kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Kocha Gaborone; Yanga ndio yenye presha zaidi

    Kocha wa Timu ya Gaborone United ya Botswana, Sean Connor amesema kikosi chake kimejipanga kwa nidhamu, umakini na mbinu kuhakikisha kinapata matokeo dhidi ya Young Africans, akieleza kuwa wamebaini maeneo ambayo wanaweza kuyatumia kuisumbua Yanga katika mchezo huo. Amesema Yanga ilionyesha...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ally kamwe athibitisha kocha wetu ni mpiga miti,je wachezaji wa timu yetu Utopolo F.C. wapo salama kweli?

    Nikikumbuka sakata la Ramadhani Kabwili picha inanijia kichwani kuwa huenda kweli kuna kiongozi wetu na baadhi ya wachezaji walikuwa wanamgagadua kipa wetu. Nikiangalia vishundu vya akina Azizi funguo,Sheketure,bacca,nondo,chuga boy jinsi vilivyobinuka Sina shaka kocha wetu mpiga miti...
  3. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania TRA United yamfuta kazi kocha mkuu Ndayiragije

    Klabu ya TRA United imetangaza kusitisha mkataba na Kocha Mkuu, Etienne Ndayiragije, kwa makubaliano ya pande zote mbili. Uamuzi huo umefikiwa baada ya timu hiyo kuanza vibaya msimu wa 2026/2027 wa Ligi Kuu ya NBC, ikiwa haijapata ushindi katika michezo yake mitano ya mwanzo. Katika michezo...
  4. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Yaya Toure aandika historia, kocha wa kwanza mwafrika kuipeleka timu Ligi ya Mabingwa Ulaya

    Nyota wa Zamani wa Soka Africa, Yaya Toure ameweka rekodi ya kipekee baada ya kuwa kocha wa kwanza Mwafrika kuifikisha timu katika hatua ya ligi ya UEFA Champions League, bila kufungwa hata mchezo mmoja katika safari hiyo ya kufuzu. Timu yake ya Slovan Bratislava imepita kwenye michezo kadhaa...
  5. Huihui2

    JamiiForums Tanzania EFM Radio: Kocha anayelawiti na kulawitiwa na vijana achukuliwe hatua

    Nilileta uzi humu kuhusu malalamiko ya huyu kocha lakini MODS waliufuta kwa madai ya kuwa kijana aliymtuhumu kocha amekiri kusema uwongo. Leo EFM wamejadili suala hili, na hapa nawaletea link msome wenyewe: https://www.instagram.com/reel/DcfmfofMFS_/?igsi=NjA1c2lkYnljN3gw
  6. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Patrick Vieira Atekuliwa Kuwa Kocha Mkuu Mpya wa Senegal

    Shirikisho la Soka nchini Senegal limemtaza rasmi gwiji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Patrick Vieira, kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya nchi hiyo (‘Lions of Teranga’). Vieira, ambaye alikuwa sehemu ya kikosi cha Ufaransa kilichotwaa Kombe la Dunia mwaka 1998...
  7. Foffana

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga akiendelea kutumia mawinga wake hivi msimu huu hatoboi

    Kocha wa Yanga anazingua sana pamoja na Mawinga wake Zakuoani na Kangwanda Hao Mawinga ni talented sana ila sometimes vichwani mwao sijui huwa wanawaza nini Winga hatari zote duniani kwa sasa na mawinga wenye akili wote kwa sasa wanacheza kama Inverted wingers washatoka kwenye traditional...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania The class is big but English is the problem. Kocha wa Yanga amewachana live waandishi wetu, wana maswali lakini hawamuulizi.

    Kiingereza ni lugha yetu rasmi ya Taifa, kwanini waandishi mnashindwa kuitumia kwenye kazi zenu? Tanzania hatuhitaji mkalimani wa kiingereza kwakuwa English inafundishwa kuanzia chekechea, shule za msingi, sekondari hadi vyuoni, kwanini hamjui kuiongea? Wewe mwandishi wa habari bila shaka...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujio wa kocha Ben Lee waipa Tanzania fursa ya kipekee ya kuinua mchezo wa uogeleaji

    Tanzania imepiga hatua nyingine katika juhudi za kuendeleza mchezo wa uogeleaji kufuatia kuwasili kwa kocha wa kimataifa, Ben Lee, ambaye atatoa mafunzo ya kiwango cha kimataifa kwa waogeleaji, makocha na wazazi kupitia programu maalumu iliyoandaliwa na Monti International School. Ujio wa Ben...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kocha Julio awatukana waandishi wa Crown Fm kipindi kikiwa live asubuhi hii

    Baada ya Kocha Jamhuri Kihwelo Julio kufutwa kazi jana na klabu yake ya Mashujaa Fc leo Crown Fm wakaamua kumpigia simu. Juma Ayo akapiga simu, akakutana na matusi live bila chenga. Julio akawaambia nyie Crown Fm nawachukia sana maana hapo kuna waandishi was*nge sana, Ikabidi Crown Fm wa-...
  11. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Yanga tusifanye makosa kwa kocha tena huyu kocha mrudisheni

    I salute you kinsmen Nilikuwa kimya kwa muda mrefu maana niliona wazi dalili kwetu si nzuri sana Kimsingi msimu huu ilitakiwa tubebe yote tena lakini kwa kuwa kuna sehemu tangu mwanzo tulishabugi basi ikawa kusubiri kudra tu. Tulikosea kwenye usajili huo ndio ukweli kabisa. Walioingia...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Xabi Alonso atangazwa kuwa kocha mpya wa Chelsea FC

    Chelsea Football Club is delighted to announce the appointment of Xabi Alonso as Manager of the men’s team. The Spaniard will begin his role on July 1, 2026, having agreed a four‑year contract at Stamford Bridge. One of the most respected figures in the modern game, Alonso arrives at Chelsea...
  13. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Xabi Alonso kuwa Kocha mpya Wa Chelsea

    Chelsea wamefikia makubaliano ya kumsajili Xabi Alonso kama kocha wao mpya Je ni Chaguo Sahihi!? Xabi Alonso ni kocha bora sana kimkakati, na baadhi ya watu wanasema angepaswa kusubiri kazi bora zaidi. Lakini kivutio kikubwa kwake hapa ni kwamba pia anataka kuwa na mamlaka makubwa badala ya...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves

    Young Africans Sports Club (Yanga) imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves. Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Mei 6, 2026, uongozi wa klabu hiyo umeeleza umechukua uamuzi huo kama sehemu ya mabadiliko ndani ya timu, bila kueleza sababu za kina...
  15. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Austin Pillado - Kocha bingwa wa michezo ya uogeleaji atua Dar, kuweka kambi ya siku 10

    HATIMAYE Kocha maarufu kutoka Marekani, Austin Pillado ambaye pia ni Naibu Kocha Mkuu wa timu ya kuogelea kutoka Chuo Washington State, ametua nchini jana Jumapili kwa ajili ya kuendesha kambi maalumu ya mafunzo ya kuogelea kwa muda wa siku 10. Kambi hiyo inayofanyika jijini Dar es Salaam...
  16. Da Dona

    JamiiForums Tanzania Chelsea yamtimua Kocha Liam Rosenior baada ya mfululizo wa matokeo mabovu

    Klabu ya Chelsea FC imemfuta kazi kocha wake mkuu, Liam Rosenior, kufuatia mwenendo mbaya wa matokeo ndani ya klabu hiyo. Uamuzi huo umechukuliwa leo Jumatano Aprili 22, 2026 baada ya Chelsea kupoteza michezo mitano mfululizo ya ligi bila kufunga hata bao moja, hali iliyozua shinikizo kubwa...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupigwa 6-0 na Yanga, Mbeya City yamtimua na Kocha Mexime na Wasaidizi wake

    Mbeya City FC imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kusitisha mkataba wa Kocha Mecky Maxime pamoja na wasaidizi wake ambao ni Kocha Msaidizi Nizar Khalfa na Kocha wa utimamu wa mwili Francis Mkanula. Tunatambua na kuthamini jitihada walizofanya katika kuboresha utendaji wa timu yetu na...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kocha wa Yanga hana sifa atafutwe kocha mwingine

    Amekosa mbinu za ushindi, Yanga haikabi wala haina kasi kama zamani Nashauri atafutwe Kocha mwingine haraka i ukweli hana uwezo kuivusha timu na ni Muda muafaka aachwe
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gary Neville aiambia Man United iajiri kocha mpya mwenye uzoefu kuliko Michael Carrick

    Gary Neville has urged Manchester United not to appoint Michael Carrick as their permanent manager at the end of this season, insisting that they should go for the candidate with the best C.V. instead. Carrick took over as head coach when Ruben Amorim was sacked in January on a contract that...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Kumbe kocha wetu ana kamdomo buana 🤣

    Chelsea’s manager, Liam Rosenior, says he should already be considered among the top five Premier League managers of all time.
Back
Top Bottom