saa

 1. FRANCIS DA DON

  Hivi ungejisikiaje kama umenunua bia halafu ikipita nusu saa hujaimaliza unanyang'anywa na kuamrishwa ununue nyingine au upishe kiti wateja wengine?

  Chukulia mfano umeenda bar, tena umelipa kiingilio, ukaagiza bia moja baridi kisha ukaanzwa kuinywa taratiiibu kwa raha zako, halafu baada ya nusu saa unaambia bia yako ime-expire kwahiyo tunaiondoa na unatakiwa ununue nyingine, la sivyo pisha kiti akae mtu mwingine. Hilo linaweza likawa ni...
 2. Mpinzire

  Diamond Platnumz kuzungumza na vyombo vya habari kesho saa 5 asubuhi

  Jioni hii Diamond (Chibu) ameripoti kuwa kesho atazungumza na vyombo vya habari nchini. Je, Chibu anaenda kujibu mawe anayorushiwa juu Million 500 ya Konde boy? Usikose kesho saa 5 asubuhi kupitia Wasafi TV na Wasafi FM (88.9).
 3. miss zomboko

  Mvua zasababisha abiria wa Dar, Arusha na Kilimanjaro kukwama njiani zaidi ya saa 20

  Mamia ya Wananchi (abiria) waliokuwa wanasafiri kutoka Arusha, Kilimanjaro na nchi jirani na waliotoka Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali wamekwama tangu jana mchana wilayani Korogwe na Handeni Mkoa wa Tanga sababu zikielezwa ni kutokana na maji kupita juu ya daraja la Mandera na kulisomba...
 4. C

  Jamani mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi saa, inawezekana ana mimba au?

  jamani habari za saa hizi mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi sasa hivi ina wezekana ana mimba au?
 5. DeepMedia

  Wapi naweza kupata casio watch kama hizi?

  Habari wakuu? Wapi naweza kupata casio watch za model hii kwa hapa Dar? 1. Casio illuminator W-96H 2. Casio Telememo illuminator AW-81 Hizi zipo tofauti na zile casio za kawaida, kuna feature ya telememo ndani yake. inaweza kustore records kidogo, contacts. ina dual time, timer n.k kwa...
Top