mchina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ajira: Tunatafuta mzungu , Mjapani na mchina

    Ajira: Tunatafuta mzungu , Mjapani na mchina ili aweze kugombea jimbo na kuwa mbunge wa JMT... Mfano
  2. X

    JamiiForums Tanzania Kariakoo inatufundisha somo moja: Bila Mchina bidhaa nyingi za kisasa zingekuwa za wachache

    Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka kadhaa iliyopita angeiona kama luxury 1. FRIDGE Samsung/LG zikiwa na features za kisasa zinaweza...
  3. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Dunia inapaswa kumuelewa Mchina anapokuwa anapambana na Marekani na hata kumuunga mkono

    Kama kuna jambo ambalo dunia inapaswa kujifunza ni kutoka kwenye utawala wa Trump. Jamaa anaanzisha timbwili kila kona. Nataka nigusie timbwili lake na Canada. Jamaa ana mapendekezo ya mikataba kwa Canada ambayo serikali yoyote yenye kujielewa haiwezii kuyakubali. Yani ni sawa ukaue uchumi na...
  4. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Watu weuzi tumewazaa wanadunia... changia wazawa wengineo, naanza na mchina

    https://www.youtube.com/shorts/O-YCqLell7w?feature=share Afu angalia wachina wa kale...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri akifungia kiwanda cha nondo ambacho amekuta kikiwa na risasi na kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira

    Kiwanda cha kuzalisha nondo cha Hanging Steel Factory Tanzania Limited kilichopo Kisenvule, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, kimefungwa kwa muda baada ya Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Reuben Kwagilwa, kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira pamoja na kukutwa...
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Alipouawa Mchina, wauaji walikamatwa haraka sana, wapopigwa WATANZANIA na Wachina, je kuna Mchina amekamatwa?

    Waliopigwa na Mchina, wamelazwa hosptalini, ili aliyewazuru akamatwe, imewabidi majeruhi kujirekodi huku wakiwa wanalia ndo mpigaji wa kichina alipokamatwa na polisi Hii imekaaje? Mbona yule mchina ALIYEUaWA, tuliwakamata wale Masai feki haraka?
  7. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mchina ni habari Ingine acha waendelee kura nyoka

  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi mchina ambaye ni mkongwe au HR wake anaweza kusema hawa ni wamasai wa ulinzi

    Tafakarini wenyewe kwa umakini na usije shangaa wachina wa marehemu waka wakataa kuwa sio hawa
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mmasai anayeshutumiwa kumuua Mchina inavutia kimedani. Nipo interested nayo kuona kile jeshi letu litafanikiwa na kwa muda gani

    Habari za jumapili! 1. Wiki kadhaa zilizoisha taarifa za kuuawa mchina zilizagaa mitandaoni. 2. Mshukiwa wa mauaji hayo akiwa ni mtu mmoja ambaye jina lake halikutajwa isipokuwa kabila lake la maasai. Hii ni kusema taarifa inaripotiwa mchina auawa na mmasai. 3. Wamasai ni moja ya Makabila...
  10. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Mchina kaleta pikipiki Sinoray cc 200 (umeme), vijana wa Arusha wanazitumia kusafirishia mirungi na bangi

    Hizi Sinoray mpya umeme ni mwisho wa matatizo. Zina speed kubwa sana kiasi cha kufanya sio rahisi kushikwa. Vijana wa kirangi na chuga wanazitumia kama fursa ya kusafirishia mirungi na bangi kutoka border za Kenya kuleta Tanzania. Ukikutana nao hiyo convoy kaa chonjo maana wanakuwa na mapanga...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli biashara ya kubeba mizigo kwa kirikuu imeyumbishwa na maguta ya Kichina

    Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu kama maduka makubwa nao hawachezi mbali wameanza kuyaelewa maguta Pia kirikuu...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya bidhaa ya Twyford Tanzania vyafanya makubwa ndani na nje ya Tanzania

    Wanabodi, Viwanda vya bidhaa ya Twyford Tanzania vyafanya makubwa ndani na nje ya Tanzania Viwanda vitatu vya bidhaa za Twyford vinavyofanya kazi chini ya KEDA (T) Ceramics Co. Ltd, vinavyojumuisha uzalishaji wa vigae na kioo, vinaendelea kutoa mchango mkubwa katika maendeleo ya viwanda nchini...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Video: Lugha gongana ya mchina

    Hivi inakuaje hawa wachina wanakuja huku kwetu huku hawajui hata lugha ya kiingereza wala kiswahili ambazo zinakutanisha watu wengi?
  14. Manyanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchina akamatwa uwanja wa ndege wa Kenyatta akisafirisha Siafu 2000 kwa njia ya magendo

    Raia mmoja wa China amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya na kufikishwa Mahakamani akituhumiwa kujaribu kuwasafirisha nje ya nchi kwa njia ya magendo zaidi ya Siafu 2,000. Raia huyo aliyejulikana kwa jina la Zhang Kequn alikamatwa wakati wa ukaguzi wa...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchina akamatwa JKIA akijaribu kusafirisha zaidi ya siafu 2,000 kwa njia ya magendo

    Raia mmoja wa China amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya na kufikishwa Mahakamani akituhumiwa kujaribu kuwasafirisha nje ya nchi kwa njia ya magendo zaidi ya Siafu 2,000. Raia huyo aliyejulikana kwa jina la Zhang Kequn alikamatwa wakati wa ukaguzi wa...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Mchina amshtaki DPP kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82

    Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82 tangu Novemba 2025. Katika maombi hayo namba 000002421 ya 2026, Yan anayewakilishwa na wakili...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Asanteni GenZ kwa kutunyamazishia kiredio cha mchina tulikuwa hatulali

    Kelele zilizidi sana mjini tulikuwa hatunywi maji wala kumeza mate, mara sisi ndio chawa wa mama, sisi wafupi wa mama, bodaboda wa mama, wabeba vyuma wa mama, barabara ya mama, hospital ya mama, was too much. Leo kimya hakuna cha nywi nywi wala nywinywinywi, CCM kimya, Uvccm kimya, chawa wa...
  18. E

    JamiiForums Tanzania wakuu nauza machine excavator mchina kashusha bei kinoma

    kwa mnaoyaka kununua machine kama excavator brand ya sdlg pia na matela ya malori na tipa karibun wakuu bei maelewano
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

    WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo...
  20. Trainee

    JamiiForums Tanzania Nimemuonea huruma sana Mchina aliyeenguliwa wakati wa kupiga picha

    Ilipofika muda wa kupiga picha kuna wengine walikuwa kando wakawa wanajisogeza kwenda kujumuika kwenye picha akiwemo yule mshereheshaji wa mradi (sina hakika kuna aliyekuwa akiwaita au laa). Wote hao wamekuja kwa kuchelewa kidogo lakini hawajakutana na kizuizi. Ajabu ni kwamba kuna watu kama...
Back
Top Bottom