Haya bhana… nimekata tamaa kidogo. 😅
Kuna muda unafika unaona umejaribu kila upande, umefikiria kila njia, lakini bado mambo yamekaa kimya.
Kwa sasa sina cha kujifanya. Nimechoka, nimebanwa, na nimekata tamaa kwa kiasi chake. Lakini pamoja na yote hayo, bado naamini kuna jambo moja ambalo...