Habari Wakuu!
Naomba kupata Uzoefu wenu, aina gani ya Gold Detector ambayo imekupa matokeo Mazuri....!?
Iwe ni Detector ya Coil au high range detector...!
NB.
Binafsi nahitaji Detector kwa ajiri ya kutafuta Gold Nuggets kijijini kwetu....!
Pia kama inaweza ku detect Hidden treasures itakua...
Wazee ujumbe unajitosheleza nisiwakamue ubongo wenu.
Nimetengeneza huo mchanganyiko nataka nikate mafuta tumboni huku nafanya mazoezi ya viungo kwani uzito wangu ni kg 100, hadi visigino vinauma
Nimechanganya huo mchanyanyiko lita 1 na nusu natakiwa uji huo kijiko kimoja asubuhi, mchana na...
Hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mnyenyekevu na mtiifu. Kuna sababu nyingi zinazo pelekea wanawake kutoolewa na kuongezeka kwa idadi ya ndoa zinazo vunjika.
Katika uislamu lengo la ndoa sio kutafuta utajiri wala kusaidiana maisha, lengo la ndoa katika uislamu ni kupata utulivu na familia...
Ipo haja ya serekali yetu kuona umuhimu wa suala hili, kwa ni eneo ambalo lipo kilometre chache sana kutoka city center, linastahili kuwa upgraded n kufanana na maeneo ya upanga na kwingineko, pia ni eneo ambalo linaeweza kupangwa tukapata kariakoo 2,mpangilio wa ujenzi ufanywe kwa wenye...
Katika pitapita zangu kwa maeneo tofauti niliwahi kukutana na hii shutuma kuwa Wazazi wamekua chanzo kikubwa Cha ndoa za Watoto wao kuvunjika.
1. Je sababu zinaweza kuwa Nini?
2. Je kama mnapendana kwa dhati 3.Wazazi wanaweza kuwa na nafasi?
4. Nini nafasi ya maandiko matakatifu kuhusu Ndoa...
Binafsi huwa namkubali sana mwanamama Alicia keys nakibao chake cha fallin. Moja kati ya vibao vikali mno kuwahi kutoka kwake. Je wewe unamkubali msanii gani na kibao chako pendwa?
Habari zenu wakuu,
Nina tatizo la network hapa nyumbani kwangu maeneo ya sebleni kwangu na chumbani kwangu ambako ndiko natumia internet.
Sasa kuna sehemu ya nje ni kama kibanda kisicho na umeme, network imejaa 4g huwa inashika vizuri sana, nataka niweke portable wifi router ndogo hizi...
Katika ziara ya Rais wa Zambia nchini Tanzania, Mh Hakainde Hichilema July 2, 2022, yeye na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania walikubaliana kufufua ujenzi wa reli ya kihistoria ya TAZARA kwa kiwango cha ‘Standard Gauge Railway’ (SGR). Reli ya TAZARA ina urefu wa kilomita 1,860...
Tumeshaona viongozi wetu hasa wanaume vijana wanachelewa kukuwa sana. Utamaduni wa Tanzania unadekeza sana wanaume unakuta vijana wapo miaka ya 30’s hadi 40 lakini utoto mwingi.
Swali: je, vijana wachapakazi lakini wenye utoto mwingi wapewe kazi au wasipewe?
Je, hawa vijana watatumia madaraka...
Habari!
Natafakari hapa kazi ya siku moja inamezwa vipi na semina ya wiki tatu sipati majibu.
Kazi ya ukarani ambayo sifa ni kidato cha 4 na kujua kutumia smartphone tu. Programs zote zipo kwenye hizo simu /tablets, kwanini isiwe siku moja ya kuelekezana masomo ya utaifa na uadilifu na siku ya...
Wadau wa Kilimo na wenyeji wa kanda ya ziwa Mwanza n.k.
Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza au jirani na mkoa wa Mwanza.
Pia sehemu ambayo taweza kulima mahindi angalau mara mbili kwa msimu mmoja.
Kama unahisi Jeshi la Polisi na Mahakama haviko sawa. Unadhani ni Marekebisho gani yanatakiwa kufanyika ili Jeshi la Polisi liwe bora na Mahakama itende haki inavyotakiwa.
Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote...
Wakati anaapishwa kuwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyowekwa kwa mujibu wa sheria.
Pia wakati anakula kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma aliapa kutotumia cheo chake kutoa upendeleo kwa ndugu yake au rafiki yake...
Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
Za asubuhi wakuu,
Story inaanza mwaka jana kuna mdada mtaani kwetu nlimgea kizawadi Kidogo kama gia ya kumtongoza ila Baada ya hapo nlibadilisha mawazo, sikuendeleza mazoea nae, niliahirisha kumtongoza, sasa tangu siku hiyo nikilala namwota, unaweza sema namwota sababu nampenda Sana na...
Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
Tayari mapambano yameshaanza ulingoni ndani ya Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo Jumamosi Julai 30, 2022:
Ndunguru ashinda
Bondia Usungu Ndunguru amefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Bernard Chitepete katika pambano la awali. Wamepigana uzito wa Super Light, raundi 6.
Mtu kachapika TKO...
Nilileta uzi huu:
Aibu! Boda ya Rusumo Mgeni haingii nchini bila rushwa
Nimetembelea boda nyingine mkoani Kagera, kote ni mwendo mdundo! Watu wanakula kwa urefu wa kamba zao.
Hata hivyo wapi au idara ipi yenye ahueni?
Polisi? Wapelelezi, trafiki nk? Rushwa si ni sehemu ya malipo yao halali...
UTANGULIZI
SAYANSI ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo,kutazama na kujaribu. Na TEKNOLOJIA ni vifaa na mashine zinazotumika katika matengenezo au uzalishaji wa vitu. SAYANSI na TEKNOLOJIA ni nyanja zinazotegemeana kwakuwa ujuzi unaopatikana kisayansi unategemea au kuchangia sana...