Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.
Sheikh Said Mwaipopo kile alichokuwa akikiita kikosi chake hatari cha 'Chui weusi' hawakuwa askari wala hakutumwa na serikali bali walikuwa ni raia na aliyokuwa anayafanya alifanya kwa ajili ya uzalendo
Amesema hayo leo Septemba 4, 2026 mara baada ya kukaa kikao alichoitwa na Waziri wa Mambo ya...
UZALENDO HAUNA VIPANDE
Uzalendo ni kuipenda nchi yako hata pale ambapo hakuna cheo cha kupata, hakuna pesa ya kupewa na hakuna maslahi binafsi yanayokusubiri.
Lakini uzalendo huu unaweza kuyeyuka haraka sana pale ambapo nchi yenyewe inaanza kugawanywa katika hisia, utambulisho na maslahi...
Tumpe maua yake angali hai.. Tusisubiri afe ndio tuyaseme!
Jaji Joseph Sinde Warioba ni mmoja wa viongozi wachache wakongwe nchini Tanzania ambaye maisha yake yote yamekuwa kielelezo cha uadilifu, uzalendo, na ujasiri wa kusimamia ukweli kwa maslahi ya taifa.
Alizaliwa Septemba 3, 1940...
Ikikumbukwa Mwalimu mwenyewe alituasa tusifanye fikra zake kuwa msahafu au Biblia. Kwenye hotuba zake za mwishoni mwa miaka ya 80 na 90, yeye mwenyewe alikiri kwamba mfumo wa chama kimoja ulikuwa umeanza kuoza na kulewa madaraka.
Kuhoji Katiba ya 1977 siyo kumdharau Nyerere, bali ni kuendeleza...
Salaam, ama baada ya salaam naomba kusema haya kwa DKt. Nchimbi:
Kiongozi yeyote mwenye busara hawezi kukaa kwenye msuguano usio na faida kwa Taifa, unapoona wenzio wanakengeuka na hawakuelewi ni BORA ukakaa kando kulinda Heshima Yako na utu wako.
Filipo Mpango aliyaona hayo akakaa kando Ila...
Huwa najiuliza sana ninapoona baadhi ya watu wanamchukia Tundu Lissu bila kutoa sababu za msingi. Mh. Tundu Lissu tangua miaka ya 90 amekuw akitetea wananchi waliokuwa wanaonewa, amekuwa akigombana na watawala wanaovunja sheria na amekuwa akitetea raslimali za nchi yetu kwa nguvu kubwa.
Sasa...
Habari za wakati huu.
Nipo hapa baada ya kupata wakati mgumu kuelewa watanzania ni watu wa namna gani ndio maana nimekuja na mada hii.
Kuna kitu huwa tunaelezwa ambacho ni uzalendo.Kwa tafsiri yangu ambayo inaweza isiwe universal.Uzalendo(patriotism) ni mapenzi ambayo mtu anakuwa nayo kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimewaona na kuonyeshwa Ma Rais 5 Watakaofuatia na kuongoza Taifa letu baada ya Kumaliza Muhula wake Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hapo 2030.
Ni viongozi Wachapakazi ,wazalendo ,waadilifu ,wacha Mungu na wenye Dhamira ya kweli na Dhati...
Je nani ni mzalendo wa kweli kati ya yule anayetangaza nchi yake na anayemtangaza mkuu wa nchi yake?
MY TAKE
Ukila na kipofu usimguse Mkono. Haya ndi mambo Samia anataka ndo anaita Uzalendo. Tanzania ina viongozi wenye laana.
Ni takribani miezi sita sasa H.polepole hajulikani kama yuko hai au amekufa
Ana macho au hana
Ana vidole au hana
Ana kucha au hana
Ana mpumbu au hana
Kifupi amepotezwa na hakuna hata mtanzania leo huo anaepambana kumrudisha H.polepole
R.I.P shujaaaaa
KALAMU YA UZALENDO
Demokrasia Isigeuzwe Kuwa Biashara ya Chuki
"Taifa halifi kwa sababu ya tofauti za mawazo; taifa hufa pale tofauti hizo zinapogeuzwa kuwa chuki."
Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mwenendo unaotia wasiwasi ambapo baadhi ya watu wanaonekana kuamini kwamba ili kupata...
Ni hotuba ambazo ni za kipekee sana, za kizalendo na kijasiri mno, ambazo kwa kiwango cha juu sana zinahamasisha uzalendo na kufanya waTanzania wote kua tayari kulilinda taifa kwa wivu mkubwa, kwa nguvu zote na gharama yoyote ile.
Asante sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa uzalendo wako na kwa...
Anaandika Mo Mlimwengu
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitolea kwa ajili ya nchi yake. Mwandishi na mwanafalsafa mmoja wa kifaransa ajulikanaye kama François-Marie Aroue(Voltaire) anasema anasikitika kuona mtu ambaye ni mzalendo anakua na maadui wengi.Kati ya jambo kubwa...
Habari,
Uzalendo ni nini?
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda ,kuithamini, kujitolea kwa hali na mali na hata kufa kwa aajili ya nchi yake.
Ukirudi mashule kuna masomo kama uraia na mengineyo lakin ukiangalia mitaala sana inasimulia zaid historia ya nchi na matukio yaliojitokeza sambamba na tawala...
Unafkiri hawaoni yanayoendelea ?? wanayaona sana tu lakini mapenzi ya vyeo, pesa, maisha mazuri ya familia, n.k. ni muhimu sana kuvitunza
Kwa kiasi kikubwa, tatizo linaweza kuwa ni sehemu ya utamaduni wetu wa kisiasa na kijamii. Mara nyingi wengi wetu huwa waaminifu zaidi katika maslahi kama...
Wanabodi,
Hili ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikitoa pongezi kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Deodatus Balile, kwa uzalendo wake kuhusu kile kilichotokea October 29, katika filamu kuhusu kilichotokea.
Kiukweli, Tanzania na Watanzania, tunatia aibu...
Katika demokrasia:
👉Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu.
👉Bunge ni kubwa kuliko Spika.
👉Taifa ni kubwa kuliko Rais.
👉Katiba ni kubwa kuliko chama tawala.
Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa kudumu, wakati viongozi ni wa muda.
1. TAIFA NI KUBWA KULIKO RAIS
Rais ni kiongozi wa muda.
Taifa ni la...
Kama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili
Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu😬😬😬
Jkt ina inakwenda kuzalisha MaGen Z ambao watakuwa wanajua kutumia silaha za kivita.
Hoja kuwa kuwapeleka Gen Z JKT ni suluhu ya madiliko ili maandamano ya kutaka CCM ambayo wananchi wanasema imejaa ufisadi na nepotism sio siluhu.
Gen Z ni kizazi cha watoto jasiri ambao wakichoka wamechoka...
"Watu huwa wanadhani uzalendo ni kuitetea serikali iliyoko madarakani. Uzalendo ni kulitetea taifa kwa sababu serikali zinaingia na kutoka, lakini nchi iko pale pale." - Zitto Kabwe, Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.