Habari za leo wadau kuna jambo mara nyingi nakutana nalo sijui kama wenzangu hili mmewahi kukutana nalo, kuna hizi form za matibabu NHIF unaenda hospitali unapata huduma kila gharama zinaandikwa kwenye form ukimaliza matibabu unaenda mapokezi kwa ajili ya kuchukua kadi yako ukifika pale...
Et Baba wa nyumba...
Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home.
Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu...
Tujadiliane,
Ufumbuzi wa ugumu wa kufundisha somo la hesabu Tanzania umeshindikana na kufanyika janga la taifa.
Nadhani warasimu waliokasimiwa jukumu la kuleta mfumo rafiki wa ufundishaji hesabu wamejipa dhima hiyo kwa kujihesabia haki ya uelewa wa somo hilo kuliko wengine ambao wangestahili...
Wanajamvi wasalaam.
Napitia report ya AFDB, IMF na World Bank hakika ni report zilizoshiba sana.
Report hizi kwa pamoja zimeangazia masuala mtambuka, waataalamu mahiri wa uchumi wamechambua kinagaubaga.
👉 Projection ya uchumi iko vizuri sana, uchumi unakuwa kwa kasi sana kuliko taifa lingine...
Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe
"Nikiangalia kopo langu la mkono,
lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda."
Tafakari ya babu...
"Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika darasa la hesabu. Mwalimu akamuuliza, "kwa nini wewe mjinga unajipaka mate? "mtoto akamjibu,"jana...
Haya Majiniasi (Akili Kubwa) wa JamiiForums hebu njooni mtupe Ujiniasi wenu katika hili Sisi Mangumbaru (Akili Ndogo) kwani wenye Akili Kubwa wanadai katika hili kuna mahala Tundu Lissu Kawatega lakini pia kuna Hesabu Kali mno inachezwa hapa ambayo ikikosewa tu Mzanzibari atadharaulika na hatoamini.
Nilisikia kupitia radio one leo asubuhi kuwa, takribani asilimia 70 ya watahiniwa wa kidato cha nne wamepata alama sifuri katika somo la Hesabu?
Kama ni kweli, nafikiri hakuna haja ya kutafuta Mchawi kwani tatizo liko wazi kabisa ambalo ni ukosefu wa waalimu wenye sifa ya kufundisha Hesabu...
Kumbuka pambano la Mandonga halikuwa pambano kuu, lilikuwa ni pambano la ufunguzi tu hivyo pesa aliyopewa inaweza isifikie hata iliyotajwa/
Pambano lilijaza nyomi ya wakenya zaidi ya elfu 6 waliojaza ukumbi wa KICC jijini Nairobi.
Kwa wale ambao hawakuweza kufika hasa wa Mombasa, Nakuru...
Waungwana habari za majukumu.
Naitwa Saidi natokea maeneo ya pugu wilaya ya ilala mtaa wa bombani mkoa wa Da es Salaam.
Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari aina ya Noah naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi huku wilaya ya Kisarawe.
Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo...
Hello!
Natafuta dereva wa bajaji mwenye uzoefu na bajaji vizuri.
Awe anaishi Dar na awe na leseni yake tayari. Mwenye tabia ya uaminifu. Anahitajika urgently apige namba 0757302961.
Nipo Kigamboni
Ngoja nikupe mifano ya hesabu inayoeleza faida za kutumia mfumo wa gesi kwenye gari yako.
1. Ukijaza gesi ya Tsh. 17,000 unaweza kusafiri kilomita zaidi ya 200.
Tsh. 17000 = Km. 200
? = Km. 1
Km. 1 = Tsh. 17000/200 = Tsh. 85
Kikawaida ukijaza lita moja ya petroli unaweza kusafiri kilomita...
Wanataka ionekane kama ambao walikimbia mapigano, sio kwamba waliuawa.
Wanatumia magari yenye tanuri ya moto wa kuchoma maiti hadi majivu
========
The Russian Ministry of Defence has been notoriously protective of data on the casualties suffered during Vladimir Putin's "special military...
Agosti 23, 2022 tunatarajia kuwa na zoezi la sensa ya watu na makazi. Zoezi muhimu katika mipango ya sera na maendeleo ya Taifa.
Hata hivyo mwaka huu tumeona matangazo yamekuwa mengi sana hadi inaleta maswali kama fedha za umma zimetukima ipasavyo. Uhamasishaji umekuwa mkubwa kama kuna mgomo...
Wasichana wengi hawawezi kubaki gizani kwa muda mrefu na wanataka kujua haraka iwezekanavyo wakati sherehe ya harusi iliyosubiriwa kwa muda mrefu itafanyika. Sayansi ya hesabu inaweza kusaidia na hili, ambayo inakuwezesha kujua tarehe ya harusi ya baadaye kwa tarehe ya kuzaliwa. Wasichana...
Utata umeibuka Kenya mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi! Hoja zilizoibuliwa mara baada ha kutangazwa matokeo ni asilimia zilizopatikana kwa kila mgombea kiasi ukijumlisha unapata 100.01% na sio 100%!
Kila mmoja anasema lake huko Kenya, wengine wanadai Error za kawaida wengine...
Mamlaka ya Bandari (TPA) imefanya upembuzi wa mifumo yake ili kushughulikia hoja za Mdhibiti wa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/21 ya kuwa mifumo inasomana na hivyo kudhibiti upotevu wa mapato.
Vilevile, imebainisha kuwa kipindi cha kuanzia Julai 2021 hadi Juni 2022...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.