namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania GEMINI AI PRO HAITENGENEZI VIDEO NZURI KWA SABABU TU NI AI—UBORA WA VIDEO YAKO UNAANZIA KWENYE NAMNA UNAVYOIFIKIRIA KABLA HATA HUJABONYEZA “GENERATE.

    Watu wawili wanaweza kutumia AI ileile, lakini mmoja akatengeneza video inayokufanya usimame ku-scroll, wakati mwingine akapata video inayoonekana wazi imetengenezwa na AI. Tofauti mara nyingi si AI wanayotumia. Tofauti ni namna wanavyoitumia. Kama unatumia Gemini AI Pro katika workflow yako ya...
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuoga kwa kutumia mzizima na chumvi ya mawe kujitakasa, kuondoa uchawi mwilini na husuda.

    Chumvi ya mawe kwa urahisi kabisa inapatikana kwenye maduka ya dawa za asili . Miongoni mwa faida kuu ya chumvi ya mawe ni kukuondolea uchawi uliopo mwilini mwako, husuda na kama kuna milango ya ridhiki ilifungwa basi ukitumia chumvi ya mawe itakusaidia sana kufungua kifungo. Cha kufanya...
  3. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Kuna namna Vodacom speed yao ya internet umepungua ukilinganisha na YAS

    Wakuu mimi nilikua user wa vodacom taangu 2008 lakini hivi karibuni nilikua nikipata usumbufu wa internet kuwa slow nikawa nafanya trial leo nimejiunga na internet ya YAS naona iko faster nimeiwasha Vodacom kwa sababu ni line yangu basic na itakua kwa ajili ya kupiga na kupokea simu tuu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni ipi namna rahisi ya kulipia hizi AI apps online?

    Kuna baadhi ya apps humu mtandaoni pamoja na kwamba zinajitangaza kama ni free, la ajabu unapomaliza kuitumia na kuhitaji kui save au download wanakuletea mpango wa kulipia kwanza.Kinyume cha hapo kazi yote uliyoifanya unaipoteza.. Sasa ni njia zipi rahisi za kulipia maana nyingi ya hizo kama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna wannanchi wanavyopqmbana na vyombo vya dola, siku askari wakizidiwa itakuwaje?

    Wananchi wamekuwa na hasira na wamechoka. Wanapambana na askari wa vyombo vya dola. Siku raia wakiwawazidi nguvu askari itakuwaje? Huko Tabora naambiwa wananchi wametembea na Ak 47.
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutengeneza mtindi mzito na mtamu sana nyumbani kwako.

    Jinsi ya kugandashia maziwa nunua maziwa fresh lita 2 au vile upendavyo yachemshe yapoe Kisha chukua vijiko 4 vya kulia chakula vya mtindi (culture) iwe asass, au Tanga fresh ambayo unapenda weka kwenye maziwa Yako ambayo yamepoa👌Kisha weka kwenye chombo kisichopitisha hewa funika kwa masaa 24...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Picha nzito ya historia ya evolution ya mtu mweupe. Sisi bado tupo na maswali ya namna ya kufanya zindiko zuri la utumbo wa samaki ili kupata wateja.

    Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani. Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" , 😁😁 no bro, you are just dumb The Worst Marcostilone mcTobby
  8. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kuna namna naanza kuwaelewa wanawake

    It's all about survival.. Mwanamke haangalii upendo kutoka kwako tu, kama sisi tunavyo waona. Mwanamke cha kwanza anachoongea ni uwezekano wa provision, na safety. Ndo maana sijawahi kuona mwanamke anatamani mwanaume handsome ila kapuku. Mwanaume unaweza kwenda kijijini ukakutana na pisi kali...
  9. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Hawa wanawake inaku vipi namna hii

    Hivi wazee mwanamke mwenye umri chini ya miaka 30 na matiti tayari yamelala yaani yamedondoka kabisa na wakati hana mtoto hata mmoja kitaalamu hii inamaana gani? 1. Je katumika sana yani kala paipu nyingi za aina tofauti tofauti? 2. Je kawahi kutoa mimba? 3. Je ndivyo yalivyo? 4. Je jibu...
  10. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Magufuli Kuna namna alimvumilia sana.

    Yeah.. kama Hali ndio hii na mood swings za hapa na pale, Kuna namna mzee naye alimvumilia ... Ndio maana magufuli alikuwa ni one man Army kila mahali yumo ,hakutaka kutumatuma . Alienda mwenyewe . NB:madarka yalivyo matamu huwezi niambia na kuni shawishi nikaelewa wafilipi de la planer na...
  11. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania JAMAA ALIEIBAA SIMU DUKANI KWA SURARAIYA , ASHAIRUDISHA, HAKUA NA NAMNA, CCTV MCHAWI

    Mitandaoni huko, Kuna tukio lilisambaa likimionesha jamaa, akiingia kwenye duka la nguo na kubeba simu, hakukuwa na mtu wao wanavo dai walikua store. Ebhanaeee kama kawa CCTV camera ikamchora tu mwamba, akasepa walipo Rudi shop hawaoni simu, kupitia camera wakamuonea mdau ila hawamtambui...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka kashfa yake ya 2005 naona ni ngumu sana kumtetea Lema, hakuna namna afukuzwe tu CHADEMA

    Kwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje...
  13. RSM Dominik

    JamiiForums Tanzania NIIWEKEZE KATIKA NAMNA GANI IONGEZEKE HII PESA?

    Wakuu mimi kama kijana ninayechipukia katika kuelekea njia ya mafanikio nimejibana bana account yangu ya mpesa ina laki tano, kama mjuavyo nikisema niidumbukize yoote katika biashara ni kama kuBET japo naweza kuotea pia, kwa sasa sijapenda kuanza biashara moja kwa moja hivyo naomba mnipe idea...
  14. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Namna CHADEMA walivyopika Bomu lisiloonekana

    1. Elimu Elimisha kizazi kimoja kwa zaidi ya miaka 10, uone jamii hiyo itakavyoathirika. Elimu hiyo iathiri tabia zao, dini, utamaduni na vyombo vya habari hadi kugeuza uelekeo wao na mtindo wa kufikiri kwa kukumbatia minyororo na kujilaza mbele ya kiti cha mkoloni. Kuelimisha ni kuvunja...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya ku unlock Airtel Mifi iweze kukubali line zingine

    Habari za Jumapili wakuu, naomba msaada namna ya ku unlock Mifi yangu ya Airtel, nimehamia eneo ambalo mtandao wa Airtel ni kipengele
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Namna neno la Mungu kutoka kwenye Biblia linavyoweza kukupa MAARIFA kwenye maisha yako

    Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist 𝑺𝑰𝑵𝑨 𝑲𝑨𝑵𝑰𝑺𝑨 𝑯𝑼𝑫𝑼𝑴𝑨 𝒀𝑨𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑰 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬👉🏿 𝑵𝑨𝑺𝑯𝑨𝑹𝑬 𝑵𝑬𝑵𝑶 𝑳𝑨 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑨 𝑾𝑨𝑻𝑼 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬 𝑳𝑰𝑾𝑬𝒁𝑬 𝑲𝑼𝑾𝑨𝑷𝑨 𝑵𝑮𝑼𝑽𝑼 𝒀𝑨 𝑲𝑼𝑬𝑵𝑫𝑬𝑳𝑬𝑨 𝑲𝑼𝑷𝑨𝑴𝑩𝑨𝑵𝑨 𝑲𝑾𝑬𝑵𝒀𝑬 𝑴𝑨𝑰𝑺𝑯𝑨, 𝑴𝑩𝑰𝑵𝑼 𝒁𝑨 𝑲𝑰𝑭𝑰𝑲𝑹𝑨 (𝑴𝑨𝑨𝑹𝑰𝑭𝑨) 𝑵𝑨 𝑴𝑰𝑼𝑱𝑰𝒁𝑨 𝙒𝙖𝙚𝙗𝙧𝙖𝙣𝙞𝙖 4:12 𝑀𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑁𝑒𝑛𝑜 𝑙𝑎 𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑙𝑖 ℎ𝑎𝑖, 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑙𝑖𝑛𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢...
  17. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Namna wenzetu wanavyowaandaa watoto wao kuja kuwa wasimamizi wa biashara zao

    Huyukushoto ni mtoto wa Mohamed Dewji,anaitwa ABBAS ndiye mrithi wa mali zote za ukoo na msimamizi (ameshateuliwa),sasa hivi anazunguka nae katika kila sula la biashara na anaingia naye kwenye vikao vya bodi ya wakurugenzi ya METL. Huyu katikati ni WAMKELE MENE , Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya...
  18. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Mtu hajakuomba ushauri, wewe unamshauri, halafu hujui namna ya kushauri, nyambafu!

    Mara ooh! Hili shati siyo zuri, nyambafu! Kama kwako siyo zuri kwangu ni zuri. Mwingine ooh! Usipige nyeto maana siyo tamu! Kama kwako siyo tamu funga bakuli! Ukumanyoko wala si dili! 😎
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Mnyika anavyocharaza vingwendu mahakama leo tarehe 01.09.2026 Je apewe PHD?

    Wadau kichwa cha habari chajieleza hivyo naomba majibu yenu.
  20. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Nimeshtukaa! Kumbe wanawake wa Tarime wana Mikia namna hii!.

    Happy New Month, Guys, nilikua Tarime for few days, sasa siku ya jumapili tukasema tujipongeze before hatujaondoka, nikauliza kiwanja kinachobamba nikaambiwa CMG Hotel, wakapasifia weeh sijui Mondi ndio anapolala blah blah blah, nikasema poa, sikua peke yangu nilikua na jopo la wafanyakazi...
Back
Top Bottom