pesa

  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Kama unataka pesa hupaswi kutafuta pesa bali unapaswa kutafuta kitu kitakachoongeza thamani yako. Hicho kitu kitaleta pesa mifukoni mwako.

    Mtu anayeamka usiku wa manane kwenda kutafuta pesa atateseka mpaka siku analazwa chini kaburini bila kuzipata hizo pesa na yawezekana akazipata huku akiwa na ugonjwa utakaomlia pesa zake zote huko uzeeni. Hawa unaowaona wanaamka saa tisa alfajiri na kulala saa 6 usiku kutafuta pesa katu...
  2. chizcom

    Na wasiwasi na Harusi ya JUX na pesa zinachezewa na CCM kutoka serikali

    Lisemwalo lipo mtakuja kusikia Ripot nyengine ya CAG kuhusu ccm inavyotumia pesa vibaya kwa kutumia wasanii. JUX uwezo wa kukatia tiketi watu wote au waliokuja naijeria ni uwongo na wote waliokwenda kule hawana pesa za kuchezea. Usijeshangaa pesa walizopata ni kuishawishi CCM ya serikali kuwa...
  3. Poor Brain

    Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

    Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho... Hutaki kazi ngumu na kazi huna.... Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki.. Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood.. Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu...
  4. C

    Mkopo wa piki piki ya hesabu au pesa ya kununulia piki piki

    Nakuja kwenu wafanyabiashara na watu wenye uwezo wa kunisaidia shida yangu ya Mkopo wa kupata PikiPiki kwa ajili ya kufanyia DELIVERY kwenye biashara zangu au Kiasi cha Pesa chenye thamani ya piki piki husika ili niende nunua mwenyewe Piki Piki hiyo MPYA dukani. Piki Piki ninayohitaji ni...
  5. Gusa Achia Inachosha

    Mtazamo: Utawala wa Sasa watu wengi hawana amani pesa ipo kwa wachache na mfumuko wa bei uko juu

    Sina mengi ya kusema ila kiukweli Utawala huu watu hawana furaha hawana amani, maisha magumu pesa na maisha mazuri viko kwa wachache na hakuna anaejali. Mfumuko wa bei uko juu, usafi kwenye mitaa na barabarani, kwenye mitaro , harufu hovyo hovyo kwenye miji mingi nchi haina Serikali za mitaa...
  6. Eli Cohen

    Houthi wana pesa ya kurusha makombora ila hawana ya pesa ya kuponesha vidonda kutokana maasi waliofanya Yemen.

    Wazee wa vita takatifu dhidi ya marekani na israel na blah blah nyingi ili waonekane civilized ila kiuhalisia wao ni matapeli, makatili na wauaji. Unaendaje kusaidia mtoto wa malaya unaetembea nae wakati wa kwako wa kuzaa anaumwa na hajapata pesa ya kutibiwa. AKILI UOZO.
  7. Eli Cohen

    Huyu ameua wazazi wake ili arithi pesa zao na azitumie katika operasheni yake ya kumuua Trump

    Ni dogo tu wa miaka 17. Amewauua alafu akaishi na maiti zao ndani. Haya ni matokeo ya afya mbovu ya akili na utoto mwingi pale vyote vinapokutana na influence ya mitandao na habari za mrengwa wa kushoto (liberals) zinazoshinikiza chuki dhidi ya Trump.
  8. The Watchman

    Kama Bajaji moja ni 10M, unaweza pata Pikipiki 3 ndani ya Bajaji Moja. Je, pikipiki tatu au Bajaji moja Biashara ipi inaweza rudisha pesa haraka?

    Kama Bajaji moja ni 10M means unaweza pata Pikipiki 3 ndani ya Bajaji Moja. Kuwa na pikipiki tatu au Bajaji moja Biashara ipi hapo inaweza rudisha pesa yako kwa Haraka.??
  9. S

    Tellers' kwenye benki zetu wanatuibia pesa zetu bila aibu

    Nimekuwa nikiambiwa na jamaa zangu kuwa nikienda benki sasa hivi niwe na tabia ya kuhesabu pesa zangu kabla ya kuondoka pale dirishani kwani wale 'Tellers' wamekuwa na mtindo wa kuchomoa pesa hususan kwenye bundle za 1m. Nilikuwa siamini lakini leo yamenikuta Equity Bank,pale Golden Jubelee...
  10. GISAMBO

    LBL wanawabadlishia majina tu, hakuna Pesa nyepesi jamani

    Stori ni zile inaama awa watu awaogopi kabisa mamlaka kama mmeshindwa kabisa Ku track hizi platform nyie pigeni block namba wanazo weka kupokelea pesa mbaya zaidi wanaolizwa wengi ni choka mbaya kabisa. Mtu yupo Mlimba huko eti ananipigia Mimi ananishauri kuna biashara online sijui nitapiga...
  11. Mganguzi

    Kusema ukweli Hussein Bashe amepiga pesa za BBT! Huu ni ufisadi mkubwa sana 'na kwakuwa Rais hana muda na mafisadi acha wajipigie mipesa ya bure

    Bashe anapenda kulimia mdomo na kupiga sound sana! Anamchapa sound mama anaingiza mihela tu! Hussein Bashe ana kilimo cha kwenye makaratasi, mabilioni ya pesa yanapotelea kwenye mikono yake! Angalia mradi wa BBT unavyomdhalilisha! Alitaka kulima kwa makaratasi na mdomo ! Mahindi Yale hata kwa...
  12. mr pipa

    Kama unaitaji connection za pesa ndefu

    Umefanya kila aina ya kazi bado mambo magumu Umefanya biashara kila aina bado hujatoboa Ukaambiwa Kuna waganga wanatoa utajiri, umezunguka mpaka sent ya mwishoo umekata hamna kitu Njoo pm nikupe mchongo wa fast huko kwingine utaendelea kupoteza pesa zako Ila shart uwe na million tatu na...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Kama unatafuta pesa kwa njia za analojia umaskini uko mlangoni kwako.Pesa ziko mtandaoni.

    Kama unataka utumie nguvu zako au jasho lako kupata utajiri sahau. Kama kazi yako kusafiri na mizigo kutoa hapa kwenda kule sahau utajiri. Kama unataka ukalime mpunga sahau utajiri. Pesa ziko online. Waache walime wewe tumia mitandao kuuza hayo mazao yao . Usihangahike na mikorokoro, . USIKAE na...
  14. Eli Cohen

    Nimekutana na video ya huyu binti, imenikumbusha kuwa asilimia kubwa ya mabinti wa kileo hawako resistant na ushawishi wa jamaa mwenye pesa na jina

    Masikini unakuta hata bwana yake huko alikuwa ndio anajichanga aende kujitambulisha ghafla akaona hii clip😂 Ukiwa una pesa alafu ukikutana na demu mwenye bwana, ukimuulizia kuhusu bwana yake ataakuambia "aah yule tunasumbuana"
  15. S

    Kuna umri ukifika vitu vingi vinakosa maana isipokua pesa, familia na afya njema

    Kuna umri ukifika, hasa 38+, ndipo unagundua kuwa mambo mengi yanapoteza maana isipokuwa pesa, familia, na afya njema. Aise hata Kama umekuwa ukijituma maishani kuchangamana na watu sijui ndugu jamaa na marafiki au shughuli nyingine – lakini huna uthabiti wa kifedha wala familia ya kueleweka...
  16. T

    Naomba msaada kwenu wadau wenye uzoefu

    Habari zenu wadau. Hivi ni Bank gani ina toa riba nzuri pale mtu anapoweka pesa Kwa lengo la kupata faida. Je Kuna ukweli kuwa ECO Bank Wana riba kubwa kuzidi UTT?? Naomba mawazo yenu, maana nipo kwenye process ya kuanza uwekezaji mdogo kwenye hizi Financial Entities. Nawasilisha Ahsante.
  17. excel

    Mtoto mdogo mwenye Pesa Nyingi...

    Jamaa alianzia mbali sana aisee Whatever anafanya kutafuta hela nampa Heko Hapa nadhani ni miaka 50 iliyopita na alikua anaitwa Atulokole Mwajilala😅😅😅 Kwa sasa kamanda kajipata karudi ujanani na anaitwa Chief GodLove😂😂
  18. Mende mdudu

    Secret of money.( Siri ya pesa)

    Kwa nn tajiri anaendelea kua tajiri na maskini anaendelea kua maskini. 1- Saving (Kuhifadhi) Tajiri ataweka ili kizidi kuongezeka, na afanye jambo lingne zaid ya anacho fanya kama biashra afungue nyingne. Maskini akipata anatumiq tu anajua kesho akiingia town atapata tena. 2-Fear of being...
  19. OMOYOGWANE

    KITAAOLOJIA: Namna ya kusurvive hapo hapo ulipo, VETA sio suluhisho, pesa ipo hapo hapo ulipo

    Hellow wakuu Huu ni uzi wa namna ya kujikimu kimaisha kwa mwana JF, Mtanzania sehemu yeyote alipo Ipo hivi.. Hapo hapo ulipo kuna watu wana njaa ila hawataki kupika, kuna watu wanahamu na makande wanayapenda ila hawana mahindi na mkaa Kuna wachaga wengi ila hawana pa kujumuikia kupata mbege...
Back
Top Bottom