GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,681
- 109,092
Nchi ya Urusi imepanga kuzuia meli kubwa zinazobeba ngano inayotumiwa na nchi nyingi duniani (hasa Bara la Afrika) kutokea Ukraine ambako inalimwa kwa wingi.
Sasa GENTAMYCINE nasema jifanyeni hamjui matumizi na umuhimu wa unga wa ngano kwa sisi masikini (Tanzania) ikiwemo.
Nchi ya India imepanga kuzuia wakulima wake wakubwa wa mchele wake mzuri na mweupe unaopendwa Ulimwenguni Kuutoa nje ya Taifa baada ya Kukwazwa na Upumbavu unaoendelea kwa mataifa matajiri kuyaonea yale masikini.
Na hapa pia GENTAMYCINE nasema jifanyeni hamjui umuhimu wa mchele wakati bila ya unafiki Watanzania 90% wanapenda kula ubeche (wali) na siyo ugali ambao GENTAMYCINE sichoki na siuchoki kuula kila siku hasa nikiwa na mboga yangu ya kichuri, nyama, samaki au dagaa wa Ziwa Victoria.
Ya Mwarabu na Mama waachieni wenyewe kwani hata mhangaike nalo Mwarabu ameshawashiwa taa ya kijani na imeisha hiyo.