sababu

 1. Mama Amon

  Nimefurahishwa na uteuzi wa Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi kwa sababu moja kubwa...

  Napongeza uteuzi wa Dk. Bashiru kuwa Katibu Mkuu kiongozi kwa sababu moja. Nilipokuwa mhadhiri wa business administration mahali nilifundisha sana juu ya teamwork. Kuna nadharia nyingi. Lkn pointi kuu ni kwamba kama unataka timu nzuri ya mpira unahitaji watu 11 wenye vipaji tofauti na...
 2. Erythrocyte

  Wimbi la Wafanyabiashara kufunga maduka yao kwa sababu ya kutofautiana na Serikali lashika kasi

  Ilianza Songea na sasa ni Mafinga Kesho ni wapi ?
 3. BuDDaH MBiSHi

  Zijue sababu zinazoathiri matairi ya magari

  TAIRI Ni sehemu ya nje ya guruudumu Sasa sababu zinazo athiri matairi ya magari zinawezakua: Namna ya ujazaji upepo. Unapojaza upepo kwenye matairi in sharti uangalie usijaze kupita kiasi au kupunguza kupita kiasi ambavyo mtengenezaji anataka. Barabara mbovu (Rough road). Unakutaka...
 4. mathsjery

  Dah! Airtel na halotel, mmeua hahahaha!

  Kwa hiyo mnafikiri watapata GPA kubwa ama uzalishaji utaongezeka sio? Kitu mnashindwa kutambua ni kuwa wengi tunanata. NA DATA TU, HAYO MENGINE NI ADDITIONAL TU, MAANA KUNA VIFURUSHI VYA DAKIKA NA SMS MTU ATAJIUNGA HATA HIVYO HUWA HATUMALIZI HAYO MADAKIKA NA SMS HIVYO HAKUNA UMUHIMU WA...
 5. Idugunde

  Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

  Waziri wa fedha na mipango Dkt. Philp Mpango amesema anarudi kuchapa kazi baada ya mkono wa Mungu kumvusha na ugonjwa uliomkumba mpaka akalazwa. Waziri Mpango amesema haya (Nukuu) - Narudi kazini na kazi ndogondogo nimekwishaanza za kulitumikia Taifa. Watanzania tuendelee kumwomba Mungu kwa...
 6. Replica

  Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

  Timu ya soka ya Simba leo iko dimbani kupambana na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa hatua ya makundi ukiwa ni mzunguko wa pili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa kumi jioni. Pamoja na timu zote kuwa na alama tatu baada ya kushinda mechi zao za mzunguko wa kwanza, Al Ahly inaongoza...
 7. Analogia Malenga

  Madiwani Busega waeleza sababu vikundi kushindwa kurejesha mikopo

  Madiwani wa Halmashuari ya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wameitaka Ofisi ya Maendeleo ya Jamii katika halmashauri hiyo kushirikisha vyombo vya ulinzi na usalama kuvichunguza vikundi vya vijana, walemavu na wanawake kabla havijapewa mikopo. Wamesema kuwa vikundi hivyo vichunguzwe kama vinafaa...
 8. J

  Hakukuwa na sababu ya Dkt. Tulia kurudia rudia kusema anamwakilisha Spika Ndugai, msiba siyo kikao cha Serikali

  Binafsi niliamini Naibu Spika Dkt. Tulia analiwakilisha bunge zima pale msibani kwa Balozi Kijazi kumbe nilikosea alikuwa anamwakilisha Spika wa bunge ambaye yuko mbali. Nijuavyo mazishi siyo kama vikao vya serikali au chama ambavyo kuna watu ni lazima wahudhurie kwa mujibu wa vyeo vyao...
 9. All - Rounder

  Zijue sababu za Kimkakati zilizoifanya Yanga SC ya Mwakalebela Kuzungumza na Vyombo vya Habari jana

  1. Uongozi kwa Kushirikiana na GSM Kukwepa Lawama na kuwalazimisha Mashabiki wao waone wanaowakwamisha ni TFF na Kamati zake. 2. Kutaka Kuwatishia Waamuzi ( hasa huyu wa leo dhidi ya Mtibwa FC ) awaogope na awapendelee ili washinde Mechi yao. 3. Kumuhusisha kwa Kumtaja hadi Kumzungumzia...
 10. J

  Balozi Kijazi alipaswa kustaafu 2017 lakini akaongezewa mkataba mara mbili kwa sababu hakuonekana wa kumrithi

  Rais Magufuli amesema marehemu Balozi Kijazi alipaswa kustaafu 2017 lakini alimuongezea mkataba wa miaka miwili na ilipofika 2019 akamuongezea tena miaka miwili. Rais Magufuli amesema kila alipoangalia nani anayeweza kuvaa viatu vya Kijazi hakumuona. Jaji mkuu Prof Juma amesema Ukiangalia sura...
 11. Planett

  Kisa ambacho mpaka leo huwa sielewi sababu yake

  Hili ni tukio la kweli kabisa. Sehemu / Nyumba ninayoishi ni self contained vyumba viwili na public washroom/lavatory. Sasa kuna siku mwaka jana nimekaa zangu nacheki TV nikabanwa na mkojo so mdogo mdogo nikasimama nielekee lavatory ku-empy my bladder. Sasa ile nimekaribia mlango wa choo...
 12. comte

  Kwa wanaoamini kila kifo ni kwa sababu ya CORONA msikikilizeni Baba Askofu Kasala

  “Walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakayokula matunda ya mti huo utakufa hakika.” (Mwa.2:17). Shetani alidai “Hakika hamtakufa.” (Mwa. 3:4). Lakini baada ya kutokutii, Adamu na Hawa waligundua kuwa mshahara wa dhambi kwa uhalisi ni “mauti” (Rum.6:23)...
 13. R

  Sababu 5 kwanini Afrika haina vifo vingi vya Corona kama ilivyo US, Ulaya na Asia

  By Anne Soy BBC Senior Africa correspondent Nadhani sababu namba tatu na Nne zimetusaidia zaidi: Kun literature ya kutosha kuhusu hizo point mbili na siyo sala za Mungu na kujifukiza So what are some of the reasons for Africa's relatively low death rate Coronavirus in Africa: Five reasons why...
 14. J

  Nakubaliana na Rais Magufuli kwa sababu enzi za "mitishamba" afya za Watanzania zilikuwa imara!

  Anachokisema Rais Magufuli ni kwamba Watanzania tusipaparikie chanjo bali tuimarishe kinga zetu kwa kutumia tiba na njia za asili ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu. Nijuavyo mimi kitengo cha utafiti wa tiba za asili kimekuwepo tangu 1971 kabla hata ya hii NIMR iliyoasisiwa miaka ya 1980s na dawa...
 15. yuda75

  Wazazi wengi huwakataza watoto wao wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya. Nini Sababu?

  Habari wadau. Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe Mnyakyusa, Mhaya au Mchaga bila kutoa ufafanuzi. Kwanini? Hebu tujadiliane, kama unafahamu chochote kuhusu makatazo haya funguka hapa tafadhali
 16. J

  Zifahamu dalili na sababu za Saratani ya utumbo mpana

  Saratani ya utumbo mpana ni aina mojawapo ya saratani ambayo inaathiri utumbo mpana na eneo la mwisho la utumbo mpana linaloitwa rectum. Mwanzo wa saratani ya utumbo mpana ni vimbe ndogondogo zisizo saratani ambazo taratibu huanza kujitengeneza kwenye utumbo na baadaye kuanza kugeuka kuwa seli...
 17. K

  Corona: Utamaduni wa kupenda kubishana bila sababu umetufikisha hapa

  Tuna kundi kubwa sana kwenye jamii yetu ya watu kupenda kubishana bila kuwa na data zozote wala ushahidi. Kubishana ni hobby ya watu wengi hivyo tusishangae wakati mwingine hata kwa viongozi kuna mabishano ambayo hayana msingi. Kuhusu Corona tunaweza kubishana kwamba kufunga biashara hatuwezi...
 18. Shadow7

  Application ya photos imeharibika bila sababu

  Habari Jf, Application ya photos ya pc window 10 imeharibika bila sababu. Naomba wenye ujuzi wa hili wanisaidie jinsi gani nitaitengeneza maana ndio ninayotumia tu. Kama kuna application nyingine naomba mniambie ili niipakue. Nisaidieni tafadhari.
 19. J

  Mzee Mgaya: Sitashangaa chanjo zikija tukiambiwa wanaanza viongozi kuchanja kwa sababu chanjo ni chache!

  Mzee Mgaya anasema mara nyingi siasa na uhalisia ni vitu viwili tofauti na hata kwenye Covid 19 unaweza kushangaa chanjo ikija mawaziri na wabunge wakalazimisha wao ndio wawe wa kwanza kuchanja wakati sasa hivi wanajidai hawataki. Muhimu ni kuchukua tahadhari binafsi upambe unaweza kutukosesha...
 20. Erythrocyte

  Sababu hasa za Simba kuingia Bungeni ni zipi ?

  Mwenye majibu anieleweshe
Top Bottom