• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

bandari

  1. B

    Gati za bandari na miundombinu Ziwa Victoria kumezwa na maji kutokana na mvua zinazonyesha nchini

    February 10, 2020 Mwanza, Tanzania Kufuatia mvua kubwa zinazonyesha Afrika Mashariki na Kati pia nchi za Maziwa Makuu kina cha maji ziwa Victoria kinazidi na kusababisha miundo mbinu kama gati za bandari katika ziwa Victoria kumezwa na maji. Upande wa Tanzania Kuna miradi mingi ya bandari...
  2. elivina shambuni

    TPA yafanya upembuzi bandari za Ziwa Nyasa

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari (TPA), imesema inafanya upembuzi yakinifu katika bandari zote za Ziwa Nyasa unaolenga kuboresha miundombinu na kuimarisha shughuli za kibiashara katika ziwa a waandishi wa habari katika Bandari ya Kiwira iliyopo wilayani Kyela mkoani Mbeya. Alisema wameamua...
  3. J

    Mtaalamu: Siyo kweli bandari ya Dar haiwezi kupokea meli inayobeba makontena 50,000. Kwanza meli hiyo haipo duniani

    Mtaalamu wa mambo ya meli na bandari amesema siyo kweli kwamba bandari ya Dsm ina uwezo wa kupokea meli kubwa yenye uwezo wa kubeba makontena 50,000 kwa mara moja. Mtaalamu huyo aitwaye Julius amemweleza mtangazaji Aloyce Nyanda aka Mtozi wa kipindi cha Ajenda 2020 kwamba taarifa hizo siyo...
  4. MSAGA SUMU

    Bandari ya Dar iko bizee balaa meli ni nyingi nyingi

    Ukipita maeneo ya lango kuu la nchi yetu maeneo ya bandari hali sio hali, yaani ni shughuli mwanzo mwisho pamoja na mamlaka husika kufanya kazi usiku na mchana, meli ni nyingi hakuna mfano,yaani bandari yetu iko bize balaa, chombo kinaingia, huku kuna kingine kinatoka kingine kinapakia mzigo...
  5. M

    Waziri wa Elimu tunaomba uingilie kati vyeti vyetu Chuo cha Bandari, Tandika

    Tulimaliza Chuo tangu Nov, 2017. Ilipofika June 2018 Vyeti vikagawiwa kwa Wahitimu wote, lakini katika Vyeti vile kulikuwa na makosa ya kukosewa majina baadhi ya Wahitimu, tukaambiwa na Mkuu wa Chuo kuwa wote ambao majina yetu yalikosewa yatupasa tujiorodheshe baada ya miezi mitatu tukachukue...
  6. cheusimangala_

    Bandari za Tanzania bado zitabaki kuwa suluhisho kwa waagizaji wa mafuta Afrika

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (Tanzania Ports Authority) ni shirika la umma linalofanya kazi zake chini ya Wizara ya Miundombinu. Na ina jukumu zima la kuongoza na kuendesha bandari za bahari na maziwa ya nchini Tanzania. Mamlaka hiyo ipo mjini Dar es Salaam na ni bandari mwanachama wa Jumuia...
  7. diana chumbikino

    Shehena za mizigo zinavyozidi kumiminika bandari Mtwara

  8. elivina shambuni

    Rais Magufuli akutana na viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika

    viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao wanahudhuria mkutano wa 58 unaofanyika hapa nchini kwa siku 5 ukiwakutanisha wajumbe kutoka nchi wanachama 49 na mashirika mbalimbali. Viongozi wa AALCO waliokutana na Mhe. Rais Magufuli ni Rais wa AALCO...
  9. elivina shambuni

    Bandari Dar kupokea na kufungua gati namba tatu baada ya siku 10 kuanzia sasa

    kupokea na kufungua gati namba tatu baada ya siku 10 kuanzia sasa. Gati hilo ni sehemu ya magati saba yanayojengwa katika bandari hiyo na yanayotarajiwa kufunguliwa na mamlaka hiyo na hivyo kuwezesha kuhudumia tani za mizigo milioni 25 kutoka milioni 16.2 inayohudumia sasa kwa mwaka. Gati hizo...
  10. K

    Adui mwingine Mkuu wa maendeleo ya Biashara nchini Tanzania ni huyu hapa

    Utangulizi Heko Mpendwa wetu Daktari JPM, Huu ni mchango wangu kwa Taifa langu, ambao ni imani yangu kuwa nautoa kwa muda mahususi na kwa Mtu mahususi aliyeteuliwa na Mungu kulivusha Taifa lake la Tanzania kutoka katika maisha ya ufukara, udhalili, utapeli wa kisiasa na kiuchumi na unyongwaji...
  11. Kaka Pekee

    Msaada: Ushuru wa Bandari ni kiasi gani?

    Habari, Kwa utashi, uzoefu, ujuzi na hekima zenu tafadhali naomba kufahamishwa taratibu na gharama za Ushuru wa Bandari wakati wa kutoa gari kwa Port ya Dar Es Salaam. Nimejipigapiga na kuagiza kagari toka Japan ambako gharama yake ya Ushuru wa TRA kwa mujibu wa TRA Calculator ni kama 4Million...
Top