IJUMAA KAREEM WAKUU 🤲🏾
Leo tusikumbuke tu kusema Ijumaa njema, bali tukumbuke pia kusamehe, kusaidiana na kumuomba Mwenyezi Mungu atufungulie milango iliyofungwa.
Kila mmoja ana vita yake ambayo haionekani kwa macho.
Mwenyezi Mungu awape wepesi wenye uzito moyoni, riziki yenye baraka na majibu...
📌KUTOKA KUIKUTA IKIJENGWA VIPANDE VIWILI, LEO CHINI YA RAIS SAMIA SGR VIPANDE VYOTE 6 VINAJENGWA NA WANANCHI WAMEANZA KUPATA HUDUMA.
Na Bwanku M Bwanku.
Juzi Ijumaa Septemba 11, 2026 kwenye Gazeti namba moja kwa ukongwe Tanzania, Gazeti la Uhuru ukurasa wa 14 kuna makala ya Ndugu Bwanku M...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, ameachiwa huru kwa masharti na Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma baada ya Serikali kuondoa nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili.
Kaijage ameachiwa leo, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Denisi Mpelembwa...
📌MSIMAMO WA Rais SAMIA BEI SARUJI WATIKISA — Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza hatua za kudhibiti kupanda kwa bei ya saruji na kuhakikisha wananchi wanapata bidhaa kwa bei nafuu.
📌Mhe. Mwigulu: Tuwawezeshe Watanzania kushika uchumi wao, kupunguza umaskini — Serikali yaweka mkazo katika...
Jana nimewasema vijana kutopiga kazi na wengine kutojishughulisha na kuomba omba pesa
Kwanini nilisema Kuomba omba pesa na ilinikera
Mtu Ana bando Ana simu Ana contact kibao za kuwezo kumpa kibarua hata cha kufyeka apate angalau sh 4000 kwa siku ye anakuja Mtanzanoa kuomba 1000 ya kula ? Huo...
“Enyi mlioamini! Inapoitwa Swala siku ya Ijumaa, nendeni kumkumbuka Mwenyezi Mungu…” (62:9)
Kila muislam anatakiwa inapofika wakati wa swala utapofiks tuache kila kitu tukimbilie msikitini.
Kama ni semina, bungeni, kazi binafsi, kampuni
Leo ijumaa tuombee dua sana watu wa Iran walinde nchi yao iliovamiwa na maadui.
Wanaharakati wa Tanzania pia tuwaombee dua macho yao yafunguke ili wajue maana ya haki za binaadam.
Kwanini wanashindwa kulaani raia wa Isreal na marekani wanaonyanyswa kutuma picha za matukio ya vita nchini kwao?
Kulikuwa kuna mawaiza gani maana eneo nililokuwepo baada swala tunajua kuna mawaiza ila cha kushangaze mawaiza yalipofikia wakapunguza sauti za vifaa.
Nikashangaa maana sio kawaida.
https://www.youtube.com/watch?v=qb1BTEzjtbI
Pia soma:
~ Rais Samia kumuapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu, leo Novemba 14, 2025
~ Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%
Serikali ya Kenya imetangaza Ijumaa, Oktoba 17, 2025 kuwa sikukuu ya umma kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, aliyefariki dunia Oktoba 15, 2025 akipatiwa matibabu nchini India. Katika tangazo maalumu la gazeti la Serikali Na. 15007 iliyochapishwa mapema Oktoba 16, 2025, Katibu wa...
Kumbuka ni ijumaa ya wiki hii na mwezi huu...
Je, Unabii Utatimia na kitu Gani kitatokea tusubiri...
https://www.instagram.com/reel/DN0iage2O2y/?igsh=MWV2YzFhcGg1NTl4dQ==
Bunge la Malaysia limepitisha hukumua ya kupigwa viboko na kwenda jela angalau maiezi 6 au vyote kwa pamoja kwa mtu ambaye hatakwenda kuswali swala ya ijumaa .
Hii ni baada ya kuongezeka kwa watu wasio swali nchini humu katika taifa hilo lenye waislamu wengi zaidi duniani
USSR
Nimetengeneza kundi la wasap nimewaunganisha watu 100 na kuwaomba sana ijumaa mtoko ni Lupaso tu not otherwise.
Chonde chonde mtanzania Morroco atakufa kWa umoja na mshikamano
Waganda wako juu sana kwenye Hamasa, wakenya wako juu vibaya mno ktk Hamasa
Ni kushangilia mwanzo mwisho ijumaa ili...
Omba radhi Kiongozi kwani umekosea ulipaswa kuheshimu siku ya leo ya Ibada kwa Waislamu na ungelifanya press yako siku nyingine Umuhimu wa siku ya leo ni mkubwa sana kuliko dira ya aifa. "Bora ya siku uliyochomozewa na jua ni siku ya Ijumaa, ndani yake ameumbwa Adamu-Amani imshukie-na...
Historia inaonyesha Ijumaa kuadhimishwa kama siku muhimu kidini ni muendelezo wa karne nyingi sana wa utamaduni wa kiarabu ambapo siku hii hapo mwanzo ilikuwa ikitumika kama siku ya soko kubwa kwa makabila mbalimbali ya Waarabu waliokuwa wametawanyika mashariki ya kati.
Siku hii ya Ijumaa...
Wanafika kuazia saa 11 alfajiri kila Ijumaa kumsubiri tajiri wa Oilcom. Naye anawagawia Tsh 2,000/= kila mtu.
Mtaa huu ni maarufu kwa vile una migahawa miwili maarufu Chef Pride na KT Shop. Tajiri wa Oilcom anafika mida ya saa 1 kupata breakfast yake Chef Pride
Kuna ombaomba wa umri kuanzia...
NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 27/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Ili kukamilisha mipango yako ni...
Arsenal inapigana vikumbo na wapinzani wao wa Kaskazini mwa London, Tottenham katika mbioz za kumsajili kiungo wa Crystal Palace na England, Eberechi Eze, 26, ambaye anatajwa kuwa na thamani ya pauni milioni 68 (Sun).
Washika bunduki 'The Gunners' wanamsaka Eze ambaye ni mbadala wa mshambuliaji...
Iran leo inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa. Tukio hilo, linakusudiwa kuonyesha umoja na ukaidi katika kukabiliana na mashambulizi wa Israeli.
Iran plans public rallies after Friday prayers amid ongoing Israeli strikes
Public...
NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 20/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
Leo jitahidi kutekeleza ahadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.