umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano ina umuhimu gani Zanzibar?

    Viongozi wetu tuambieni na tufafanulieni vizuri tuwaelewe. Huu Muungano una dhima gani Kwa wenzetu visiwani? Zanzibar Wana sheria zao tofauti kabisa na Tanzania. Rais wa Jamhuri akisema Watanzania ana maana watanganyika siyo wazanzibari! Wananchi wa kawaida wa Tanganyika wananufaika vipi na huu...
  2. M

    Umuhimu wa Certifications

    Habari wanajamvi, Natumai siku hii ya alhamisi imeenda vizuri. Binafsi Mungu amenipa uzima na nia ya kuandika hivi nnavyotaka kuvidondhosha hapa. Nilikuwa namsikiliza dada mmoja Youtube leo akitema madini kuhusu remote work. Kwamba ina faida kwa waafrika, hasa katika mazingira yetu ya leo...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Umuhimu wa kumuombea mume wako

    Umuhimu wa kumuombea mume wako Kumuombea mume wako ni muhimu kwasababu unapomuombea mumeo ni kama unajombea wewe. Mafanikio ya mume wako ni ya kwako pia Unapomuombea mumeo inaongeza na kukuza upendo wako kwake Inakuamsha kwenye upendo mkuu zaidi wa Mungu aliokuunganisha na ndoa yako...
  4. Tlaatlaah

    Ni nini hasa kazi na umuhimu wa kuvaa nguo za ndani?

    Ni nini chimbuko la uvaaji nguo za ndani.. Zililenga kusaidia nini? Na mpaka wa sasa zina imuhimu gani?
  5. Allen Kilewella

    Umuhimu wa mtu kama Bocco Simba unaonekana

    Kwa Hali ya mambo ilivyo ndani ya Simba hivi Sasa Kuna umuhimu wa kuwa na Kepteni mwenye sifa kama za Bocco. Mohamed Hussein ni mkongwe ndiyo, Lakini sidhani Kama ana nguvu kubwa ya ushawishi kwa wachezaji wenzake. Nakumbuka wakati Yanga wamevurugikiwa Kwa kuondoka Kwa Manji, Mwinyi zahera...
  6. Alwaz

    Kwa vile Israel imekubali yaishe; je, kuna umuhimu kuonewa huruma ili dunia ipate nafuu?

    Matukio ya jana jimboni Gaza na kauli kutoka Marekani na Israel ni wazi kuwa mbabe mkubwa amekubali kistaarabu ili yaishe. Shinikizo la kuondoa askari Gaza si la Benjamin Netanyahu kwa ridhaa yake bali limetokana na ukweli aina tofauti katika uwanja wa vita. Ukweli wa mwanzo ni kuwa hali ya...
  7. M

    Je, ni zipi sababu za kupanda kwa bei ya .Com domain kwa Tanzania?

    Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu. Nikaanza kufanya research juu ya kampuni ambayo ningeweza kuitumia kwaajili ya kuhost website yangu.lakini nikajikuta nakwama kutokana na gharama...
  8. mathsjery

    Hivi drone haiwezi Fanya hii kazi ili lote Lina umuhimu gani?

    https://www.instagram.com/reel/C1nDREBvrDI/?igsh=MzY1NDJmNzMyNQ==
  9. Mfugaji123

    Umuhimu kufanya upembuzi yakinifu (Feasibility Study) katika biashara

    Watu wengi hawana mazoea ya kufanya upembuzi yakinifu ( yaani feasibility study) kabla ya kuanza biashara au kuona biashara zao zinavyoendelea na matokeo yake hupata hasara ya fedha na muda kwa kufanya biashara wasiyoifahamu sawasawa au huogopa kuwekeza pesa kwenye biashara yenye maslahi kwa...
  10. Alwaz

    Chansela Scholtz wa Ujerumani asema gharama ya kupambana na Hamas hailingani na umuhimu wa lengo. Hawezi kukaa kimya kuona watu wanakufa namna ile

    Kiongozi wa Ujerumani, chansela Scholtz amemshushua Benjamin Netanyahu hadharani hapo jana wakati wa mjumuisho wa ziara yake nchini humo mbele ya waandishi wa habari. Kauli zake ni kuungana na viongozi wengi wa kimataifa ambao wameingiwa na huruma japo hatua wanazochukua haziendani na haja ya...
  11. M

    Serikali na mashirika binafsi zione umuhimu wa kuanza kutumia mifumo ya NFC kwa transaction

    Sahivi simu nyingi hapa bongo zina support NFC (Near-field communication) ambayo inaweza kurahisisha transaction kwenye mifumo kama ATM, vivuko, machine za uwakala, pia kulipia ushuru wa magari na vitu vingine vingi, ni salama ni rahisii na unahitaji Tu kuwa na simu yako basi na kama ilivyo...
  12. Sijali

    Kama tumeshindwa si aibu

    Leo hii watu wengi washangazwa na namna nchi za Ghuba ya Uajemi, kama Emirati, Kuweit, Oman na Qatar zilivyopiga hatua kubwa, ambapo miaka ya sitini hadi sabini nchi hizi zilikuwa nyuma na maskini hata kuliko Tanzania. Ujanja walioufanya ni kuwa: kwanza walitambua na kukubali kuwa wao wako...
  13. W

    Umuhimu wa Kumbi za Starehe kuaanza kukagua Vitambulisho vya wateja Nchini

    Siku hizi idadi ya watoto wanaokwenda kumbi za starehe ni wengi mno. Na utawakuta wanakunywa pombe, kutumia madawa ya kulevya, kujiuza, kuvuta sigara, kufanya biashara haramu na mambo mengine yanayokiuka jamii. Tatizo hili tunaweza tusione madhara yake sasa hivi lakini ndo tunavyokuza kizazi...
  14. Tlaatlaah

    Kuna Haja au Umuhimu wa Shukran na Kupongezana Baada ya Tendo

    Tendo la ndoa ni miongoni mwa vichocheo muhimu sana vya kuimarisha upendo miongoni mwa wachumba na wanandoa.. Baadae ya tendo, purukushani au zoezi zito sana, na tamu mno la ndoa kukamili katika ukamilifu wake.. Je,! kuna haja ya wahusuka kila moja kumshukuru na kumpongeza mwenzake kwa kazi...
  15. Jr Simeo

    Umuhimu wa kuthamini mapito yako

    Usimahau aliyejitoa kidogo alichokua nacho ili akukwamue katika shida zako. Alisimama kama ngazi ukapita , basi nawe simama kama ngazi apite au kipite kizazi chake hiyo ndiyo hekima, busara na mapenzi ya kweli.
  16. K

    Hakuna umuhimu wa machine za kubeti mitaani

    Kuna viongozi wananufaika na hizi machine za ku bet ambazo zimesambaa kila mahali. Kama sio hivyo basi tuambiwe faida ya hizi machine kwa taifa. Kila mahali kuna machine za wachina wanapita kukusanya pesa kila siku pesa badala ya kusaidia kamii inaenda kusaidia hawa wawekezaji fake na viongozi...
  17. S

    Fahamu baadhi ya umuhimu ya kula matunda nusu saa kabla ya kula mlo

    Unafahamu kuwa unashauriwa kula matunda Nusu saa kabla ya kula chakula au mlo kamili, Kula matunda kwa muda huo unaweza saidia mwili wa binadamu kwa njia tofauti. Kula matunda kabla ya chakula kunaweza kusaidia kujiandaa kwa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa ajili ya chakula kinachokuja, hivyo...
  18. Jr Simeo

    Kuna wakati ukimya wako ni bora zaidi kuliko kuongea!

    Muombe Mungu akuzidishie hekima ya kunyamaza kwa yale wanayokutendea, kwani ukiyazungumza yatakupeleka matatani kwakuwa kunawakati ukimya wako ni bora zaidi ya uzungumzaji wako katika kila jambo. However you cannot stay silent at everything you face, Therefore you need to internalize yourself...
  19. Roving Journalist

    Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

    Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_ Waombolezaji wametoa...
  20. Myahudi Jr II

    A ya Physics/Math haina Umuhimu kwa "Kingereza hakipo"

    Wasalaamuu.... Dunia inaenda kasi sana, Makosa yalifanyika kufanya "KIIGNILISHI" kuwa lugha ya dunia, Hii inaumiza sana watu ya dunia ya 3 hususani Wananchi wa Kizimkazi. Juzi niliona "Twita" madaktari wamechachama wanadai pesa ni ndogo wanayolipwa "it might be true" ila nikajiuliza "Dakitari"...
Back
Top Bottom