mhindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    Mwekezaji yoyote Mhindi, Mchina, Mwarabu tunapalilia umasikini nchini

    Great Thinkers. Hakuna sehemu hao viumbe walishawahi kukaa pakapendeza. Ni waharibifu na wanyonyaji wakubwa. Huwezi ukategemea watu wa Asia wasukume uchumi wako mbele this is the open truth. Instead Raia watageuzwa manamba na kutumikishwa kama enzi za ujima huku wakilipwa ujira mdogo sana...
  2. GENTAMYCINE

    Haya mnaobeti Al Ahly na Yanga SC leo nawapeni Mzola huu ili mumkamue Kanjibai ( Mhindi ) baadae Usiku

    Al Ahly ( Egpyt ) 1 Yanga SC ( Tanzania ) 6 na Goli 5 atafunga Guede na 1 atafunga Pacome.
  3. Komeo Lachuma

    Siku ya pili hii nalalia mhindi wa kuchoma na Maji. Naona kama ni kutaka tafutana ubaya

    Jana asubuhi shem aliniambia nisipeleke watoto shule. Atawapitisha yeye. Nikaamka saa 4 naenda mezani chai hamna. Namuuliza dada wa kazi ananiambia shem alimaliza. Mchana hakikupikwa kitu. Nikanyamaza. Usiku nikaona wanatengewa watoto chips kuku mimi nimesubiri mpaka saa 3 holla. Wameenda...
  4. MK254

    Video: Polisi Uganda ampiga risasi Mhindi dukani

    Tena alirudi mara ya pili kuhakikisha anamuua kabisa....
  5. MwananchiOG

    Simba yapewa odds mlima kwenye kampuni za betting! Mhindi hajawahi kuliwa.

    Mhindi hajawahi kubahatisha pale linapokuja swala la betting, Simba Sc kupewa odds kubwa dhidi ya mpinzani wake Wydad AC ina maana gani? Ni mtego au? Mliosoma Cuba tuna mtudadavulie tafadhali
  6. M

    Sijawahi kuona timu inayomilikiwa na mhindi inapata mafanikio, Mo ataendelea kuwatesa

    Sina kumbukumbu nzuri ya kujua ni wapi na nchi gani ambayo kuna timu inamilikiwa na mhindi na timu iyo ikapata mafanikio, labda wanaojua watuambie hapa, Wahindi wanajulikana ni wabahili kwenye suala zima la kutoa pesa yao. wanapenda sana vitu vya kitonga, vitu vya bei rahisi rahisi ili wapate...
  7. Chizi Maarifa

    Mwafrika hahitaji Mwarabu,Mzungu,Mchina wala Mhindi kumbagua... Hao wanarudia anachofanya Mwafrika mwenyewe.

    Wafrika wanaouana wenyewe kwa wenyewe ulaya na marekani ni wengi kuliko wanaouliwa na wazungu. Waafrika wanaouana Afrika ni wengi kuliko waliouliwa na wazungu wakati wa ukoloni. Ubaguzi wanaofanyiwa Waafrika na viongozi wao nchini mwao afrika ni wa kiwango cha standard gauge kuliko ambacho...
  8. sky soldier

    Kwanini ukioa mwarabu/ mhindi inakuwa ngumu kwa wanafamilia wa upande wa waarabu/ wahindi kujenga undugu upande wa mme wa binti yao?

    Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa. hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi...
  9. kyagata

    Nimekosa kazi kwa mhindi sababu nimesoma UDSM

    Wapendwa kwema? Nilifanya interview kwa kampuni flani ya wahindi hapa mjini Dsm kwa nafasi ya umeneja mauzo,interview ilienda vyema,candidates tulikua kama 7 hivi,sisi kutoka chuo tajwa tulikua wawili. Leo wamenitumia email kuwa hawajanichagua na sababu ya kutonichagua ni kwamba, wenzangu...
  10. Maghayo

    Mhindi alivyovamiwa na kuibiwa hela na lundo la vibaka kwenye Bodaboda Kampala Uganda mchana kweupe

    Mzuka wanajamvi! Raia mwenye asili ya Asia akiwa kwenye pikipiki yake avamiwa na wezi kwenye Bodaboda kupigwa na kunyang'anywa begi baadaye ikagundulika kulikuwa na kiasi kidogo tu cha shilingi million 5 tiuu za Uganda. Tukio hilo lilitokea mchana kweupe na lilinaswa na CCTV na polisi...
  11. A

    Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

    Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi Aisee elimu hii jau sana.
Back
Top Bottom