Habari wadau!
Mpaka sasa, tumesikia na kusoma mengi kuhusu hii mechi ambayo haikuchezwa baada ya Bodi ya ligi kuiahirisha huku Yanga wakifika uwanjani na Simba kutofika kama walivyokuwa wamepanga.
Je, ni kweli jambo hili sssa liko huko CAS kwa ajili ya usuluhishi na maamuzi?
Na kama kweli...
Kwa kweli hii nchi tulikuwa tunaongoWa na mshamba kweli kweli. Maendeleo kidogo tu tena almost negligible kelele wiki nzima na kuita vyombo vya habari ili kusifu
Mbona jk alikuwa anaajiri almost walimu na madaktari wote nchima lakini hatukusikia mayowe na mapambo
Mbona samia anafanya mambo...
Kama Simba Sc itaingia uwanjani kwa Game plan ya kujihami mwanzo mwisho simply ipo ugenini itaaibika..
Hii Game plan iliwa-cost Simba dhidi ya Constatine kule Algeria..
Ile mechi Simba sc haikustahili kufungwa..ulikuwa ni uzembe.Laiti Simba angekuwa na wazoefu wake wa zamani angeshinda.
Mambo...
Baada ya mapumziko ya muda katika michezo ya ngazi ya klabu katika mataifa mengi hasa upande wa Ligi Kuu, Ligi Kuu ya England inatarajiwa kuendelea leo Jumanne Aprili 1, 2025 kwa mechi tatu kupigwa
Timu ya Arsenal ambayo bado inapambania ubingwa ipo nyumbani ikiikaribisha Fulham, Wolves nayo...
Maroketi matatu kutoka Lebanon yamerushwa uwelekeo wa Israel.
Hii ni mara ya kwanza kwa Hizbullah kurusha maroketi tangu pale walipotiliana saina na Israel kusitisha vita.
Kama kawaida ving'ora vililia kwa sauti kali kwenye mji wa Metulla wa kaskazini ya Israel.
Inaonekana subira imewashinda...
Naona yanga wanalialia kama watoto kwa makosa ya ushenzi wao !! Wanataka point za mezani kwa mechi gani waliocheza? Mwamuzi alikuwa nani ,na Kamisaa alikuwa nani? Ipeni yanga pointi 3 na ikiwezekana wapewe na za nyongeza Bado mwaka huu ubingwa hauwahusu
Baada ya kukikagua kikosi chao na kile cha Yanga, Simba walijua kuwa hawako tayari kucheza derby na kufungwa tena na yanga kwa mara ya 5 mtawalia, ila hawakujua wataanza vipi kuacha kupeleka timu uwanjani siku ya mechi. Baada ya kutafakari sana wao wenyewe na kuwasiliana na baadhi ya wajumbe...
Katika hali isiyo ya Kawaida Club ya soka huko nchini Misri, imetunukiwa Alama 3 na magoli 3 kwa sababu Team ya Al ahly haikutokea uwanjani
Club hiyo Yenye mafanikio makubwa barani Afrika imegomea mchezo kwa kigezo kuwa haina Imani na marefa watakaa chezesha. Mtanange huo na kuomba waletwe...
Kwanini Yanga walilazimisha kwenda uwanjani hata baada ya mechi kuahirishwa hiyo tarehe 8 Machi 2025?
Ilikuwa ni kwenda kuondoka na majini na uchawi wao waliouacha uwanjani. Hakukuwa na namna nyingine ya kuhamisha uchawi wao mara baada ya bodi ya ligi kutangaza mechi haipo. Sasa wanaingiaje...
Watu wanadai pwenti 3 za bure wakati hata wao hawajafuata taratibu zinazoweza kuwapa nguvu ya kudai hizo pwenti tatu.
Tuachilie mbali tukio la kuvunja kanuni kwa kuzuia mpinzani wake asifanye mazoezi na kumfanyia vurugu usiku wa kuamkia mechi husika.
Tuachilie mbali kuvunja kanuni kwa kuingia...
Alfajiri ya Ijumaa chap , kiongozi mkubwa wa SSC anapokea simu kutoka kwa moja ya chawa wake ndani ya Yangakwenye kamati ya ufundi kuwa kuna aina ya Vitimbi na takataka zimefukiwa pande zote mbili pamoja na sehemu za kupitia.wachezaji , akaainisha maeeneo yote, haya yaliambatana na ushahidi...
Mm nawaza hili jambo lazima litatokea tu maana mpira wa bongo una changamoto za mda mrefu sana, yote kwa yote kwa vile wao wameshasema hawatacheza tena najua mtawapa pointi 3, lkn kubalansi mambo Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia simba wasifanye mazoezi ila Haji Manara amewadhalilisha sana na...
Amani kwenu watumishi
Walianza kama mzaha mzaha wakaanza kuwa wanashingilia sare, wakatoka hapo wakaanza kushangilia kufungwa magoli machache
Leo hii ndo wamefikia kubaya zaid wanashingilia kukimbiza team na kususa na kutokuleta team uwanjani
Sio wengine bali ni ZUCHU SIENDI FC
LONDON BOY
Kama mechi imeahirishwa wewe meneja wa uwanja kwann unaruhusu Yanga waingie uwanjani, mechi ushaambiwa haipo wewe umeruhusu Yanga waje na basi Lao waingize timu uwanjani, ulishindwa nn kufunga mageti na kuwajulisha uongozi wa Yanga kuwa mechi haipo na watu warudi majumbani.
Kuruhusu Yanga...
Meneja Habari Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe anasema timu itawasili uwanjani saa 11:00 jioni kujiandaa na mechi ya leo jioni.
Itakumbukwa bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha Mchezo wa Yanga dhidi ya Simba kwa mujibu...
Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka.
Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
Najua mnajua enyi uto mlichokifanya mlijua fika madhara yake, sasa kama mliadhimia Simba asifanye mazoezi ya mwisho, kwa nini mnalazimisha acheze hivyo hivyo? Au mlijua majini mliyoyazindika uwanjani yangeoneka ( mkajikuta mnavunja miiko ya mganga wenu)?
Sisi sio wanyonge kiasi hicho, TFF na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.