Leo, Oktoba 16, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria katika Shauri la Kikatiba Na. 7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kulwa Maduhu, Nashon Nkung'u, na Paul Kisabo). Mahakama imebainisha wazi kuwa vitendo vya uongozi na maafisa wa...
anapaswa
binafsi
gereza
gereza la ukonga
kanuni
katiba
kisheria
kufunguliwa
kushtakiwa
kuu
kuvunja
kuvunja katiba
mahakama
mahakama kuu
mashtaka
mkuu
mkuu wa
mkuu wa gereza
nchi
uamuzi
ukonga
ushauri
ushauri wa kisheria
Moja ya mijadala iliyokuwa na maoni mbalimbali ni hii video clip ya Mchungaji mmoja nchini Tanzania akisema kuwa Baba au Mwanaume ndio anapaswa kutoa Baraka na si Mama.
Watu wengi wameunga mkono na wengine kupingana nae.
Wengine walienda mbali na kurejea visa mbalimbali kwenye biblia
Mwanzo...
Tunaweka mipango kwa ajili ya kesho, kujenga nyumba, kununua gari, kuanzisha biashara, kusomesha watoto na kuweka akiba.
Lakini kuna swali moja muhimu ambalo wengi wetu tunalisahau: “Kama kesho sitakuwepo au nitashindwa kufanya kazi kwa sababu ya jambo lisilotarajiwa, familia yangu...
Wakuu habari!
Kwa muda mrefu sasa hii nchi imekuwa na uholela wa kufanya biashara hasa kwa hawa wanaojiita wamachinga!
Kwa jiji la Dsm wamachinga wamejimilikisha maeneo yote ya barabara na kwengineko mamejenga mpaka mabanda juu ya mitaro!
Kwa wiki za karibuni RC wa Dsm amesikika kuanza...
Wazee kama hawa wanatukosea sana vijana. Tukiwakosoa, wanatuona hatuna adabu wala heshima kitu ambacho sio kweli kwa sbb wao ndio wakekosa kujiheheshimu ili na jamii iwape heshima yao..
Laiti angejua kuwa heshima hapewi mtu kwa sababu tu ya umri wake au cheo chake, basi asingeweza kutoa...
Wakuu
Baada ya kuangalia perfomance ya The Mother na Malkia wa Majukwaa ya Kombe la Dunia 'Shakira', The African Giant 'Burna Boy', Tyla kwenye ufunguzi wa michuano hiyo mikubwa ulimwenguni, unadhani ni Msanii gani wa Tanzania anapaswa kupewa Mkataba wa wimbo wa FIFA World Cup ijao?
Zama zile Tuliitwa Ngedere na wengine wakadiriki kutumbia ya kwamba tuamie Burundi, lkn zama hizi tunaitwa Nguchiro.
Jamani wanasiasa punguzeni zarau na kujiona ya kwamba mmefika climax au untouchable....Mimi uwa Nina amini malipo uwa ni apa apa Duniani.
Unatumia Kodi za nguchiro na Bado...
Wanaukumbi.
Sikiliza msimamo wa Saudi Arabia leo: “Hatuwezi tena kusimama na Trump; Trump anapaswa kwanza kujiokoa, kisha atuokoe.
Tangazo kuu la Saudi Arabia.”
Kwa mara ya kwanza katika zaidi ya miaka 80, Wasaudi wanasema HAPANA kwa Marekani.
Ninaiita Ugeuzi wa Karne wa Saudi Arabia...
Samia Suluhu Hassan hana sifa hizo ndiyomaana anapambana kuua watu wenye upeo mkubwa wa akili wanaomwambia ukweli.
"Ni hatari sana kuwa sahihi wakati serikali inakosea" Maxence Melo.
Wakuu,
Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo kwa hali ya utulivi na amani nchini Tanzania siku ya tarehe 9 Disemba 2025 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi ?
Taasisi ya urais imetoa sana kundule kwenye boliti ya wenzao lakini hakuna matokeo chanya. Je nyani haoni macho kwenye vibanzi?
Kati ya watu 70miloini hakuna anaeweza bali yeye tu? so Why!?
Mbona kama jahazi linazama mdogo mdogo, ina maana hakuna namna yoyote ya kuleta hari shwari!
Kama zipo...
Kwa mujibu wa Said Azan Msingili mgombea jimbo la Uzini amesema Ikulu si hospitali kwamba kila mgonjwa anapaswa kuingia .
Amesema ametaja hospitali kwani wapo baadhi ya watu ambao wamekuwa wanahamasisha vurugu na si amani huku akisema CCM
Imekuwa ni fashion kwa wanasiasa kila anayekwenda Mara lazima aende kwenye kaburi la Nyerere. Imekuwa ni kasumba ya kwenda kujikosha ionekane kwamba wanafuata misingi ya Mwalimu. Lakini hebu niwaulize swali nyinyi mnakwenda hapo.
1. Je matendo yenu na ya Mwalimu Nyerere yanaendana?
2. Je falsafa...
Wakati huu moto unaendelea kuwaka inatakiwa aibuke mtu mmoja mwenye kauli za kuchochea kama vile Lema, Lusinde, Lissu, marehemu Ndugai, Askofu Gwajima n.k
Mtu ambaye yeye kazi yake itakuwa ni kuwasimanga na kuwapachika majina mabaya viherere wote wa CCM mtandao (Wananchi wajinga) kuwashambulia...
Baada ya Polepole kutoa tuhuma nzito za mifumo ya uchaguzi kuingiliwa huku akitaka uchunguzi huru utaohusisha vyama vyote ufanyike ili umma ujiridhishe kama alichosema ni kweli au laa, nimejikuta na hili swali hapa chini:
Kama Lissu anashitakiwa kwa tuhuma za kusema atakinukisha kuvuruga...
Ndugu zangu.
Mahari iliwekwa kwaajili ya kulipia wasichana na siyo kulipia wanawake pindi unapotaka kuoa. Ila cha kushangaza utakuta wanaume wengi wa kikristo wanakomaa kulipia wanawake mahari badala ya kulipia wasicha(binti) huku wazazi wa wanawake hao wanakaza kichwa na kutamka mapesa makubwa...
Mahakama inatakiwa kuheshimiwa na isigeuzwe kama klabu cha pombe.
Kuna video clips zinamuonesha mtu mmoja akifoka na kuwatishia watumishi wa mahakama.
Nitashangaa sana kama ataachwa free na hatimaye hii ikageuka ndio utamaduni.
Ipo siku mtu ataibiwa halafu wakati wa kesi vibaka wakaambizana waje...
Sowah ni mchezaji mzuri, katika kuendelea kudhihirisha kile alichonacho, anahitaji kurekebisha vitu vichache tu
Sowah, anahitaji kutengeneza kitu kinaitwa Nidhamu, katika kujenga uwezo wa kipaji na kukipalilia, mtu yeyote anahitaji ajiheshimu na kuheshimu wengine hata kama ni kwa jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.