salama

Salamá is a city in Guatemala. It is the capital of the department of Baja Verapaz and it is situated at 940 m above sea level. The municipality of Salamá, for which the city of Salamá serves as the administrative centre, covers a total surface area of 764 km² and contains 65,275 people.

View More On Wikipedia.org
 1. J

  #COVID19 Namna Walimu na Wanafunzi wanavyoweza kujiweka salama dhidi ya Covid-19 katika mazingira ya shuleni

  Wanafunzi na Walimu wanapaswa kupata elimu ya kina kuhusu chanzo, dalili, athari na namna ya kujilinda na #coronavirus. Walimu wajisimamie na wawasimamie Wanafunzi katika kuchukua tahadhari zote za kujilinda kama vile kusimamia usafi mikono kwa wanafunzi, kudhibiti miosongamano na kuzuia...
 2. mama D

  Bodaboda sio salama kwa watoto wetu wadogo - Mzazi mjali mwanao, ukimpeleka shule mbali mlipie schoolbus au mpeleke na kumchua mwenyewe

  Pamoja na wazazi wengi kuwasajili watoto wao shule za mbali na wanakoishi ili sababu ya ubora wa hizo shule ukweli ni kwamba wamekua wakiwatesa sana watoto wao. Fikiria mtoto wa Dar es salaam anaishi pugu, gongo lamboto, kibamba, mbagala, toangoma halafu anasoma bunge primary, diamond au...
 3. Bujibuji Simba Nyanaume

  Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

  NI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo. Last week nilihudhuria msiba wa mrembo mmoja aliyefariki kwenye Kona ya Target akielekea Juliana, alikuwa kwenye bodaboda. Sweet...
 4. Analogia Malenga

  #COVID19 Pfizer yathibitisha kuwa salama kwa watoto wa miaka 5 hadi 11

  Kampuni ya utengenezaji chanjo ya #COVID19 ya #Marekeni ya Pfizer imesema chanjo yake ni salama kwa watoto wa umri wa miaka 5 hadi 11 baada ya kuonesha ufanisi mkubwa katika majaribio Majaribio yalifanyika kwa watoto 2,268 wa umri wa miaka 5 hadi 11 ambapo dozi mbili ziligawiwa kwa kila mmoja...
 5. N

  Nini sababu ya mikoa ya Kusini kuwa salama sana kibinadamu?

  Nazungumzia Lindi na Mtwara haswa! 1. Kule husikii albino amechinjwa 2. Kule husikii wenye macho mekundu wameuawa kisa ni wachawi, 3. Kule husikii wenye upanja wamepigwa nondo ili zikatumike buchani 4. Kule husikii mtu amechunwa ngozi 5. Kule ni nadra kusikia wazazi, sijui mama, kutolewa...
 6. MWAG

  Story of Change Jamii Forums: Habari Katika Kurasa Salama

  Unajua nini kuna mitandao ya kijamii ukiifuatilia utacheka sana wakati mwingine inasikitisha kwasababu waandishi hawana tena uweledi yaani hawaandiki tena uhalisia wa maisha wanaandika kile bosi anataka hii ni hatari kwani kwani waandishi ndo watu pekee wanao weza kubadili uongo uonekane kweli...
 7. B

  Anayeishi "condemned cell" anaweza kuishi salama na aliye uraiani akatwaliwa. Mungu huyu ni fundi!

  Familia ya Mbowe imethibitisha kupitia ukarasa wa tweeter kwamba baba yao amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Tunaamini waliofanya haya hawataweza kumnyonga ila wanaweza kumweka kigungoni milele. Lakini aishivyo Mwenyenzi Mungu alimweka huyu Condem pia anaweza akatwaliwa katika...
 8. Sky Eclat

  Tusikusanye tu tozo, tufikirie pia jinsi ya kuwaboreshea maisha hasa makazi na maji safi na salama.

 9. M

  Vipi naweza kuagiza mzigo kupitia kampuni ya Alibaba mzigo ukafika salama?

  Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji kuagiza machine ya incubator hivyo kuna duka wanahitaji kuniuzia hiyo machine lipo China kupitia alibaba ebu nipeni uzoefu mliowahi kuagiza MZIGO nje ya nchi kupitia alibaba
 10. M

  Ashukuriwe Mungu mke wangu amejifungua salama salmini

  Ashukuriwe mungu! Mke wangu amejifungua salama salmini! Nawashukuru wote mlionipa support ya ushauri na maarifa kwenye uzi wangu nilioomba msaada wa fikra na ushauri juu ya kupita siku za kujifungua kwa mama mtoto wangu! Amefanikiwa kujifungua jana mtoto wa kiume! Bila upasuaji wowote...
 11. Zanzibar-ASP

  Balozi Mulamula usiwatishe mabalozi. Mahakama ni eneo la umma, huru na salama

  Siku ya jana nimemsikia Balozi Mulamula akitoa onyo na vitisho dhidi ya mabalozi, maafisa wa kidiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao na taasisi za kimataifa hapa Tanzania kuhusu hatua yao kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Balozi...
 12. Shujaa Mwendazake

  Kigaila: Inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya Mahakama na bado akawa salama

  "Amri ya Mahakama ni sheria lakini inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya mahakama na bado akawa salama. 5/08/2021 hakimu ametoa amri mwenyekiti awe analetwa mahakama ya Kisutu. Jana tarehe 13/08/2021 hakuletwa kwa sababu inayoelezwa na DPP gari la Magereza ilikuwa bovu." - Kigaila
 13. Fundi Madirisha

  #COVID19 Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

  Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
 14. M

  Nitakuwa salama na T-Shirt za Mbowe?

  Tukio la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh Freeman Mbowe na kushitakiwa kwa kosa la ugaidi limevuta hisia za watu wengi ndani na nje ya nchi. Suala hili limegusa pia hisia zangu hasa nikitafakari kwamba amekamatwa masaa machache tu kabla kuhudhuria kongamano la katiba. Kwa upande...
 15. Mwakitombeo

  Msaada wa kisheria: Mazingira anayolelewa mwanangu wa mwaka mmoja si salama nataka nimchukue

  Mwaka 2019 mwezi wa tano nilibahatika kuzaa na binti mmoja ambae nilimpenda sana ila tulikuja kushindwana baada ya kuwa na tabia za kiswahili na kuwa mtu wa starehe yale maisha yalinishinda tukatengana. Nikawa natoa huduma za mtoto kipindi yupo kwao kitu kilicho nifanya mpaka naandika uzi...
 16. GENTAMYCINE

  #COVID19 Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

  Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika. Kwa Ufafanuzi mzuri nilioupata kutoka kwa Mwanamama na Daktari Nguli Seche Malecela ( Mtoto wa Waziri Mkuu...
 17. Mathanzua

  #COVID19 Ex-Vice President wa Pfizer, Profesa Mike Yeadon: Chanjo za COVID- 19 si salama

  Profesa Mike Yeadon(clip ya mwisho) amekuwa katika biashara za kutengeneza chanjo maisha yake yote, na wakati anastaafu alikuwa ni Makamu wa Rais wa Kampuni ya Pfizer, moja ya makampuni mashuhuri yanayotengeneza chanjo ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na chanjo za Uviko-19. Kwa hiyo Mwanasayansi...
 18. MK254

  Duh! Babu wa Liliondo naye hajasazwa, apumzike salama mzee alitisha sana

  Poleni kwa kumpoteza huyu mzee ambaye alitikisa kote kwa kudai anaweza kutibu ugonjwa wa aina yoyote, hadi viongozi wakuu serikalini wakamiminika kwake kupokea kikombe chake.
 19. M

  #COVID19 Chanjo ya korona ni salama. Wazungu wangetaka kutuua wangetuua kwenye chanjo za surua, polio na pepopunda

  CHANJO YA KORONA NI SALAMA, UKIDHARAU YATAKUPATA MADHARA, TUSIAMINI UZUSHI, TUSIKILIZE WATAALAMU WA AFYA. WAZUNGU WANGETAKA KUTUUA WANGETUUA KWENYE CHANJO ZA SURUA,POLIO NA PEPOPUNDA. Ni siku ya jumapili tulivu, Mimi na mdogo wangu aitwae Maria tumekaa barazani tunapunga upepo mwanana. Ghafla...
 20. Zero IQ

  Namshukuru Mungu zoezi langu la kutoa pesa kwenye simu limeenda salama

  Hatimae leo nimefanikiwa kutoa pesa iliyokuwa kwenye simu yangu kwa Uchungu mkubwa. Kabla ya makato ya serikali nilikuwa na mazoea ya kuweka pesa yangu ya akiba kidogo kwenye simu na nyingine cash kwenye kibubu, siku moja kabla ya ongezeko nilitumiwa meseji kuhusu makato nilijua yatakuwa madogo...
Top Bottom