Kumbe kipaumbele ni kwenda kwa PK na Msafara wa Mabasi 800 na siyo Kujipanga Kumfunga Mwarabu?

IMG-20230911-WA0001.jpg
 
Taratibu sasa naanza kumuamini Haji Manara kuwa Wenye Akili timamu Kwao ni Wawili tu Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete.

Mkiambiwa ni Washamba mnanuna.
We kolo, a.k.a mbumbumbu, a.k.a mwana ngada FC, unakoelekea unatupa kazi kukutofautisha na wasio na akili..!! Inamaana hujui umuhimu wa mashabiki kuwepo uwanjani? Kalpana njoo toa hii kolo nyenzako..!!
 
Kuna vitu vya msingi nahitaji kujua kutoka kwako,

1.Umri wako sahihi

2.Elimu yako.

3.Kazi yako.

Hivi vitu vitatu hutoa taswira ya mtu alivyo.ujobless, utimamu na busara

Maandishi/uandishi wako usiozingatia staha ,wenye majivuno na overconfidence,siyo bure lazima umeme wako haujatimia.
 
Kila saa unapost! Kwanini usimuone Daktari wa magonjwa ya akili ASAP?
Mgonjwa wa Akili mwenye Utajiri wa Followers 166 ( Great Thinkers ) hapa JamiiForums huku Wewe ukiwa huna hata Mmoja tu na Mshindi was Tuzo Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa Msimu wa 2022 / 2023?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Back
Top Bottom