mjadala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola kuwa mali ya CCM: Kauli zinazofungua mjadala wa chama na dola

    Kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paul Chacha, kwamba vyombo vya ulinzi na usalama ni “mali ya CCM”, imeibua mjadala mpana kuhusu uhusiano kati ya chama tawala, Serikali na vyombo vinavyotakiwa kulinda Jamhuri na wananchi wote...
  2. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mjadala wa Uwepo wa Mungu.

    Cc Kiranga
  3. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania tumalize mjadala leo...mafanikio ni kumiliki gari na nyumba?😊😊

    kwamba nina miaka 40 sina gari wala nyumba lakini leo chuo kikuu cha mzumbe nimehitimu shahada yangu ya tatu na kutunukiwa PHD....je haya sio mafanikio?.... nina umri wa miaka 40 nimeowa na nina watoto watatu wa kwanza kamaliza shahada ya udaktari kcmc...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ni hatua gani zinapaswa kutumika kurejesha usalama Wilayani Tunduru ambapo Wafugaji na Wakulima wanapingana?

    Ndugu zangu, Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea kwa moto. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, hali katika Kijiji cha Chikomo ni ya wasiwasi baada ya...
  5. O

    JamiiForums Kenya HABARI: “NI NINI KINAWASUMBUA WAUMINI KANISANI?” — UJUMBE WA SADAKA WAIBUA MJADALA

    Video yaibua mjadala kuhusu namna baadhi ya waumini wanavyotoa sadaka kanisani, huku kikapu cha sadaka kikionekana kuwa na kiasi kidogo cha fedha. Mhubiri anaonekana kuzungumzia changamoto zinazowakabili waumini na mtazamo wao kuhusu utoaji, jambo linalogusa maisha ya mwananchi wa kawaida ambaye...
  6. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Suala la Mabasi bado linahitaji mjadala tusipelekeshane kama misukule, kuna hoja zinahitaji majibu.

    Kwakuwa ni mambo ambayo yako wazi sina sababu ya kutumia energy nyingi kuelezea vitu ambavyo havihitaji rocket science kuvielewa. Kwanza nitaanza na kero mbili za mabasi wamiliki wa mabasi wafanyiekazi. 1. Huduma zinazotangazwa za mabasi ya luxury coach hazipatikani kwa ukamilifu hasa Wi-Fi...
  7. Scars

    JamiiForums Tanzania Post ya Lionel Messi instagram yazua gumzo akidai kuwa mjadala wa GOAT umetamatika

    Ni siku moja baada ya kutangaza kustaafu kuitumikia timu yake ya Taifa katika soka la kimataifa. Look what humble Messi posted on his IG page. Now imagine kama hii ingepostiwa na Ronaldo.
  8. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Niffer Aibua Mjadala Mitandaoni: Asema Hawezi Kuwa na Urafiki wa Karibu na Wanawake Wenzake

    Mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu nchini, Jennifer Bilikwija ‘Niffer’, amewasha moto wa mjadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka wazi mtazamo wake kuhusu ushikaji na wanawake wenzake. Niffer amebainisha kuwa ingawa anawapenda na kuwaheshimu wanawake, hana mpango wala uwezo wa...
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Vipimo vya DNA vyazua mjadala nchini Malawi.

    Matokeo kutoka kliniki binafsi na za umma nchini Malawi yanaonesha kuwa takribani 80% ya wanaume wanaofanya vipimo vya DNA kutokana na mashaka kuhusu uaminifu wa wenzi wao hubainika kuwa si baba wa kibiolojia wa watoto wanaowapima. Hata hivyo, wataalamu wa afya na sheria wameonya kuwa takwimu...
  10. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Watu Wazima, Mnaowalaumu Vijana Kwa (UTOTO)

    Kwenu watu Wazima, Mnaowalaumu vijana Kwa Utoto Kuna (baadhi) ya watu wazima wale ambao umri umeenda, wamekuwa na tabia ya kuzodoa vijana wadogo au watu ambao bado hawajafikia umri wao Utasikia:👇 Yaani huyu utoto unamsumbua Huyu ana utoto mwingi Hajitambui Na maneno mengine mengi sana Lakini...
  11. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Barua ya Mahakama Kuu Yazua Mjadala: Je, Katazo kwa Mawakili Linakiuka Uhuru wa Kujieleza Chini ya Ibara ya 18 na Kuvunja Ibara nyinginezo za Katiba?

    Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Takwimu za CIA zinavyopotosha: Mjadala Chuo Kikuu Cha Lowa na Northwestern University

    https://youtu.be/SIhAolibf1c?si=Y2Pk2yO1KCUm7j31
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Muungano: Mahojiano na Victor Madaha

    https://youtu.be/TDuIF6VnOCc?si=bJ__xA2Yi34yKSBv
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Victor Madaha ananukuu malalamiko ya watu: "Wazanzibari wanalalamika kazi zao zinachukuliwa na hawa kutoka Tanganyika... wamekuja kuwa watanganyika wasitibiwe kwenye hospitali zanzibar". Kuhusu mzigo wa bima ya afya: "Mahospitali kwa maana ya bima zile wamekuwa wakitibiwa sana watu wa bara sana...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kichina lilivyozua mjadala mitandaoni wa chuki na Ubaguzi wa Rangi mwaka 2016

    Mnamo Mei 2016, kampuni ya vipodozi ya nchini China iitwayo Shanghai Leishang ilirusha tangazo la kidijitali la Sabuni ya kufulia wa Qiaobi, ambalo lilishtua ulimwengu mzima kwa ubaguzi wa wazi wa rangi. Tangazo hilo lilimwonyesha binti mmoja wa Kichina akimsukumia kwa utani mwanamume mweusi...
  16. Poker

    JamiiForums Tanzania Fetish ni nini? Mjadala wa kuvutiwa kingono

    Fetish inamaana gani? Neno "Fetish" (kwa Kiswahili wakati mwingine huitwa Fetihi) katika muktadha wa mapenzi na mahusiano lina maana ya kuvutiwa kingono na kitu, tabia, au sehemu fulani ya mwili ambayo kikawaida haichukuliwi kama kiungo kikuu cha uzazi au sehemu ya tendo la ndoa. Mtu mwenye...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kutumia Biblia au Quran kujenga hoja katika mjadala wa umma ni ishara ya akili ndogo

    Huwa nashangaa sana Watanzania wengi wanaokuja na rejea za Biblia au Quran katika kujenga hoja kwa mijadala ya kijamii/ umma inayobishaniwa au kujadiliwa. Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya akili ndogo na ujinga mwingi katika taifa.
  18. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Nchi imeshaenda Kombo: Ninachoamini Nchimbi ni Smart Guy hamtoweza kumsikia akiingia kwenye mjadala wowote

    Tulipofika ni total destruction of our country , and Samia does not know what else to do- hamna anachokifanya na kwasasa nchi ipo chini ya polisi maana hata jeshi halijaonekana kwenye kusimamia katiba- polisi ni very low minded and most of them ni uneducated- imagine the consequence. Mmbunge...
  19. E

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mjadala wa Kitaifa Kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Nchi yetu

    Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/yw9QUyBkdXE?si=_psmu3H58c7p20re...
  20. L

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mjadala wa Kitaifa Kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Nchi yetu

    Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/yw9QUyBkdXE?is=Wg_4_djGZTsIrnyM
Back
Top Bottom