burudani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ili wikiendi yako iishe ikiwa bora unahitaji burudani gani leo?

    Kuna burudani nyingi sana, mimi leo ili iishe vyema nahitaji kuburudika na mziki laini nikiwa na maji baridiii kwenye kaupepo mwanana kando ya Ziwa Mkuu wewe unahitaji burudani gani?
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Dudubaya aende huko Pakistan kuna masoko maalum ya kwenda kujipatia wavulana walio jipamba kama wasichana kwa ajili ya burudani

    *dudubaya Huko bannu khyber pakhtunkhwa nchini Pakistani kuna soko ambapo wavulana hupigwa mnada hadharani
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi kulazimisha wengine kufanana nao kwenye burudani (hususani mziki)

    Wadau wa jf nimeona nitoe ya moyoni mwangu. Mimi ni mshabiki wa muziki wa dancehall toka utotoni na ninapenda zile dancehall ngumu zinazoelezea maisha halisi ya mtaani mfano ugumu wa maisha, violence, Babylon system inavyotreat watu. Yaani ukiingia getoni kwangu, ni mwendo wa gangsta tracks za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 BURUDANI: Awilo Kidume cha Mbeya aburudishe

    Huyu ni muimbaji wa nyimbo za asili kutoka Mbeya. Ana sauti ya kuvutia na muziki mzuri wa asili unaovutia kusikiliza hata kama huelewi anachoimba. Achaneni na hayo mabongo fleva ,sijui amapiano. Burudani AFCON iwe ni nyimbo za asili za akina Awilo na singeli za maadili.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Makonda anavyoitangaza Tanzania kupitia watu mashuhuri katika sanaa, michezo na burudani

    Mpango wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Paul Christian Makonda kutumia watu mashuhuri katika tasnia za sanaa na michezo kama vile Didier Drogba, Rio Ferdinand, Rick Ross na Laporta Rais wa klabu ya FC Barcelona pamoja na wachezaji wake kuitembelea, kuizungumzia na...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nataka nifungue mgahawa ambao nitakuwa nikionyesha video za Prof Janabi muda wote kama burudani

    Nimeamua kuja na huu ubunifu. Hela nitapiga. Unapata msosi huku ukitazama video za Prof Janabi akishauri mambo ya afya. Itakuwa ni burudani kwa wateja wangu. Natumaini wateja watafurahi. Una maoni gani kuhusu hii idea?
  7. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kongole sana Gen Z, kwenye burudani hampoi na hamboi kabisa! 😂👏

    Kuanzia Leonardo, yule jamaa wa "Tutakufuatilia", Eliud na mkewe, Koy Mzungu, Mama Mawigi, Mwenyekiti, Big na wenzie, Mlima Viazi Nziku kule Njombe, Wanyalu Tulizo na wenzie kitefu cha makani, Mwalimu wa Songea, rais wa mawinga na demu wake (huyu namcrush), Nyanda Kabundi (the lake zoner na...
  8. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Kwanza wanatuchukuliaje hizi TV Station zilizopo nchini zipo kutupa burudani au ilimradi?

    Wana Jamvi Heshima yenu. Mimi nimekuwa nikipenda kutazama station za Television hasa hizi za kulipia za Ndani ya Nchi na za Nje ya Nchi nimegundua kuna utofauti mkubwa sana ,pia nikaja kuona Mamlaka zinzosimamia zimebweteka na kama hazijui majukumu yao. Nianze na Television Station za Ndani...
  9. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Pombe ikitumiwa kwa usahihi ni burudani isiyo na mpinzani

    Salaam jamiiforum. Pombe ni burudani ambayo ipo tangu enzi za manabii,ikiwa ni moja ya burudani nzuri,yenye kukutanisha marafiki,wachapakazi pamoja na wazalendo. Sisi wenyewe ni mashahidi ni mara nyingi makampuni kadhaa ya pombe yamekuwa yakipewa sifa na tuzo Kwa kuwa rekodi nzuri kwenye pato...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mabeef ya mastaa yanayoshamiri nchini sio burudani tu, ni kioo cha hali ya jamii tuliyonayo

    Siku hizi ukiangalia mitandao ya kijamii Tanzania kuna kitu kinaonekana wazi sana, ma-beef kati ya watu maarufu yameongezeka kwa kiwango kikubwa. Kila wiki kuna mtu kagombana na mwenzake, wengine wanachambana kwenye podcast, wengine Instagram story, wengine wanafichuana siri live kabisa mbele ya...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Umewai kutumia kiasi gani kikubwa cha pesa kwenye burudani ndani ya siku moja?

    kiasi gani cha pesa amnacho umewahi kukimaliza kwa siku moja kwenye burudani fulani? Binafsi weekend iliyopita nimetumia arround 1800usd, hapo tunaongelea zaidi ya 4M kuitumia kwa siku moja!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa Internet: Kukosa access ya internet huwa kunaathiri vipi siku yako ?

    Leo hii watu wengi hutumia muda mwingi kwenye Internet iwe kwa smartphone, TV, games, Laptop, n.k. hasa kwa ajili ya burudani kama kuangalia videos za muziki, highlights za mpira, kucheza games, au kuperuzi mitandao ya kijamii. Je unapokosa internet, siku yako inaendelea kawaida au unahisi...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar (BASSF) lasitisha shughuli za muziki na burudani kipindi cha Ramadhani

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu Zanzibar limetoa taarifa Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani linawakumbusha wamiliki wa maeneo ya kumbi za starehe na Burudani, wapigaji wa muziki na Wananchi wote kwa ujumla kwamba Shughuli za upigaji wa muziki kwa kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ponografia inakufundisha kuwa ngono ni burudani, nina uhakika hii ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa ufuska na watu kufanyiana matendo ya kinyaa

    Ok, hakuna jipya katika dunia, lakini sometime back matendo ya ngono yalikuwa faragha na ngono haikuwa hyped namna hii, ngono ilionekana kama jambo la siri, aibu na muda mwingine sacred. Ila sasa hivi binti wa miaka 19 ndio anakufundisha style, kijana wa kiume ameruka na mademu wee hadi...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tupate Burudani Kidogo: Tuonane Paradiso - Joshua Mlelwa

    Tukumbushane wote tutakufa. Hafu tutaonana tena afterlife. Either Peponi aubon fire. https://youtu.be/9ooC1a-oQjo?si=iiw-dEXyZwLK8nXY
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tupate burudani ya wimbo wa HAKUTAKUWA Nywinywi wala Nywinywi

  17. M

    JamiiForums Tanzania Inspector Haroun atabaki kuwa msanii anaeweza kuflow vizuri hata bila beat, sikiliza acapella hii

  18. Hujaza Kibaba

    JamiiForums Tanzania Modern taste of Football Analysis | Uchambuzi wa soka wenye ladha ya kisasa Burudani iliyoje

    Familia ya mpira⚽️ karibuni kwenye channel yetu ya whatsapp kwa maudhui ya kipekee kwa lugha ya kiswahili Taarifa za mechi lini anacheza nani matokeo yamekuaje unaweza kupata popote ila taarifa zenye ladha na shule nyingi ndani yake ndugu zangu wa football ni hapa🙇 Kipindi hiki cha...
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Discovery Channel kimebadilika kutoka Elimu hadi Burudani za kuhadaa

    Kuna kipindi fulani, hasa miaka ya 1990 hadi mwanzoni mwa 2000, jina Discovery Channel lilikuwa alama ya heshima kwa yeyote aliyependa kujifunza kupitia runinga. Ilikuwa ni “chuo cha nyumbani,” chenye vipindi vya kuvutia juu ya sayansi, historia, teknolojia, safari na siri za ulimwengu ambazo...
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Tupate burudani kidogo kutoka kwa mkaka wa Dar.

    Kwahiyo wanaume wa Dar siku hizi mnatembea na pochi kama wanawake?
Back
Top Bottom