msafara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Askari wamewajeruhi vijana watatu kwa risasi – Uvinza wakati wa msafara wa DC, Mei 5, 2026, hatua zichukuliwe

    Kuna watu watatu wamepigwa risasi za moto na askari waliokuwepo kwenye msafara wa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza walipokuwa wakielekea Kijiji cha Kalilani kilichopo mkoani Kigoma Wilaya ya Uvinza, Tarafa ya Buhingu, Kata ya Buhingu. Vijana hao wao walishambuliwa na Askari Polisi waliokuwa na silaha...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tizama Hapa: Rasmi Magari Yapunguzwa Katika Msafara Wa Rais Samia ili Kutimiza Ahadi Yake. Yatembea Katika Mfumo Wa Kikomandoo Na Kijeshi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge. Ni Mama wa Vitendo ,ni Mama anayetimiza anachoahidi na...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania SSP Notker Kilewa: Gari la Mgonjwa likikutana na Msafara wa Rais, gari la Mgonjwa litasubiri

    Sehemu ya majibu ya SSP Notker Kilewa wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa BOMBA FM ya MBEYA, MC Kamendu, ambapo alimuuliza “Ikiwa msafara wa Rais unapita na gari la Wagonjwa liko njiani kwa wakati mmoja, nani anapewa kipaumbele?” Mahojiano hayo yamefanyika Machi 17, 2026...
  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania Same: Mbunge wa Moshi Mjini, Ibrahim Shayo(CCM) anusurika kifo baada ya gari lake kupata ajali katika msafara wa Waziri Mkuu

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Ibrahimu Shayo, amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka mara kadhaa na kutumbukia korongoni katika eneo la Kirinjiko, Wilaya Same, mkoani Kilimanjaro. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, ajali hiyo ilitokea wakati akiwa kwenye ziara ya...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nani wako kwenye msafara wa Rais Dubai? Au kuna sura tunafichwa tusijue uhusiano wao?

    Rais samia ameondoka nchini kwa kificho. Hatujui anakwenda kukutana nani, atakaa siku ngapi na ameandamana na nani. Ni ajabu. Kwanini tufichwe wakati anatumia fedha zetu mbali na kutumia jina letu maana anakwenda kule eti kutuwakilisha wakati anajiwakilisha? Huu nao ni ufisadi wa kimfumo...
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kumbe Convoy ya Msafara wa Mufti Zubery ndio Upo Hivi?

    Natanguliza heshima na taadhima, Sikupata fahamu.
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais wawavutia Vijana wa Gen Z

    Vijana wa Gen Z wamepongeza ununuzi wa gari mpya na za kisasa za Aina ya Range Rover kwenye msafara wa Mheshimiwa Rais. Hakika tunaweza. Kazi na Utu
  8. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Mbona kama msafara wa Rais umebadilisha magari, kwasasa Rais anatembelea Range Rover?

    Jana nimeona Rais Samia akiondoka na magari aina ya Range Rover mara baada ya kiapo. Wajuzi wa mambo mje mtujuze yale magari ni Range Rover aina gani na sifa zake ni zipi?
  9. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Msafara wa mtu/kiongozi mkubwa kupata msukosuko

    Sijajua ni nani ni wapi ni lini na ni kwanini Ila nimeona ni kivipi msafara ule ulivyozua taharuki kwa wanausalama, na waongozaji wakiwa katika hekaheka, kiasi kwamba wako baru wasijari hata usalama wa watumia balabara ile. Kwa kutumia hisia na ufahamu wangu huenda ule msafara ni wa Rais...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania TISS imefikia huku. Wanapiga picha wakiwa kwenye msafara na kujipost. Kweli Nchi imejifia hii

    Huko Instagram nimekutana na hiki kituko. TISS ya sasa wamefikia kujipiga picha wakisafirisha consignments na kujipost. Kweli Nchi imeshajifia hii
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Samia aendeleza sifa katika msafara yake

    GT Ona maajabu ya Tanzagiza endeleeleni kulala.. NRNE
  12. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Gari zimezuiwa kupisha msafara wa mgombea mwenza CCM, inasikitisha sana

    Kwa kweli inasikitisha sana, gari zimezuiwa ili kumpisha mgombea mweza apite, karibia lisaa sasa na gari la mgombea mweza halijapita na haturusiwi kuendelea na safari mpaka apite! Naona polisi wanasimamia kuhakikisha gari zinasimama kumpisha mgombea mwenza
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jakaya: Gari lililopata ajali kwenye msafara si langu

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (JK), amekanusha taarifa zilizodai kuwa gari lililoanguka katika msafara wake lilikuwa gari lake binafsi, akieleza kuwa yeye hakuwepo ndani ya gari hilo. Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ambulance yenye mgonjwa ikisimamishwa na askari ili kupisha msafara wa kiongozi

    Video ya mdau imeonyesha ambulance yenye mgonjwa ikisimamishwa na askari ili kupisha msafara wa kiongozi. Serikali inayohubiri “kazi na utu” leo imejionyesha wazi haina utu wala huruma kwa wagonjwa na jamii. Kiongozi anapewa kipaumbele kuliko maisha ya raia anayepigania pumzi yake — huu ni...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

    GT Nchi maskini hii check fuel inavyotafunwa na V8.
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wa Muze, Sumbawanga wazuia msafara wa CCM kupinga uteuzi wa mgombea

    Wananchi wa Kijiji cha Muze, Kata ya Muze, katika Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga Vijijini mkoani Rukwa, wamezuia msafara wa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa wilaya hiyo wakilalamikia mchakato wa uteuzi wa majina ya wagombea wa udiwani katika kata hiyo. Tukio hilo limetokea baada ya...
  17. Daraja2

    JamiiForums Tanzania Kenge kwenye msafara wa mamba usijinyong'onyeshe

    Habarini za jioni hii, Wakati majina yakitangazwa "mubashara" kulikuwa Kama na maelekezo ya Moja kwa Moja kwa wajumbe kumpitisha "mlengwa" katika kiti husika. Rejea "waliopitishwa Jimbo fulani wako 7 akiwemo fulani (jina la muhusika). USHAURI; Wewe ambaye bado ni mdogo kiumri jipange kisawa...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Msafara wa chief Godlove kwenda jimboni kyela

    Na siku hizi kahisi anaweza kuupata ubunge kwa zali basi katulia tulia maneno ya kiburi kapunguza sana hapo yupo na watu wake wanaomsapoti wanaenda kuvimba kidogo nyumbani aisee wenye nacho wataongezewa.
  19. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Twende Butiama: Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania wakabidhi msaada Shule ya Msingi Mkata, Handeni

    Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Msafara wa ndege za kivita za Marekani waelekea Mashariki ya kati baada ya Trump kutoa agizo la dharura raia wa Iran kuondoka Tehran, foleni imeshona

    Baada ya agizo la Dharura, Foleni ya kuondoka Tehran imekuwa ni kubwa sana, Trump kalazimika kukatisha mkutano unaoendelea nchini Canada wa G7 na kurudi haraka Marekani, Amewaagiza wajumbe wa Baraza la Usalama wa Taifa (NSC) wawe tayari kwenye chumba cha dharura (Situation Room)...
Back
Top Bottom