadilika au bado bado ?

    Vijana ni kama hawaelewi hata walio katika vyama tawala ni basi tuu ila kuna vitu hawakubaliani navyo!
  14. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Maswala ya katiba Mbovu ni Makosa ya Watawala waliotangulia wote, sio Mama!

    Mwasisi wa katiba hii,Ni Nyerere, aliitumia kuendesha utawala wa kiimla,Mfano kuzuia wapinzani wake kusafiri nje ya maeneo fulani,kuaminisha watu kuwa Fikra zake ndio bora na zidumu ( alikuwa na Machawa waliosifia kila kitu alichosema/ kufanya) Nyerere alifadhaisha sana wapinzani wa sera...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Watawala hawana mpango na Elimu bora wananchi amkeni

    Viongozi wetu wamekuwa mara kwa mara wanafanya majaribio ya kitaaluma na wakati wote majaribio hayo yameacha simanzi kwa baadhi ya wanafunzi ambao ndio wahanga wakati wote Humu katikati kuliibuka waziri aliyeunganisha somo la Physics na Chemistry likawa somo moja (Chemistry with Physics)...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nani hataki Katiba Mpya katika hawa watawala. Uchambuzi makini huu hapa. Nani ni mnafiki

    C&p Juzi, Tarehe 24/07/2026, Makamu wa rais, Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mkutano mkuu wa 15 wa mtandao wa watetezi za haki za binadamu, ametoa hotuba iliyopokelewa kwa hisia tofauti Hii ni kwa sababu hotuba yake imekinzana na kauli za awali zilizopata kutolewa na bosi wake, rais...
  17. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Afrika, Tanzania tunahitaji watawala wa aina gani? - machifu na wafalme kama zamani ama (wanasiasa) maraisi na mawaziri kama siku hizi

    Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Polisi Ilistahili Kuwa Takatifu, Lakini Ilipobadilishwa na Kuwa Ya Kuwalinda Watawala Katili, Imekuwa Kazi ya Laana.

    Kazi ya polisi kiasili ilitakiwa kuwa kazi takatifu. Kazi ya kuwalinda wanadamu wenzako na mali zao, kazi inayokufanya uteseke, usilale, ili wanadamu wenzako na mali zao, viwe salama, hakika ni kazi ilistahili kuwa takatifu. Kwa sababu umejitoa kuteseka ili wanadamu wenzako wawe salama. Lakini...
  19. R

    JamiiForums Tanzania HYPOTHETICAL: CHADEMA mkipewa magari na Watawala mtapokea na kushukuru?

    TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia. PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
  20. bless on

    JamiiForums Tanzania Shapeshifters: Watawala wa Kweli wa Dunia?

    SHAPESHIFTER Hawa ni watu wenye nguvu kubwa za kichawi. Inaelezwa kuwa hawa ndio watu wenye kuongoza dunia hii. Mataifa makubwa yote yanamilikiwa na binadamu wa aina hii binadamu ambao kidunia wanatajwa kama wafu lakini uhalisia wapo hai. Mfano ziliwahi kuvuja taarifa za ndani kuhusu maraisi...
Back
Top Bottom