wasabato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TODAYS

    Wachungaji waliotumwa na Mungu, Kemeeni watu kama Huyu, anaharibu Waumini na Jamii

    Hii ni kauli ya dada mwimbaji wa siku nyingi aitwae Christina Shusho, "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. "Siku hizi hakuna...
  2. M

    Kanisa la wasabato ndio pekee linalofata neno Maana halisi ya Mke wa ujana wako. Ndoa zifungwe wote mkiwa wadogo

    Makanisa mengi ya wakristo leo hasa makubwa kama RC na KKKT mafundisho yao hayafundishi umuhimu wa ndoa kwa vijana wao. Wasabato ndio waliobaki kusisitiza hilo. Tazama picha za maharusi wao mume na mke wanavyokuwa wadogo Ndoa kama hii ni rahisi kujenga bond kubwa ya upendo maana mke na...
  3. Uzalendo wa Kitanzania

    Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili imeambatanishwa hapo juu. MZEE wa Kanisa la Waadventista Wasabato la Muheza Central, wilayani hapa mkoani Tanga, John Mdoe, amewafuturisha waumini wa dini ya Kiislamu. Mdoe kwa kushirikiana na familia yake, wametoa sadaka hiyo kwa zaidi ya Waislamu 100...
  4. F

    Roman Catholic, KKKT na makanisa mengine makubwa, Vijana wanaosali kanisani kwenu ni ngumu sana kupata Wachumba kanisani, igeni mfumo wa Wasabato SDA

    Binafsi ni msharika wa KKKT. nimebahatika kusali madhehebu mengi sana yakiwemo Roman Catholic, TAG,Anglican, SDA, KKKT na mengineyo. nimeenda kwa kualikwa na ndugu , jamaa na marafiki kusikiliza neno la Mungu . ukweli siku niliyosali kwa wasabato nimeona kitu tofauti sana katika ibada zao...
  5. bongo dili

    Wasabato majibu mnara wa freemason kwenye kaburi la nabii wenu Bi Hellen G White una maana Gani?

    Hili ni kaburi la Bi Hellen G White lina mnara wa Obelisk.Ukiona mnara wowote round about unamaanisha kiungo cha uzazi Cha kiume Cha Nimrodi. Nimrod mtoto wa haramu ndie aliyejenga mnara WA babel kisha Mungu akawachanganyia lugha wakasambaa duniani. Baada ya Nimrodi kuuwawa kwa kukatwa katwa...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Kanisa la Wasabato Mnapaswa Mkosoe maovu ya serikali zaidi kuliko kukosoa wenzenu wa Roman Catholic

    KANISA LA WASABATO MNAPASWA MKOSOE MAOVU YA SERIKALI ZAIDI KULIKO KUKOSOA WENZENU WA ROMAN CATHOLIC. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Mimi nimezaliwa kwenye Usabato, nimekua na kulelewa kwenye Usabato. Kimsingi Mimi ni Msabato ingawaje ni Mtibeli kiasili. Yaani tuseme ni Mtibeli aliyezaliwa...
  7. sky soldier

    Wayahudi na wasabato wanaendelea kuabudu sabato ya Jumamosi ambayo hata Yesu aliiabudu, ni nani aliibadili iwe Jumapili

    AMRI YA NNE: Ikumbuke siku ya Sabato uitakase, Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako Tusiingie sana kwenye hizi dini na sheria zao bali tuzungumzie siku ya kuabudu. Siku ya Jumamosi ndio iliyotengwa kuwa ya kisabato tangu zamani kwa...
  8. sky soldier

    Ni kwanini Wasabato wanakataza wanawake kufundisha ama kuwa wachungaji wakati wanatumia vitabu vya Hellen G White? Iweje nyama ikataliwe mchuzi unywe?

    Sababu ya kukataza. 1Timotheo 2:12 >> Simruhusu mwanamke yeyote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume (ibadani). Mwanamke anapaswa kukaa kimya. Wasabato hawaruhusu mwanamke kufundisha kanisani au kuwa mchungaji cha ajabu wanatumia mafundisho ya moja wa waanzilishi wa kanisa hilo Hellen...
  9. sky soldier

    Aibu kuona Wasabato wanaokataa nguruwe na pombe wamelegeza msimamo kuhusu kuchonga nywele/ndevu, kuvaa hereni na kusuka

    Ni moja ya kanisa linaloendelea kufuata sheria za agano la kale ikiwemo kuheshimu sheria zilizowekwa na Mungu kuhusu uchambuzi wake wanyama wa kula pamoja na kuendelea kuamini Pombe ni chukizo kwa Mungu, Siku yao ya kuabudu huanza ijumaa jioni hadi jumamosi kama ilivyo kwa wayahudi wanaoabudu...
  10. Mto Songwe

    Niwape maua yenu Wasabato, mnajua kuimba nyimbo za dini

    Kwanza kabisa mwanzo wa yote wacha niweke msimamo wangu kuwa mimi sio mtu wa dini yoyote(sina dini). Turudi kwenye dhumuni la uzi huu ambalo ni kuwapa pongezi zao Seventh Day Adventist(SDA) kwa namna ambavyo ni mafundi haswa wa kuimba nyimbo za dini mpaka mtu ana burudika haswa. Mimi ni mpenzi...
  11. Roving Journalist

    Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  12. KIXI

    Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

    Kumekuwa na mijadala mingi na mawazo mengi yenye kukinzana katika Tanzania kuhusiana na mafundisho ya Kanisa la Waadventista Wasabato. Hivyo niliamua kuchunguza misingi ya imani ya Kanisa hili ili kupata picha kamili ya mafundisho yao. Ilikuwa dhahiri kuwa imani ya Waadventista Wasabato ni dini...
  13. F

    Wasabato msiwe kama Wayahudi wanaomsubiri Kristo wakati alishakuja miaka zaidi ya 2000 iliyopita!

    Tunaishi kipindi baada ya unabii. Mambo yaliyotabiriwa kumhusu Yesu Kristo yalishatokea. Msione Kitabu cha Ufunuo kimewekwa cha mwisho katika mpangilio wa vitabu vya Biblia mnafikiri hayo ni mambo ya baadaye. Ni kama unabii wa Isaya au manabii wengine ulishatokea. Maono ya Yohana juu ya dunia...
  14. capitalpool

    Wasabato tumekuja tena!!

    Wa-adventista huwa tuna series ya mafundisho katika platform zetu tofautitofauti Ikiwemo YouTube, Hopechannel Tanzania Tv na radio. Tulianza na NYUMBANI HATIMAYE, UHURU HATIMAYE na sasa tuko na NYAYO ZA MATUMAINI. Napenda masomo haya na mpangilio wa hotuba hizi sababu hugusa changamoto za...
  15. M

    Mchungaji kanisa la Wasabato Kahama afukuzwa

    Palikuwa na habari humu kumhusu mchungaji wa kanisa la wasabato na ofisa wa Takukuru kahama: https://www.jamiiforums.com/threads/mchungaji-wa-kanisa-la-wasabato-kahama-na-familia-yake-wasoteshwa-rumande-kwa-kesi-ya-dawa-za-kulevya.2071776/ Habari mpya ni kwamba lengo la mtakukuru hatimaye...
  16. Prakatatumba abaabaabaa

    Wako wapi wale wasabato wa zamani?

    Nimetoka mkoa wa Mara-Tanzania, sehemu niliyokulia Mimi Kuna wasabato wengi kiasi, Pamoja na dhehebu la menonite ndio wamedominate huko. Kwenye familia yetu mzee wangu sio msabato, Lakini kaka zake na ndugu kiasi ni wasabato. (Mzee wangu alioa wanawake wawili) ni kama Hana tu dini. Nilipokua...
  17. M

    Mchungaji wa kanisa la Wasabato Kahama na familia yake wasoteshwa rumande kwa kesi ya dawa za kulevya

    Imekuwa dhuluma hadi kwa watumushi wa Mungu. Raia wema wakimbilie wapi? Katika hali ya kushangaza Mchungaji mmoja wa kanisa la wasabato wilayani Kahama na familia yake wamejikuta wakinyanyasika pasipokuwa na uhalali wowote kufikia kuswekwa ndani na kulala rumande. Kadhia hii imemkuta mchunga...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini madhehebu ya Mashahidi wa Jehova na Wasabato wanachukiwa sana na madhehebu mengine ya Kikristo na Uislamu?

    Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani. Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi. Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
  19. MamaSamia2025

    Kumbe wasabato (SDA) ni ruksa kusherehekea Christmas? Soma hapa alichosema mwasisi Mama Ellen G White

    JE! WASABATO HUSHEHEREKEA KRISMAS? RAIS WA SDA DUNIANI, PASTOR TED WILSON ANAJIBU. SWALI: Mchungaji Wilson, najiuliza ikiwa Wasabato husherehekea Krismasi? JIBU: "Kama kanisa, hatuna taarifa rasmi au msimamo kuhusu kusherehekea Krismasi, badala yake tunamwachia muumini mmoja mmoja. Lazima...
  20. NetMaster

    Wakristo wasio Wasabato wanaruhusiwa kula paka, panya, kobe, kinyonga, kenge, kunguru, nyani, n.k?

    Kwa kuwa sisi ni wakristo ni kwamba sisi tunafata nyayo za Yesu Kristo. Ni vipi kitu ambacho hakusema Yesu Kristo kinawekewa mabano ya kuweka uchambuzi wa maono ya waliotafsiri biblia? mbaya zaidi kuna biblia hata hayo mabano hayamo, uchambuzi umeunganishwa kuonekana ni maandiko matakatifu...
Back
Top Bottom