askofu

  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Askofu apigana kisa waraka, pepo linamtafuna.

    Pepo kanisani. https://www.instagram.com/reel/DdzWfPLInes/?stkn=MXB0OHRtczVhMnZjMA==
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Makonda halijui vizuri Kanisa.

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian, Emmaus Mwamakula, amemjibu Paul Makonda, akidai kuwa kauli zake za kulitaka Kanisa kuacha “kunyooshea kidole” Serikali zinaonesha kutolijua vizuri Kanisa na historia yake. Akizungumzia kauli ya Makonda kwamba Kanisa linalonyooshea Serikali kidole si Kanisa...
  3. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa kuwa makini na kanisa lako acha kukaribisha wanaccm wenzako kushambulia makanisa mengine

    Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa...
  4. papag

    JamiiForums Tanzania Msikilize Baba Askofu kuhusu malezi

    Tuko kwenye kipindi kipi? Na je huko mbele Taifa litakuwaje?
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Askofu wa makanisa ya GCTC - Ufufuo na Uzima Dr Josephat Gwajima?

    https://youtu.be/VucOADP1loY?si=f0xgGxMinKLYLnbZ Mnajua yuko wapi huyu Jesusi wa mbinguni, Askofu Josephat Gwajima? Mnakumbuka aliyowahi kusema huko nyuma kuhusu Tanzania na mwisho wa CCM? Sikilizeni... Vita ya kuikomboa Tanganyika inapiganwa katika maeneo mawili; 1. Mwilini (Physical realm...
  6. Ileje

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula alivyomtwanga Simbachawene kwa hoja hadi leo hajazinduka

    ASKOFU AJIBU HOJA ZA SIMBACHAWENE JUU YA DKT. NCHIMBI NA KATIBA MPYA! Ndugu Watanzania! Mbunge wa Jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma na aliyekuwa Waziri Mwandamizi katika serikali ya Samia na Serikali ya Magufuli, Mhe. George Simbachawene kasikika akisema kuwa katiba ya Tanzania iko imara na haina...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa Polepole ateta na Askofu!

    Ndugu Watanzania! Usiku huu nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu ambaye ni mmoja wa ndugu wa Mhe. Balozi Humphrey Polepole. Nimebadilisha initials au utambulisho wake kwa sababu za kiusalama. Suala la Polepole lina simanzi isiyoisha, hivyo hatuwezi kupuuzia minong'ono yoyote kuhusu wapi alipo. Kwa...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima: Mungu hachelewi kutimiza ahadi yake. Utekaji umezidi. Maisha ya watu yanaharibika. Mungu atajibu kwa upanga

    "...Mimi ni mwanachama CCM, mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ambaye hakubali uonevu, hakubali utekaji na ambaye hakubali ufisadi. Mimi nimedhamiria kusimama na wananchi mpaka mwisho..." Hii ndio kauli iliyowakwaza watawala waovu wa serikali dhalimu ya Samia Suluhu Hassan na CCM yake hata...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa kuendelea na Prof. Faustine Mahali km VC ni kuiangamiza na kufutwa Chuo Kikuu Makumira

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Serikali inatambua mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Nchemba

    Serikali inatambua mchango wa Kanisa na baba Askofu. Kila tunapotaja maendeleo ya nchi yetu, kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofika, hatuwezi kuyataja kwa kina maendeleo hayo bila kutaja mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Mpanda - Katavi. 🗓️ Agosti 30, 2026. ————————————————...
  11. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu Ado katika Ibada ya Jubilei ya Miaka 25 ya Upadre ya Mhashamu Askofu Filbert Mhasi, Tunduru

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado ameshiriki Ibada ya Jubilei ya Miaka 25 ya Upadre ya Mhashamu Askofu Filbert Mhasi wa Jimbo Katoliki Tunduru Masasi iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa la Mtakatifu Xavery Tunduru, Agosti 23, 2026.
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Museveni awa Askofu. Mamlaka ya Mapato Uganda 🇺🇬 yatumia ukurasa mzima kumpongeza.

  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula aitaka Serikali ya Tanzania itoe maelezo kuhusu tuhuma dhidi yake kupeleka watu kusaidia kupora Zambia!

    Ndugu Watanzania! Nchi yetu imeingia katika dimbwi la matope na kinyesi. Tanzania inatuhumiwa kupeleka watu kwenda kusaidia kupora Uchaguzi wa Zambia kumsadia Hakainde Hichilema anayesadikika kuwa ameshindwa Uchaguzi ili aapishwewa kuwa Rais wa Zambia kwa muhula mwingine. Mgombea wa upinzani...
  14. Huihui2

    JamiiForums Tanzania KKKT Loliondo wasalia nje kisa hawamtaki Mchungaji aliyeletwa na Askofu

    Mgogoro unaendelea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Loliondo, Jimbo la Maasai Kaskazini, umeingia katika hatua mpya baada ya waumini kuendelea kufanya ibada nje ya jengo la kanisa kwa zaidi ya wiki nane, wakipinga kuondolewa kwa mchungaji wao, Hery Johannes...
  15. tpaul

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa ameigeuza KKKT kuwa jumuiya ya CCM

    Inasikitisha na inahudhunisha sana Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), ndugu Alex Malasusa, ameligeuza kanisa hili pendwa kuwa kama jumuiya ya CCM. Wakati alipokuwa kwenye nafasi ya uaskofu mkuu kwa mara ya kwanza, Askofu huyu ambaye ni kada maarufu wa CCM...
  16. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Nipo kanisani, huyu Askofu kila mada anayotoa leo naona ananilenga mimi, nikipata nafasi nachomoka hapa

    Kwanza sadaka sitoi Huyu bwanah anatoa maandiko huku ananikodolea macho nafikiri atakuwa ameelekezwa tu namtu anipige vijembe Kaanza na mada za ugomvi na kupigana , anazungumza huku ananitolea macho japokuwa nimekaa nyuma ila ananitolea macho mpaka huku alafu ana macho makali kinoma yaani...
  17. papag

    JamiiForums Tanzania Askofu Bangonza: CCM wanaomshambulia Dkt. Nchimbi ndio wanakwamisha Katiba mpya

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza amedai kuwa kuna tafsiri mbili zinazopingana za hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi aliyoitoa hivi karibuni ya kuwataka Watanzania wapambane kupata...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Askofu Nyaisonga Rais mpya AMECEA. Tanzania bado imara

    ASKOFU MKUU GERVAS NYAISONGA ACHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA AMECEA Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mbeya Mhashamu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki (AMECEA). Uchaguzi huo umefanyika wakati wa Mkutano...
  19. Inside10

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwagala: Vijana Wakirudi Nyuma Taifa Litapoa Tunahitaji Nguvu Yao

    Sehemu ya maoni ya Mhashamu Vicent Mwagala Askofu wa Jimbo Katoliki Mafinga juu ya mapendekezo ya Vijana katika Mkutano Mkuu wa 21 wa Amecea.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Serikali nayo ikiwa ni ya walalamikaji inaondoa matumaini

    Nukuu ya mazungumzo ya kwenye video "Wapinzani wanailaumu Serikali, wanalaumu mifumo, wanalaumu mahakama, wanalaumu Jeshi la Polisi, na kadhalika. Lakini wanasimama viongozi wa Serikali, wanawalaumu wapinzani, wanalaumu Diaspora, wanalaumu watu walioko nje. Hakuna anayekaa mahali pa kuleta...
Back
Top Bottom