maumivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je unatambua maumivu ya wengine? Je unajali?

    Yanapozidi moyoni inabidi kuyatoa hdharani.. Lakini katika kuyatoa hakikisha unakuwa makini kwakuwa mwisho wa siku inabidi ubaki kuwa wewe! Yatoe lakini kwa tahadhari kubwa kwakuwa privacy yako ni kubwa na ni muhimu kuliko changamoto unazopitia... Ili mwisho wa siku usibaki na majuto yasiyo na...
  2. Panctuality

    JamiiForums Tanzania Unapopatwa na huzuni, hasira, msongo wa mawazo AU maumivu ya moyo... Tulizo lako ni nini?

    Kila mmoja wetu hupitia nyakati ngumu. Wapo wanaopoteza wapendwa wao, hukatishwa tamaa, husalitiwa, hukosa kazi, hupitia matatizo ya kifamilia au ya kifedha. Wakati huo, kila mtu hutafuta njia yake ya kupata utulivu. Wengine husali na kumtegemea Mungu. Wengine husoma vitabu, husikiliza muziki...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania NJIA PEKEE iliyobakia kwa Tundu Lissu KUFIKISHA TAARIFA za maumivu anayopitia ukonga ni NJIA ya kanisa katoliki, je Padri unae msalishaga.

    Moja ya changamoto iliyo ndani ya kanisa katoliki ni kitendo cha sisi waumini kwenda kanisani kusali na baada ya Ibada wale waumini utawanyika na kurudi majumbani mwao. Hali hii ni tofauti sana mathalani kwa WENZETU makanisa ya kilokole wao viongozi wao uwasikiliza waumini wao. Mfano mtu kama...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Zanzibar 2001: Historia ya Maumivu

    👉 Matukio ya vurugu yaliyotokea Zanzibar baada ya uchaguzi wa mwaka 2000 ni miongoni mwa matukio yaliyoacha maumivu makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Mgogoro huo ulitokana na mvutano mkubwa wa kisiasa ulioibuka baada ya matokeo ya uchaguzi kupingwa na baadhi ya wadau wa kisiasa...
  5. monotheist

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuondoa maumivu ya meno na fizi

    Ninasumbuliwa na maumivu makali ya meno na fizi ila sina jino lolote lililotoboka wala kukatika maumivu hasa muda wa usiku nashindwa kulala ni makali mno maumivu yanaenda hadi kichani na kweye midomo ya juu na chini kama nimepakwa pilipili Je hili tatizo linatibika kwa dawa gani msaada wa...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mtu anakumbuka kosa alilofanyiwa miaka 20 iliyopita sababu mzazi hakumuomba msamaha!

    Kuna namna wazazi huwaona watoto kama hivi hawana hisia au wanaweza kuachilia vitu kirahisi kiasi kwamba anaweza kumfanyia kitu ambacho kitamuumiza na yeye atakibrush tu na kuendelea na maisha yake kama kawaida au hata kama akikubali kosa inakuwa ni ile ya ilimradi. Unakuta umekula mkong'oto...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msichana, kubali kuwa wewe ni M-TAMISEMI, itakupunguzia maumivu kidogo

    Msichana Kubali Tu 😅 Afu weka Mikakati Yako Sawa 🥂 Mtaani kuna mengi yanazungumzwa kuhusu Watumishi wa Umma hasa hawa ndugu zetu wa Ajira Mpya ambao kila siku tunawaona wakilia kuhusu mazingira ya kazi na wengine wakiwemo wale wa Fedha za Kujikimu. Huyu dada Missywear amepost hii kitu huko...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Leo Kidonda Kinatoneshwa. Maumivu ya MO29 yanaanza upya

    Leo Chande atatukumbusha wapendwa wetu waliouawa na polisi kwa kupigwa risasi za kichwa. Leo tutakumbushwa yule mama wa Arusha aliyepigwa risasi ya mgongo akiwa na mimba ya miezi mitatu. Leo tutakumbushwa wale vijana wa Mwanza waliokuwa wanaangalia mpira wakatolewa nje wote wakapigwa risasi...
  9. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Malezi: Tunarithishana maumivu

    Kuna kitu nime witness Leo kwenye daladala, Kuna mama sjui bibi! Alikua na mtoto mdogo, very innocent.. inaonekana kabisa hakua mama yake, yule mtoto hakua comfortable, alikua anaumwa jino (nilikuja kugundua baadae!) So kwanza dogo, dogo kawekwa pembeni, siti ya kukaa watu wawili yule mama...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya mapenzi

    Uliacha au uliachwa? Kwanini? Mliachana? Kwa vurugu au kimyakimya? Uliachwa na faida au na hasara? Mlijaribu kurudiana? Mliweza?
  11. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kweli, na ukweli juu ya kuyaishi maumivu

    Salaam jamiiforum. Mwanaume unataka raha? Mwanaume unadeka? Mwanaume unasound kike kabisa,na ukipewa zawadi unalia,yaani kuna mshipa wa hisia unaokuteka na kuuharibu uanaume wako? Hii si sawa,Leo ni siku ya mwisho wa Mwezi wa tatu mwaka 2026. Karne ya 21 uliyobeba taswira nyingine ya...
  12. G

    JamiiForums Tanzania KERO Ukimya wa Idara ya Uhamiaji dhidi ya maumivu makali ya Wananchi Wanaosubiri Pasipoti

    Karibu miezi mitatu sasa imepita tangu niwasilishe maombi ya pasipoti, lakini hadi leo (Machi 2026) sijapatiwa huduma hiyo kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Kila ninapofuatilia naambiwa kuwa ‘mfumo unaboreshwa.’ Swali ni: Maboresho haya yana mwisho lini, na kwa nini hakuna taarifa rasmi, ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yatosha sasa, maumivu unayopata hukustahili, Acha watanzania wakinywee kikombe chao!

    Naanza kuona ujinga mkubwa sana kupigania maiti ambayo haijitambui Mh Lissu, wewe ni shujaa sana tena sana na mpaka sasa hakuna binadamu yeyote Tanzania tangu nchi yetu kujipatia uhuru wake atakayefananishwa na wewe Ila leo nimeamka vibaya, nimeamka nikiwa na huzuni kubwa kukuhusu, unaumia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mnasema mapenzi yanauma? Hivi umewahi poteza pesa ya mkopo ukaona maumivu yake?

    Kuna watu utawasikia Oooo Mapenzi yanauma hakuna mfano wake, mara ukiachwa mapenzi yauma usiku, wewe wewe Kijana mwenzangu hivi ushawahi poteza pesa ambayo umetoka kuikopa utatue changamoto zinazokukabili, ukajua namna maumivu huwa? Kama bado usiombe likukute maana maumivu yake unaweza hisi...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maumivu yasiyosemwa

    Marafiki wamekutenda huwaamini tena! Mpenzi kakusaliti ila huwezi kumuacha.. Unakumbuka mengi mlikotoka na mlipo.. Changamoto mlizopitia na nyakati za furaha mlizomosiana Inaumiza sana! Huna wa kumuamini tena.. Huna wa kuongea naye Unabaki na maumivu mengi ..Unatafakari future unawaangalia...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Sauti, Maumivu na Machozi ya Haki

    Ee Mungu wa Haki na Amani ya kweli. Tunakupigia magoti. Ninakupigia magoti. Ninasujudu mbele yako ewe Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo. Ewe mwenye mamlaka pekee ya kutoa na kutwaa uhai wa mwanadamu uliemuumba. Taifa letu limepitia maumivu makali yasiyoisha wala kusahaulika katika uso...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba nje ya maslahi, biashara na mishahara hivi wanaipenda timu, sio kwa maumivu haya tunayopitia mashabiki

    Timu imeridhika na hali iliyopo hatuoni uwajibikaji Viongozi wanavujisha hadi taarifa za ndani kwa watani Viongozi wamengangania madaaka hawataki kuachia wenye uwezo wachukue nafasi Timu inapokea kipigo cha sita mfululizo viongozi wanachukulia poa tu Timu inaendeshwa kwa email badala ya...
  18. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Je unasumbuliwa na maumivu ya mgongo, kichwa na nyonga?

  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Liverpool na Manchester City Mtauanza Mwaka Mpya kwa Maumivu Makali

    Man City leo hamtoki kwa Sunderland na Liverpool mtashangazwa na Leeds United hapo Anfield. Mtamjua Calvert Lewin ni nani leo?
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 muhimu ya kuzungumza kabla ya ndoa ili kuepuka maumivu baadae

    Kabla ya Ndoa, haya ni mambo muhimu sana mnayopaswa kuyazungumza ili kuepuka maumivu na kuvunjika moyo baadaye: 1. Fedha - Tutazisimamiaje? Pamoja au kila mmoja kivyake? Nani ataweka akiba, nani atatumia, na tufanye nini mambo yakibana? 2. Watoto - Je, tunataka watoto? Wangapi? Na ni maadili...
Back
Top Bottom