kisaikolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya nchi ilivyo sasa; madereva waliogoma wajiandae kisaikolojia

    Mgomo wa mabasi ya abiria na maroli umeitikisa nchi. Umewaonyesha viongozi wa serikali kwamba nchi inaweza kusimama kwa muda na mambo yasiende wanavyotaka wao. Pongezi sana kwa ujasiri huu wa madereva Hata hivyo, pamoja na pongezi hizi bado nina mashaka sana na usalama wa madereva wote...
  2. _-_-_-

    JamiiForums Tanzania Silaha ya Kisaikolojia: Jinsi Plato, Nyerere na Brass Bands za Majeshi ya Afrika Zinavyotumia Muziki Kulinda na Kuendesha Dola

    Wakuu, jioni ya leo mtanisamehe kwa kuandika uzi mrefu kidogo, lakini naamini utakuwa na manufaa makubwa kwa wale wanaopenda kufuatilia jinsi mifumo ya madaraka (State Machineries) inavyofanya kazi nyuma ya pazia.Mara nyingi tukifikiria kuhusu "Zana za Kuendesha Dola," vichwa vyetu vinakimbilia...
  3. but why

    JamiiForums Tanzania Ikifika wakati unaomba nafasi ya mwisho basi jiandae Kisaikolojia kuanza Maisha bila yeye

    Kuna binti tulikuwa na mahusiano, yalikuwa yanaenda vizur tu baadae mapicha picha yakaanza, mwanzoni nilihisi mimi ndio ninazingua maana kila argument ikitokea shida inarudi kwangu, nisichokijua kumbe napigishwa shoti kimkakati Kila mabishano yakitokea yale yote niliyowahi kukosea nyuma...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Singida na Mtihani wa Kisaikolojia: Tafsiri ya Kijamii Nyuma ya Pole za "Upande Mmoja" Mtandaoni

    Ndugu Wana-JamiiForums, Septemba 21, 2026, imeacha kidonda kikubwa katika mkoa wa Singida, hususan katika eneo la Mlima Sekenke, kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyogharimu maisha ya watu 12. Katika msiba huu mzito, tumepoteza askari watano wa Jeshi la Polisi waliokuwa kazini (akiwemo Mkuu...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Kisaikolojia ukijinadi wewe sio muoga uhalisia wake wewe ni muoga

    Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia. Ni somo tu kwa wanaolewa saikolojia
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Utabili wangu ni huu, Jiandaeni Kisaikolojia

    Wakuu, kutoka kwa mdau. Na Emily Mwakilembe Baraza la Mawaziri linaenda kufumuliwa lote, kuondoa mabaki na kufuta nyayo zake. Si unajua huyu Bwana ni jasusi? Lazima akiacha mayai kwenye mfumo! 😄 Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanaenda kufanyiwa “magazijuto”; yaani kutoa mabano, kugawanya...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Bwana Yesu Asifiwe kaka Goege Boniface Taguluvala Simbachawene!

    Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa. Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema. Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kususia uchaguzi ni kujipa stress na kujidhuru mwenyewe hasa kisaikolojia na kujidhulumu kisiasa.

    Hii ni miongoni mwa blunders za hovyo mno za kisiasa, miongoni mwa wanasiasa waliokosa agenda za kuwashawishi na kuvutia kundi kubwa la wapiga kura kuwa upande wao. Mara nyingi wanasiasa hao husense kushindwa uchaguzi mapema sana. Na daima, hatua hii ya kususia uchaguzi, huwa ni sawa na ile ya...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Yajue makundi ya watu Kisaikolojia, wewe unalijua kundi lako?

    Wanadamu wamegawanyika katika makundi manne kisaikolojia yaliyo katika mafungu mawiliyaani Introverts na Extroverts. Makundi haya haya manne ya tabia (tempraments) yana asili yake katika falsafa ya Ugiriki ya Kale, hasa kupitia kwa tabibu Hippocrates na baadaye Galen. Yanaeleza jinsi watu...
  10. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kielelezo cha Kuporomoka kwa Fikira: Uchambuzi wa Kifalsafa na Kisaikolojia wa Mtu Mzima na Tabia ya Kujipendekeza (uchawa)

    Kujipendekeza, au Ingratiation, ni tabia ya mtu kujenga picha nzuri au kutafuta kibali kwa watu wenye mamlaka kwa kutumia sifa za uongo na utii uliopitiliza. Katika jamii ya sasa, tabia hii imekuwa mkakati wa kujihami na kujitafutia fursa, lakini nyuma yake kuna maswali mazito ya kisaikolojia na...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kisaikolojia Taatlaah mwanaCCM anaihusudu CHADEMA kuliko CCM

    Ndg wanajukwaa wenzangu Kwa kipindi kirefu mmeshuhudia member mwenzetu wa jamiiforums bwana mdogo Tlaatlaah akitoa nyuzi zinazohusu chadema Kila siku kama conveyer belt. Hii yote ni kwasababu anaipenda na kuihusudu chadema mnoo kiasi Cha kushindwa kuficha mahaba yake. Kimsingi huyu bwana...
  12. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Masikini wengi wakiwaongelea vibaya Matajiri huwa wanapata auheni ya kisaikolojia

    Masikini wengi wakiwaongelea vibaya matajiri uwa wanapata auheni ya kisaikolojia hii ni ngumu kumeza ndio maana weng waliofanikiwa wanaongozwa kusemwa vibaya sana
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa anaweza kua anapitia hali gani kisaikolojia baada ya tuhuma zake za ufisadi kutrend sana mitandaoni

    Je, anapata usaidizi wowote maalumu wa kiafya kutoka kwenye idara za chama chake kulingana na nafasi yake chadema taifa, na kutokana na maoni mseto yanayoenezwa mitandaoni dhidi ya tuhuma za ufisadi wa fedha za chama zinazomkabili? Kwa maoni yangu, licha ya familia yake kumtia moyo, nadhani...
  14. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Chadema wanashida sana za kisaikolojia vianzishwe vipindi vya redio vitoe guidance and counseling Kila siku jioni tuwaokoe

    Wafuasi wa Chadema wanahitaji tiba akili, otherwise tutakuwa na watu wenye upungufu wa afya ya akili wengi sana nchini na Africa mashariki. Imagine from nowhere mtu anaanza kutukana watu na ikizingatia mtu anayemtukana hata hana habari naye huu ni ugonjwa si akili ya kawaida. Imagine mtu wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini unapooa sehemu yenye presha ya kiuchumi, jipange kisaikolojia mke kushawishika avunje ndoa ahamishie pesa na mali kwao

    Na sio kuvunja ndoa tu, hata njia za kimafia Kuna baadhi ya jamii ambazo tangu mtoto akiwa mdogo anakulia mfumo wa kuamini kwamba thamani ya mtu inapimwa zaidi kwa kiwango cha fedha na mali alizonazo. Katika mazingira kama hayo, hata mtu anaporudi kusalimia yumbani, maswali ya kwanza yanaweza...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hisia zinaniambia Baba Levo ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge

    Katika kesi iliyopangwa kufanyika tarehe 6/7/26//2026 ya kupingwa ubunge wa ' Baba Levo' hisia za ndani kabisa zinaniambia ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge
  17. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kimalezi na kisaikolojia kwa mtoto huyu anayezunguka na Mama yake anayetembea kwa miguu na mikono barabara ya Uhuru Kariakoo.

    Huyu mtoto anaharibikiwa kisaikolojia,mtoto anayetakiwa kushikwa mkono anamshika Mama yake mgongoni,kwa sababu Mama yake anatembea kwa magoti na mikono,yule mtoto anatazama watu anaogopa anahisi labda yeye ni kiumbe kingine,mtoto mdogo lakini kichwani kwake inaweza kuwa anawaza mambo mengi akiwa...
  18. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Makala: Nini hufanyika kisaikolojia na kibaolojia wakati wa fumanizi?

    Kitendo cha kumfumania mwenzi wa ndoa au uhusiano wa karibu ni moja kati ya mapigo mazito zaidi ya kisaikolojia anayoweza kuyapitia mwanadamu. Katika jamii zetu, tumeshuhudia mara nyingi matukio ambapo fumanizi linageuka kuwa uwanja wa umwagaji damu, mauaji, au ukatili uliokithiri. Wakati...
  19. Sir mgax

    JamiiForums Tanzania Amani za mioyo ni tiba kisaikolojia

    Habari ya muda mrefu wakuu…. Baada ya miezi mingi kupita hatimaye nimerudi tena Binti wa zamani do you see me?…… Hivi mnajua kuwa mioyo yetu inauhitaji wa amani muda wote hapa duniani,na je mnaju kuwa amani za mioyo zinachangia tiba kisaikolojia……anyway iko hivi katika maisha yetu...
  20. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Simba hii ya Baker Inatisha: Yanga tujiandae kisaikolojia

    Simba hii ya Baker inainyesha kutisha kweli kweli; Yanga tujiandae kisaikolojia, Yanga hii tumekuwa butu sana kwenye kushambulia goli la mpinzani na vile vile tumekuwa lege lege sana kwenye kilinda goli let. Simba inaonekana kuwa imara sana kulinda goli lao na vile vile wana makali ya...
Back
Top Bottom