kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
 1. Jesusie

  Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC,Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

  Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl. Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu...
 2. Da Vinci XV

  Wale tulioachana na Ma- X kwa ugomvi, ulimuonaje ulipokutana naye tena?

  Kuna wale ambao tuliachana na ma-Ex zetu na kuwafanya marafiki na kuishi nao vyema kwa kubadilishana nao Ideas tofauti za maisha Na kuna wale ambao tuliachana nao kwa Visa, Usaliti, Chuki, Fumanizi,chuki ,uhasama na Ugomvi mkubwa kifupi ni makando kando tele Mimi ninaye mmoja , nadhani katika...
 3. Da Vinci XV

  WALE TULIOACHA NA MA -EX WETU KWA UBAYA , ULIMWONAJE ULIPOKUTANA NAYE MARA YA KWANZA

  Kuna wale ambao tuliachana na ma-Ex zetu na kuwafanya marafiki na kuishi nao vyema kwa kubadilishana nao Ideas tofauti za maisha Na kuna wale ambao tuliachana nao kwa Visa, Usaliti, Chuki, Fumanizi,chuki ,uhasama na Ugomvi mkubwa kifupi ni makando kando tele Mimi ninaye mmoja , nadhani katika...
 4. I

  Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe marehemu anaombewa aende motoni/kuzimu/hell.

  Kwa jinsi mambo yalivyokuwa utawala wa jpm. Hakika kila mtu anamuombea huko aliko apigwe sana. Angalia akina sabaya walivyokuwa wauaji, wachoma visibisi watu, kutesa, kuiba uchaguzi tena hadharani kwa kutumwa na yeye mwenyewe. Hivi mpaka sasa angekuwa anaongoza nchi ingekuwaje naona wapinzani...
 5. C

  Msanii @wizkidayo Ameweka Rekodi Ya Kuwa Msanii Muafrika Wa Kwanza

  Msanii Wizkidayo Ameweka Rekodi Ya Kuwa Msanii Muafrika Wa Kwanza Kufikisha Zaidi Ya Streams Milioni 300 Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Audiomack, Audiomack Wameshare Taarifa Hiyo Katika Ukurasa Wao Wa Instagram Huku Wakimpongeza Msanii Huyo Kuweka Rekodi Hiyo. Saa moja Baada Ya...
 6. B

  Serikali: Chaguo la pili na tatu kidato cha kwanza kuwa historia, wanafunzi kuanza masomo kwa pamoja

  Leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameeleza kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu inakwenda kuandika historia kwa kufuta suala la wanafunzi wanaoingia kama changuo la pili na la tatu (Second and Third Selection) kutokana na upungufu wa madarasa...
 7. Sky Eclat

  Chakula kwanza

 8. Kamanda Asiyechoka

  Kalemani: Mwenge haujawahi kuzimiwa kwenye wilaya hii ni mara ya kwanza Chato

  Huwashwa Mkoani na kuzimwa mkoani. Amesema Kalemani na kudai kuwa hii ni fursa kubwa kwa Chato. Hivyo Chato kama wilaya imepata fursa kubwa sana kwa mwenge kuzimwa hapa wilayani Chato.
 9. Pascal Mayalla

  Barrick yaendelea kufanya makubwa. Yaleta mtambo wa 'PhotonAssay' unaotumia Roboti. Ni wa kwanza barani Afrika na upo Tanzania Pekee!

  Wanabodi, Mambo mengine wala hata hatujui Kiswahili chake, hivyo wale wenzangu na mimi ambao lugha za watu hazipandi, mnisamehe. NEWS OCTOBER 10, 2021 Barrick Commissions Africa’s First PhotonAssay Laboratory Press Release All amounts expressed in US dollars unless stated otherwise Bulyanhulu...
 10. Jerlamarel

  Hii nchi ukitaka kuwa mzalendo kwa nyakati hizi basi cha kwanza lazima uwe mbumbumbu haswaa.

  Ndio, ni lazima uwe mbumbumbu asiyeweza kupata taarifa ya mambo yanavyoenda hapa nchini hasa upande wa siasa, na hata ukizipata basi usiwe na uwezo wa kuchenjua mbivu na mbichi. Uzalendo ni kama imani, ili uwe na imani thabiti pale mbele kwenye usukani lazima akae undisputed role model...
 11. B

  Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar - Public interest, wadau wa maendeleo, mukutano ya ndani ..

  03 September 2021 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othman Masoud, ofisi ya DPP lazima iwe inachunguzwa kama wenzetu huko Uingereza Ofisi ya Crown Prosecution yaani DPP huchunguzwa inavyofanya kazi Umuhimu wa katiba Mpya upo. Kasoro za kikatiba zipo katika nyaraka za kikatiba...
 12. Dj DON NALIMISON

  Mwanamuziki Mashonda (Marekani) ndio Mwanaharakati wa kwanza kutoa Kitabu Cha Talaka baada ndoa.Na kuachika, leo Ni Mpweke.

  Kitabu chake Mashonda tifrere Mwanamuziki wa kike Nchini Marekani, kimejikita zaidi katika changamoto za ndoa na jinsi ya kutuliza nafsi unapopewa Talaka ndani ya ndoa. Nimetambulisha video yenye sura yàke. Kitabu Ni Kama unavyoona kava. Nitakiwasilisha TANZANIA.
 13. comte

  Ole Sendeka: Vijana gombeeni nafasi za CCM mwakani

  Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amewataka vijana wanachama wa CCM kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za chama hicho mwaka 2022. Uchaguzi mkuu wa CCM kugombea nafasi kuanzia ngazi ya tawi, kata, wilaya, mkoa hadi Taifa unatarajia kufanyika mwaka...
 14. Rapherl

  Police General Orders(PGO) ni nini, nitaipata wapi?

  Wadau, Mwenye softcopy ya mwongozo wa utendaji kazi katika jeshi la polisi (Police General Order) naomba anisaidie kuiweka hapa au anitumie kwenye email theweeknd9911@gmail.com Asante. ==== Police General Orders (PGO) ni nini? Ni kanuni za mwongozo wa utendaji kazi wa Jeshi na Polisi. Ofisa...
 15. OKW BOBAN SUNZU

  Mara ya kwanza kukutana na CEO Barbara alikuwa na chupa ya Mo Energy

  Barbara Gonzalez, alizaliwa jijini Dar es Salaam miaka kadhaa iliyopita, baba yake akiwa ni raia wa Colombia na Mama Mtanzania. Mbali na kuwa msaidizi wa Mohamed Dewji, pia alikuwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Mohamed Foundation aliyojiunga nayo Aprili, 2016 ambayo hutoa misaada ya huduma za...
 16. Wakusolve

  Mbeya kwanza FC special thread

  Kama wewe ni mpenzi wa timu hii ya Mbeya iliyopanda daraja msimu huu karibu tujadili mambo gani muhimu yanatakiwa ili timu hii isishuke daraja.Katika maandalizi ya kuelekea ligi kuu timu hii imechukua kombe liloanzishwa na mkuu wa mkoa wa Mbeya baada ya kuifunga timu ya Ihefu fc.
 17. Gordian Anduru

  Timu ya kwanza kuaga mashindano ya kimataifa kabla ya ligi kuanza

  Naam mnamo tarehe 25 mwezi august mwaka 2019 Simba ilitoka 1-1 na UD songo ikapelekea simba kutolewa kwa goli la ugenini ikapelekea Simba kuanza ligi tarehe 28 august kwa kuichapa ppolisi 3-0 ikiwa haimo kimataifa, nakumbuka mwaka huo hakukuwa na shida ya viporo
 18. CM 1774858

  Rais wa kwanza mwanamke kutoka Tanzania kuhutubia Baraza Kuu la Usalama la 76 New York, tarehe 23|9|2021, fahari iliyoje kwa nchi yetu

  Tanzania baada ya nusu mwongo hatimaye Rais personal wa JMT anatua Umoja wa Mataifa Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita aliyekuwa rais wa JMT Hayati Dk John Pombe Joseph Magufuli yeye alituma wawakilishi marazote. Nikwamara ya kwanza Rais wa JMT anafika mwenyewe Baraza Kuu la Umoja wa...
 19. S

  Korea Kaskazini yarusha makombora mawili ya balistiki toka kwenye treni kwa mara ya kwanza

  North Korea kwa mara ya kwanza imefanikiwa kurusha makombora mawili ya balistiki toka kwenye treni. Makombora hayo yalishambulia tageti iliyokuwa baharini umbali wa kilomita 800 toka sehemu iliyorushiwa. Wachambuzi wa mambo wanasema jaribio hilo laonesha kuwa Kim Jong Un anaendelea kuboresha...
 20. comte

  Ukipewa hela jiulize kwanza zimetoka wapi isije kuwa na malipo ya kuuzwa wewe mwenyewe

Top Bottom