kkkt

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Hili la Kanisa la KKKT kuwa na wachungaji na maaskofu wanawake ni chukizo

    Hivi wanatumia maandiko gani kuruhusu wanawake wanao vuja damu kila mwisho wa mwezi kusimama mimbalini kama wachungaji au maaskofu? Ili hali Biblia nzima inakataza mwanamke kuwa kuhani. Haya ni machukizo,ndio mana hili kanisa haliishi migogoro na uchawa.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa kuendelea na Prof. Faustine Mahali km VC ni kuiangamiza na kufutwa Chuo Kikuu Makumira

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna vyuo vikuu vya hovyo km vinavyomilikiwa na KKKT.

    Kanisa KKKT lina vyuo vikuu kadhaa hapa nchini, hili kanisa limejengwa ktk msingi wa ubinafsi uliopitiliza. Walianza na Tumaini University iliyokuwa Iringa, sasa hivi wameiita Iringa University, huwezi kuta neno Tumaini kwasababu askofu wa Iringa anaona km taasisi yake na ya wahehe. Tumaini...
  4. Huihui2

    JamiiForums Tanzania KKKT Loliondo wasalia nje kisa hawamtaki Mchungaji aliyeletwa na Askofu

    Mgogoro unaendelea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Loliondo, Jimbo la Maasai Kaskazini, umeingia katika hatua mpya baada ya waumini kuendelea kufanya ibada nje ya jengo la kanisa kwa zaidi ya wiki nane, wakipinga kuondolewa kwa mchungaji wao, Hery Johannes...
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa ameigeuza KKKT kuwa jumuiya ya CCM

    Inasikitisha na inahudhunisha sana Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), ndugu Alex Malasusa, ameligeuza kanisa hili pendwa kuwa kama jumuiya ya CCM. Wakati alipokuwa kwenye nafasi ya uaskofu mkuu kwa mara ya kwanza, Askofu huyu ambaye ni kada maarufu wa CCM...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania KKKT Msikubali CCM iwageuze BAKWATA

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) ni chombo kinachosimamia maslahi ya waislamu Tanzania lakini lisilokubalika na baadhi ya kizazi kipya cha waislamu. Vijana wengi wa kiislamu hulishutumu Baraza hilo kutumiwa kisiasa kufanikisha maslahi ya CCM. Miaka ya hivi Karibuni BAKWATA walibadili...
  7. polokwane

    JamiiForums Tanzania KKKT imekuwa lango wa Serikali kujisafisha, kanisa limepoteza mwelekeo wake wa kiimani

    Kwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali ijisafishie kwenye kanisa hili, hii ni dhambi kwa kanisa na ni dhihaka kwa waumini, Kanisa halijawahi...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania KKKT mnatuangusha waumini wenu

    1. KKKT huwambii kitu, wao wamehaidiwa kuwa Rais awamu ya 7 atakuwa mKKKT, wao hawakemei mauaji, ufisadi wala wizi wa uchaguzi 2. Kanisa langu KKKT hamjawahi kukemea mauaji ya 29 oktoba 3. Kanisa langu KKKT hamjawahi kukemea utekaji na mauaji ya Watanganyika, nyie mnaona sawa? 4. Kanisa langu...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Walioua na waliouawa si Walutheri tu. Hata waliofanya maamuzi ya kuua siamini kama ni Walutheri

    Tafadhali tuliza akili unaposoma makala hii. 1. Kuna mjadala unaendelea kuhusu dini zetu na sasa KKKT inatuhumiwa sana. Kanisa linahusishwa na siasa za urais, kulambishwa asali na misimamo ya watu binafsi lakini Walutheri inaelekea kutumiwa ili kupata upenyo wa kulikashifu kanisa zima. Tunavuka...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Catholic na KKKT kuna sheria nyingi, zote zinamdhibiti maskini. Tumeona matajiri wenye wake 2 , matajiri wasiohudhuria misa lakini sheria haziwaoni

    Si vyema kutaja majina ya matajiri, au wanasiasa waliosigina Sheria za kanisa lakini walupokufa kanisa likawaheshimu na kuzikwa kwa hadhi ya juu. Yes, mtu akifa, amekufa tu hata akitupwa baharini, achomwe moto au azikwe na nani haisaidii kitu ila walioachwa ndio hupokea heshima au fedheha...
  11. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Hivi KKKT na Serikali hii Ndoa yenu imeanza lini

    Nawasalimu kwa Jina Bwana Wetu Yesu Kristo . Hiyo ni salamu kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania. Nawauliza VIONGOZI WA KKKT hasa Malasusa na Serikali ndoa yenu imeanza lini ??? Tenaaa au toka Malasusa Aingie ndio mkafunga ndoa kabisaa . Mimi siungi mkono kabisa . Na nawaambia...
  12. curie

    JamiiForums Tanzania Viongozi vya Serikali kukimbilia kwenye Mimbali za KKKT kuna nini?

    Nimeshuhudia Viongozi vya Katoliki wakikimbilia kwenye mimbali za KKKT krismas hii huko Roma kumekuwa kugumu awamu hii. Muwe na krismas njema
  13. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa KKKT Dr Malasusa (PhD) anastahili pongezi kwa uzalendo

    Mhashamu Dr Askofu Mkuu KKKT Alex Malasusa (PhD) . Pongezi kwa kupambania Tanzania na Kanisa lako
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima na taadhima nawaita BAKWATA, TEC, KKKT, Wasabato, Manabii, Waanglikana na masheikh tujadili hotuba hii ya Mwalimu Nyerere

    Nawaomba sana ndugu zangu tusikilize hotuba hii kwa makini ili tuweze kujadiliana vizuri.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Katika haya madhehebu makubwa RC pekee wameoesha kuuishi ukristo kwa vitendo, KKKT ni wanafiki wakubwa,ANGLICAN na wengineo wanafiki pia

    Nimefuatilia kwa makini haya madhehebu ya dini nimebaini kumbe roman Catholic ndio haswaa wanao uishi ukristo kwa vitendo hawa sio wanafiki wanasimama na kweli daima nadhan hawa ni wakuwafuata pasi na shaka, hawa wamesimama na wananchi kabisa na huo ndio ukristo safi Nimewadharau sana KKKT...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 KKKT: Tumehuzunishwa na kusikitishwa na matukio yalitokea Oktoba 29 yaliyokosa UTU, HESHIMA na TAMANI ya binadamu

    Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake. Palitokea vurugu zilizababisha upotevu wa maisha, ulemavu na uharibifu wa mali za umma na binafsi...
  17. President of China

    JamiiForums Tanzania Ibada ya jumapili 16 November 2025 KKT- dmp usharika wa Kimara

    Hakika leo tutamuona Bwana. Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu https://www.youtube.com/live/ZwoR6G-ES4A?si=KkuSya7M3fCqZb_-
  18. Crimea

    JamiiForums Tanzania Wa KKKT wengi wana kinyongo na Malasusa wanatamani kuhamia RC

    Kiukweli inashangaza sana mkuu wa Kanisa upo kimya. Kama haitoshi ijumaa iliyopita watumishi wote wa madhababuni waliitwa pale msasani wakapigwa beat kwamba hawatakiwi kuongea lolote juu ya huu uchaguzi mbele ya waumini wao vinginevyo atakaesubutu anafukuzwa. Aliwambia hata akitokea mtu...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimaro KKKT Kijitonyama: Polisi hawajatoka ardhini kuzimu. Ni ndugu zetu

    Wakuu, Akizungumza Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa Jeshi La Polisi sio mazimwi yaliyotoka ardhini na kwamba ni watu wazuri ambazo ni ndugu zetu Jeshi la Polisi sio...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama: Hakikisha Uchaguzi wa mwaka huu unakuacha bila ngeu. Usibaki na ulemavu au kesi mahakamani kisa Uchaguzi

    Wakuu, Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa vijana wahakikishe kwamba Uchaguzi wa mwaka huu hauwaachi wakiwa walemavu au wakiwa na kesi mahakamani Hakikisha Uchaguzi wa...
Back
Top Bottom