mkapa

 1. Erick_Otieno

  Kitanda kipya (kina wiki 2) 5x6 kinauzwa 140,000/=

  Kitanda kipya kina wiki 2 tangu kinunuliwe kinauzwa. Ni 5x6, kipo Kigogo. PM namba yako tuwasiliane uje ukiangalie. :::::::::::::::::: Nimeweka picha sasa. Kitanda hicho hapo jamani.
 2. TL. Marandu

  Zanzibar katika Midomo ya Mbwa!

  Huu ni Uhuni wa Ajabu, Watu wanashinda mnafuta Ushindi wao, Kisha Mnalazimisha Uchaguzi Urudiwe, Na Kama Haitoshi Mnawashawishi sana wakubali Kuingia kwenye Uchaguzi wa Marudio ili Muwaibie na Kuhalalisha Wizi huo. Wanakataa Mnatumia lugha zinazozidi hoja za uharo ati hawawezi Kujitoa kwenye...
 3. TL. Marandu

  Jecha alitumwa na nani kufuta matokeo ya Uchaguzi Zanzibar

  Hivi Kweli Watanzania Mnaamini Jecha alikurupuka na Kufuta Uchaguzi wa Sehemu ya Nchi, Jambo la Hatari hivyo, Bila Kushauriana na Watu Fulani Fulani? Alipelewaje Majeshishi? Ukweli ni Kuwa, Kikwete na Mkapa ndio waliomtuma Jecha. Period. Wasitudanganye. Unaweza Kufanya Jambo la hatari lenye...
 4. TL. Marandu

  Usaliti wa bara la Afrika na dhana ya ukombozi

  Hakuna mbari yoyote ya wanadamu katika historia ya dunia, mbari ya watu walioteswa, walioonewa na kufanyiwa maangamizi ya ajabu kama mbari ya watu wa afrika. Africa imepitishwa katika misiba na masahibu ya kutisha sana ya wa biashara ya utumwa iliyoanzishwa kidodo kidogo miaka ya 1200 mwishoni...