Wakuu,
Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo!
Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
bajaji
basi
bidhaa
bodaboda
kero
kero usafiri wa umma
kero za usafiri
kutangaza
mabasimabasi ya mikoani
mahubiri
mbeya kuja dar
mikoani
mtu
ndege
sana
starehe
treni
usafiri
usafiri wa mabasi
usafiri wa umma
zao
Kwa barabara zetu hizi nyembamba na mbovu sana ni hatari sana haya mabasi yanayobeba abiria 55 mpaka 60, yanakuwa hayako stable barabarani na ajali zikitoea watu wengi sana wanakufa.
Serikali sasa isiruhusu tena mabasi ya abiria zaidi ya 40 safari za masafa marefu.
Ninawasilisha kero kuhusu watu wanaotoa mahubiri au kutangaza bidhaa zao ndani ya mabasi ya mikoani. Kwa kweli, jambo hili limekuwa kero kwa abiria wengi wanaohitaji kusafiri kwa utulivu.
Safari ni muda wa abiria kupumzika, lakini si kila mtu anayekuwa safarini yuko katika hali ya kusikiliza...
Hivi hatuwezi kweli kujenga barabara za malori tu angalau several kilometers from town center yachepuke kuepukà msongamano na kuleta àjali.
Casual observation inaonesha kuwa ajali mbàya zinatokea several, 10, 15, 20 kms kutoka mjini centre.......
Morogoro pamekuwa machinjioni ya maisha ya...
SGR: HII NI HUJUMA YA WAJALUO AU MTANDAO TU?!
Tarehe 7/10/2026 nimefika Airport Dsm ili kuruka kwenda Dodoma. Nikakosa ndege. Nikaamua kuchukua SGR kwenda Dodoma.
Nikiwa na Afisa mzito wa serikali tukaamua kutafuta tiketi mtandaoni. Kwa treni zote toka DsM kwenda Dodoma zimeonyesha NO SEAT...
Nadhani kesi ya kuua sio nyepesi bro KWEKA kubali umekosea tena sana, ila hatujui yaliyomo kifuani mwako, kama tunge pata muda walau kidogo tu kukusikiliza huenda ungeaachiwa uondoke zako.
Mmiliki wa MABASI ya J4 alimshoot mtu hadharani, tena inasemekana alie pigwa risasi alikuaga anamdai pesa...
Nchini Tanzania, neno "Gamelang" (au linalojulikana rasmi kama Gemilang) linarejelea mabasi yenye muundo wa bodi (body) kutoka kampuni ya Gemilang Coachworks ya Malaysia, ambayo mara nyingi huwekwa kwenye chasis za Scania. Kampuni maarufu za usafiri nchini zilizowahi au zinazoendelea kutumia...
Kuna shida kubwa sana ya maji Chato. Maji hayatoki kwenye mabomba. Upatikanaji wa maji ni wa shida sana. Mbnge wa Chato Kasikazini yupo busy na biashara yake ya mabasi.
Wananchi wanaenda kuchota maji ziwani akina mama na akina baba wanaenda kuchota maji ziwani. Kuna mamba alikamata mtu ambae...
Mheshimiwa Rais,mgomo wa Madereva Wenda ukarudi Tena sura mpya
Hali inayoendelea kwenye sekta ya usafirishaji nchini, hususan sekta ya mabasi ya abiria, inatuma picha mbaya na kuleta kero kubwa kwa wananchi wa kawaida. Ni dhahiri kuwa kuna baadhi ya wamiliki wa mabasi (matajiri) wanaojiona wako...
Wakazi wa Kigamboni wanatarajiwa kupunguza gharama za uondoshaji wa majitaka baada ya DAWASA kukamilisha ujenzi wa mitambo miwili midogo ya kuchakata majitaka katika Kata za Vijibweni na Gezaulole zenye wakazi zaidi ya 410,400
Mitambo hiyo yenye thamani ya Sh2.3 bilioni imejengwa kwa ajili ya...
Kwa juu juu, story inaeleweka kabisa. Shekilango imekuwa ndogo, magari mengi, traffic inakuwa balaa na katikati ya Dar tunajibana . Kwa hiyo RC akaamua: "Wote Magufuli Stand!" Lakin je kuna lolote nyuma ya pazia?
Kuna angle nyingine nimeiwaza
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kampuni ndogo...
Madereva wa mabasi na malori ngoma bado mbichi; wanaweza wakawa wamemaliza suala la kukatwa point za leseni lakini suala la ku-renew leseni ya Cass C bado.
Dereva huwezi ukawa una uzoefu wa kuendesha gari miaka 30 leo unaambiwa ukasomee. Sheria hii ilipaswa kutumika kwa maderava wapya...
Hivi vituo vikuu vya mabasi ya mikoani uendeshaji wake ni wa siri na wanufaika hawajulikani huku wenye mabasi wakikamuliwa kwenye ushuru.
Ili mnufaike na ushuru mnaolipa ni lazima nanyi muwe sehemu ya wenye hivyo vituo kwa kuwa na hisa, mkiwa na hisa mnaweza kutengeneza mazingira mazuri ya...
Madereva wenye uzoefu na sifa wapo wengi sana mitaani hawana kazi.
Hivyo matajiri jambo la kufanya ni moja tu, wafukuzeni kazi madereva wote ambao wamegomea kufanya kazi kisha wekeni madereva wengine wenye nia ya kufanya kazi.
Hatuwezi kubabaishwa na wahuni wachache. Nyang'anya funguo kabidhi...
Japani wanavyofanya wakileta tanzagiza madereva sijui watasemaje kwa mfano, ni hivi japani kituo cha mabasi kama kile cha mbezi kuna kituo cha polisi ambacho kina dirisha la kioo kama vile dirisha la bank teller, asubuhi madereva wakifika kitu cha kwanza wanakabidhi leseni kwa trafiki polisi...
The point is;
Msafirishaji alipokea pesa ya nauli na alimpa biria tiketi ya safari ya kwenda mji mwingine kwa ajili ya safari iliyotajwa.
Abiria aliripoti ipasavyo katika kituo maalum cha kupandia na akasalia akiwa tayari na mwenye nia ya kusafiri.
Muda maalum wa kuondoka ulipita, na...
Husika kichwa cha habari hapo chajieleza, kugomea kufanya kazi kwa basi ambalo lilisajiliwa kufanya kazi ya kusafirisha abiria ni hujuma kubwa sana.
Hebu jiulizeni wagonjwa wangapi wameshindwa kupata huduma za afya?
Watoa huduma wangapi wameshindwa kutoa huduma kwa kushindwa kusafiri?
Hii...
Katika hili Wamiliki wapeleke Yadi magari yao kama Msando (wakiki msomi) alivyosema, kama wanawajali na kuwasikiliza madereva wao. Hii ni hatua mhimu ya wao kusikilizwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.