Mwekezaji yoyote Mhindi, Mchina, Mwarabu tunapalilia umasikini nchini

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,444
8,297
Great Thinkers.

Hakuna sehemu hao viumbe walishawahi kukaa pakapendeza. Ni waharibifu na wanyonyaji wakubwa.

Huwezi ukategemea watu wa Asia wasukume uchumi wako mbele this is the open truth.

Instead Raia watageuzwa manamba na kutumikishwa kama enzi za ujima huku wakilipwa ujira mdogo sana.

These asians wana roho mbaya kuliko binadamu yoyote hapa duniani na ni wabuguzi hatati

Kwa kweli nawapa pole sana Watanganyika kwa yanayoenedela nchini na sijui mwisho wake ni upi maana mikataba inayosainiwa ni miaka 20+
 
Kampuni kama zote Dar hapo ni hao.. wapinzani nilikuwa nawapinga eti "serikali haifany biashara" kila kitu wanapewa private ngoja tuone watakuja na lipi.

Magufuli alianzisha mpaka taasisi za ship tallying kama TASAC ila wakataka ziifutwe ,sasa dili zote ni wahindi , waarabu na wachina kazi kubwa mishahara midogo wanapiga faida tu.

Ajira hamna maana hao jamaa wanabana ili wapate pesa nyingi ,bora serikali kwanza security ni kubwa ya ajira.
 
Great Thinkers.

Hakuna sehemu hao viumbe walishawahi kukaa pakapendeza. Ni waharibifu na wanyonyaji wakubwa.

Huwezi ukategemea watu.wa.Asia wasukume uchumi wako mbele this is the open truth.

Instead Raia watageuzwa manamba na kutumikishwa kama enzi za ujima huku wakilipwa ujira mdogo sana.

These asians wana roho mbaya kuliko binadamu yoyote hapa duniani na ni wabuguzi hatati

Kwa kweli nawapa pole sana watanganyika kwa yanayoenedela nchini na sijui mwisho wake ni upi maana mikataba inayosainiwa ni miaka 20+
Kwaiyo kuu we hutaki nchi yetu iwe na wawekezaj waarabu na wahindi au unatakaje??
 
Great Thinkers.

Hakuna sehemu hao viumbe walishawahi kukaa pakapendeza. Ni waharibifu na wanyonyaji wakubwa.

Huwezi ukategemea watu wa Asia wasukume uchumi wako mbele this is the open truth.

Instead Raia watageuzwa manamba na kutumikishwa kama enzi za ujima huku wakilipwa ujira mdogo sana.

These asians wana roho mbaya kuliko binadamu yoyote hapa duniani na ni wabuguzi hatati

Kwa kweli nawapa pole sana Watanganyika kwa yanayoenedela nchini na sijui mwisho wake ni upi maana mikataba inayosainiwa ni miaka 20+
Bora mwarabu tu kuliko sisi wamatumbi wenye rangi ya poumbou. Nilivoona ile picha ya garage ya mwendokasi floor ni matope.
 
Great Thinkers.

Hakuna sehemu hao viumbe walishawahi kukaa pakapendeza. Ni waharibifu na wanyonyaji wakubwa.

Huwezi ukategemea watu wa Asia wasukume uchumi wako mbele this is the open truth.

Instead Raia watageuzwa manamba na hata kutumikishwa kama enzi za ujima huku wakilipwa ujira mdogo sana.

These asians wana roho mbaya kuliko binadamu yoyote hapa duniani na ni wabuguzi hatati

Kwa kweli nawapa pole sana Watanganyika kwa yanayoenedela nchini na sijui mwisho wake ni upi maana mikataba inayosainiwa ni miaka 20+
Mtoa maada bado una akil za kizaman sana hata wao wa asia wame akeza ulaya kama bado
Great Thinkers.

Hakuna sehemu hao viumbe walishawahi kukaa pakapendeza. Ni waharibifu na wanyonyaji wakubwa.

Huwezi ukategemea watu wa Asia wasukume uchumi wako mbele this is the open truth.

Instead Raia watageuzwa manamba na kutumikishwa kama enzi za ujima huku wakilipwa ujira mdogo sana.

These asians wana roho mbaya kuliko binadamu yoyote hapa duniani na ni wabuguzi hatati

Kwa kweli nawapa pole sana Watanganyika kwa yanayoenedela nchini na sijui mwisho wake ni upi maana mikataba inayosainiwa ni miaka 20+
bado una akil za kizanm sana ww! Kwenye migodi mafuta rasil mal mihim zote kawekeza mzungu! Je umefaidika na nn na wazung zaid ya kuchota rasil mali zenu na kukimbia nazo!
 
Nakuunga mkono
Nina nyumba za kupangisha na mara zote huwa napangisha wazungu aisee wazungu ni wazungu kwanza wanatunza nyumba wanaheshimu mkataba na hawawezi ongeza au kupunguza kitu bila muhusisha mwenye nyumba na wakitaka kuondoka mnafanya makabidhiano na km kuna malekebisho wazungu hulipa tena kwa mda

Sasa pind ya jiwe wazungu nliokua nmewapangisha walinyimwa vibali vya kiendelea kukaa na kufanya kaz nchini so waliondoka na kunda rwanda so nyumba zangu zlikaa km 2 yrs bila wapangaji

Sasa kimbembe kikaja iv krbn kuna wachina wamepewa mradi wa ujenzi so wakaja niwapangishe aisee wale watu ni hovyo tena ovyo kabisa Nyumba ina vyumba vinne na nyingne inavyumba vitano wale wachina huwezi amini wako zaidi ya 30 wote wanakaa kwa izo nyumba wameongeza ma kuta bila ridhaa yangu hawalipi kwa wakat lkn lililonikela kulko yote wale watu ni wachafu nani wezi wamehalibu nyumba zangu vyoo vimefanana na vle vya stand vichafu vimekua vya jano makabati wamengoa na mengne wameharibu maji wamekatiwa hawana maji hadhi ya nyumba wameharibu ad basi
Nmeamua kuvunja mkataba na nimewafukuza apa naongea kesi iko mahakaman nadai wanilipe uharibifu waloufanya
Km mnavyojua garama za ujenzi kwa Arusha zilivyo kubwa af mtu anakuja anaharibu nyumba
Kwa ufupi watu wa asia nchi zao ni tajir ila wananchi wao ni maskini na hawajaelimika wala kustaarabika ata kidg, wamenifunza na sinto kuja pangisha asian people tena
 
Great Thinkers.

Hakuna sehemu hao viumbe walishawahi kukaa pakapendeza. Ni waharibifu na wanyonyaji wakubwa.

Huwezi ukategemea watu wa Asia wasukume uchumi wako mbele this is the open truth.

Instead Raia watageuzwa manamba na kutumikishwa kama enzi za ujima huku wakilipwa ujira mdogo sana.

These asians wana roho mbaya kuliko binadamu yoyote hapa duniani na ni wabuguzi hatati

Kwa kweli nawapa pole sana Watanganyika kwa yanayoenedela nchini na sijui mwisho wake ni upi maana mikataba inayosainiwa ni miaka 20+
Sasa nyie kwanini msiwekeze watu weusi kutwa kulalamika tu! Kmkm zenu
 
Tatizo la hizo jamii biashara zao nyingi huwa ni za uchuuzi ndio maana wanaonekana hawana mchango mkubwa kuleta maendeleo tofauti na wazungu.
 
Back
Top Bottom