afrika

 1. L

  China kutoa mikopo ili kuweka mtego wa madeni’ kwa Afrika ni kauli za uzushi tu

  NA PILI MWINYI Hakuna ubishi kwamba China sasa ni nchi yenye nguvu kubwa duniani. na ni nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani. Kwa nchi nyingi, kutoka Asia, Afrika hadi baadhi ya sehemu za Ulaya, China imekuwa mshirika muhimu na mkubwa wa kiuchumi. Mwaka 2009, China iliipindua Marekani na...
 2. MK254

  Mkenya ateuliwa cheo muhimu cha juu Vodacom, Afrika Kusini

  Endeleeni kupika majungu kwa wivu wenu ila Wakenya wanapaa, tena sio ushirikina ila bidii na elimu bora....hehehehe Vodacom Group has tapped Safaricom's chief corporate affairs officer Stephen Chege as its group chief external affairs officer. The announcement was made by Safaricom chief...
 3. The Sheriff

  Umoja wa Afrika (AU) waisimamisha Sudan uanachama kufuatia Mapinduzi

  AU imesema kusimamishwa kwa uanachama wa Sudan kutatekelezwa hadi serikali ya mpito inayoongozwa na raia irejeshwe. ====== The African Union has said it suspended Sudan from all its activities after the Sudanese military overthrew the civilian-led transitional government in a coup. In a...
 4. M

  Timu ya Taifa ya Wanawake imeshinda COSAFA Cup, lakini wametolewa kombe la Afrika na dunia

  Hakuna ubaya kwa timu yoyote ya michezo kupelekwa Ikulu kuzawadiwa ikiwa kuna umuhimu. Cha ajabu TBC wapo live Ikulu wakiwaonyesha mabinti wa timu ya Taifa ya Wanawake walioshinda COSAFA CUP ambapo timu nyingi zilizoshiriki zilikuwa B Teams kwa sababu A teams zilikuwa zinajiandaa na mashindano...
 5. L

  China na Afrika zikiendelea kuuenzi uhusiano wao ustawi, kuna wale wanaozusha vijineno vya chini chini vya kutaka kuusambaratisha

  Na Pili Mwinyi Ingawa uhusiano wa kidiplomasia kati ya China na Afrika ulianzishwa katikati ya miaka ya 50, lakini hivi sasa uhusiano huu unaendelea kukua na kustawi na umekuwa ukiimarishwa siku hadi siku, ambapo pande zote mbili zinaungana mkono kwenye masuala mbalimbali. Hata hivyo kuna wale...
 6. Miss Zomboko

  Matukio ya Mapinduzi barani Afrika ndani ya Mwaka 2021

  Katika muda wa mwaka mmoja, wanajeshi wametwaa mamlaka katika nchi tatu kusini mwa jangwa la Sahara. Wanajeshi wa kikosi maalumu walipindua serikali ya kiraia ya Mali ambapo Kanali Assim Goita alijitangaza rais. Miezi michache baada ya Kanali Goita kuongoza mapinduzi Mali, wanajeshi walitwaa...
 7. Naipendatz

  LHRC yaikumbusha Serikali kurejea Mahakama ya Afrika

  Kituo cha sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimekumbusha Serikali ya Tanzania kubadili uamuzi wake wa kujitoa katika Mahakama ya Afrika na kurejea kwenye Mahakama hiyo ili kuimarisha heshima ya Taifa katika uwanda na kikanda. Novemba 21, 2019 Serikali ya Tanzania ilifanya uamuzi wa kujitoa...
 8. Analogia Malenga

  Fedha za CWT zilitumika kuangalia mpira Cape Verde

  Mchunguzi Mkuu kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mercy Manyalika ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu alivyochunguza na kubaini fedha za Chama cha Walimu Tanzania,(CWT) zilivyotumika kwenda kuangalia mpira wa kombe la dunia mwaka 2018. Manyalika alieleza hayo...
 9. L

  China na Afrika kushirikiana zaidi katika anga za juu

  Wikiendi hii iliyopita, chombo cha kubeba binadamu cha anga za juu cha Shenzhou-13 kilifanikiwa kuwapeleka wanaanga wengine watatu katika Kituo cha Anga za Juu cha China. China ni nchi kubwa zaidi inayoendelea duniani, na maendeleo yake kwenye sekta ya safari ya anga za juu ni hamasa kubwa kwa...
 10. L

  Wanafunzi wa Afrika wazidi kunufaika na ufadhili wa masomo kutoka China

  Na Tom Wanjala Mwezi Juni mwaka huu, maelfu ya wahitimu kutoka vyuo vikuu nchini China walifuzu na shahada mbalimbali. Miongoni mwao, walikuwa wanafunzi kutoka bara la Afrika. Wahitimu hawa walijumuika na wenzao wa China, wakiwa wamevalia majoho rasmi, tayari kupokea vyeti vya kuashiria kuwa...
 11. L

  Ujenzi wa reli umekuwa alama ya ushirikiano mzuri kati ya China na Afrika

  Katika miongo kadhaa iliyopita, ujenzi wa reli umekuwa sehemu muhimu ya ushirikiano wa kirafiki kati ya China na Afrika. Kuanzia Reli maarufu ya TAZARA iliyojengwa zaidi ya miaka 50 iliyopita hadi Reli ya SGR ya Kenya, Reli inayounganisha Addis Ababa na Djibouti, na Reli ya Abuja–Kaduna ambazo...
 12. GENTAMYCINE

  Kwa Taarifa za Matukio ya 'Kipuuzi' kama hili kutoka Barani Afrika, Wazungu wakisikia na wakiendelea 'Kutudharau' Waafrika watakuwa wanatukosea?

  Mtu Mmoja aitwae Godwin Mathew ( 26 ) kutoka nchini Nigeria amemuua Baba yake Mzazi Mathew Audu ( 64 ) kwa Kosa la Kula Nyama ya Kuku yote katika Sahani na Kumbakizia Mwanae Kichwa tu. Taarifa: Nipashe Online Siyo kwamba GENTAMYCINE nasema kuwa Wazungu nao hawana Mapungufu yao ila angalau...
 13. Sky Eclat

  Katika nchi moja ya Afrika, hii ni ofisi ya serikali ujenzi wake uligharimu milioni 40

 14. Big Eagle

  Uhuru Kenyatta taswira ya Rais wa Afrika

  Binafsi upenda kumuangalia sana Kenyatta na kupata wazo kuna aja ya kuwapa uongozi damu ya wapigania uhuru. Uhuru Kenyatta anatakiwa kuwa kitabu shule na vikaoni tumsome. Utu Demokrasia Haki na usawa Vitu hivi vitatu kwa Africa ni changamoto isipokua Kenya kwa Kenyatta.
 15. beth

  #COVID19 Rais wa Marekani, Joe Biden aahidi msaada zaidi wa chanjo kwa Afrika

  Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi msaada wa dozi milioni 17 za chanjo ya corona kwa bara la Afrika wakati alipomkaribisha rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kuahidi pia ushirikiano zaidi na bara la Afrika. Wakikutana katika ikulu ya White House mjini Washington, Biden na Kenyatta waliahidiana...
 16. Analogia Malenga

  #COVID19 WHO: Zaidi ya 85% ya visa vya Covid-19 Afrika havijagunduliwa

  Visa sita kati ya kila visa saba vya ugonjwa wa korona havingunduliwi barani Afrika, Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) linasema. Imefanya hesabu kulingana na fomula ambayo inaangalia vifo vilivyorekodiwa na viwango vya vifo vya visa vya ugonjwa huo. Kufikia sasa ni visa milioni nane tu vya...
 17. L

  Kahawa ya Afrika Inazidi Kupata Umaarufu nchini China

  Na Tom Wanjala Ripoti ya maonyesho ya pili ya kibiashara kati ya Afrika na China yaliyofanyika kuanzia tarehe 26 hadi 29 mwezi Septemba mwaka huu katika mjini Changsha mkoani Hunan, inaonyesha kuwa kahawa kutoka Afrika inazidi kupendwa na wateja wa China. Afrika ni maarufu duniani kwa kilimo...
 18. L

  Shujaa wa Afrika

  Shujaa na Bora ni yule anaesimamia kwa haki Ulinzi na Usalama wa Raia na mali zao,pamoja na kuhakikisha umoja wa taifa. kama hawahakikishii Raia wake wote Ulinzi,Usalama na umoja wao huyo kwangu mimi sio Bora wala sio shujaa. Bora na shujaa hutoa uhakika wa Usalama na Ulinzi hata kwa watu...
 19. L

  Maonyesho ya biashara ya 130 ya kimataifa ya Guangdong yaendelea kujenga picha nzuri ya ushirikiano kati ya China na Afrika

  Maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Guangdong awamu ya 130 ambayo ni maarufu kwa jina la Canton Fair yamefunguliwa tarehe 15 Oktoba mjini Guangzhou. Maonyesho haya yanatajwa kuwa ni maonyesho ya muda mrefu zaidi na endelevu zaidi kati ya maonyesho yote ya kimataifa ya biashara duniani hadi...
 20. Sky Eclat

  In 1964 Mohamed Ali met his brothers and sister from Afrika in Ghana

  Kwake Nkrumah offered a two acre plot for all Back Americans who wanted to settle in Ghana.
Top Bottom