bongo

 1. Mawawa

  Bongo Fleva tulipotoka na tunapoelekea

  Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la wasanii wakifanya vizuri hasa kwenye soko la ndani. Wapo waliokuja wakajaribu bahati zao wakatoa hit song mbili tatu wakapotea. Wapo waliokomaa na gemu mpaka sasa tuna enjoy kazi zao hawa tunawaita wakongwe TULIPOTOKA. Miaka ya nyuma kabla...
 2. Tripo9

  Video: Wazee wa Sheria kibongobongo mbona hua hamli pesa za bure hizi

  Tahadhari: Kama ulikimbia umande hii haikuhusu maana yai linatemwa na mwenye yai mwemyewe
 3. P

  Wasanii Wa Bongo Movie Wakiongozwa na Steve "rais wao" Walimchongea Idris

  Rais wa Wasanii akishirikiana na baadhi ya wasanii ndio waliomchongea Idris Sultani kwa madai kuwa anajifanya mjanja kila mara anaandaa vichekesho vya kuwasema viongozi , mpango mzima wa kuhakikisha anakamatwa walifanya waao wakishirikiana na RC ili tu kumkomoa Pia wanatumia staili hiyo ili...
 4. Fibonacci

  Naombeni List ya nyimbo za hiphop ya bongo, zilizokuwa mixed na nyimbo za zilipendwa (zile za zamani)

  Mfano nyimbo ya tamaduni music - Jemedari au NashMc - Mapendo...... Natanguliza shukrani
 5. Mama Debora

  Ambrose Dunga: Producer aliyezivunja vunja Bongo Records, MJ Records kwa ma-beat makali yenye 'back vocals'

  Jana usiku wakati nachapa code za JavaScript (hii language siipendi basi tu!!) huku nasikiliza album ya Joyner Lucas -ADHD kuna wimbo mmoja unaitwa 10 Bands uli-popup. Ndani ya ngoma hii ameshirikishwa the Legend Producer Timberland. Kwa ambao hamumjui producer Timberland tafuteni ngoma za...
 6. miminimkulimaakachekasana

  Nani aliimba hii Ngoma?

  Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu kinachonifanya niikumbuke ile video ndani kulikuwa na muigiza wa kike enzi hizo:Sandra Sasa ningependa...
 7. Kendrick Rama

  Kwa hawa Rappers wa Kike Bongo wewe mkali wako ni nani?

  Rosa Ree Chemical Stosh Pinky Tammy the Baddest Cindy Rulz Frida Amani Chiku k Mimi mkali wangu ni Stosh coz huyu dada anajua kudondoka na midundo ya aina zote hasa ya tamaduni
 8. mike2k

  Nani mfalme wa muda wote wa chorus/collabo bongo fleva kati ya Juma Nature na Gnako Warawara

  Habari za wakati huu wakuu. Naomba kufahamu ni nani mkali wa machorus na colabo bongo kati ya hawa wasani wawili juma nature raia wa temeke na gnako chali ya chuga. juma Nature Juma Kassim Kiroboto 'Nature'. Tukumbuke chorus hizi Ugali Sonia Msela Ugali Radhia Sitaki Demu Kisa Demu Hatuna kitu...
 9. pancho boy

  Facebook Bongo DJ's burudani mpya mjini

  Habari wakuu. Kipindi hiki cha janga hili la COVID-19. Kimesababisha watu wajifungie ndani (lock down). Hivyo hata maeneo ya starehe yamepungua watu. MaDJ wakubwa wakaamua kuanzisha group Facebook. Ambapo huko wamewekeana ratiba (schedule) week nzima. Kuanzia asubuhi mpka usiku mnene. Mfano...
 10. Developer21

  Wadau hivi hapa Bongo unaweza kutoa fedha kupitia ATM kwa kutumia Card za bank za nje ya nchi ?

  Wadau hivi hapa Bongo unaweza kutoa fedha kupitia ATM kwa kutumia Card za bank za nje ya nchi ? Na kiwango cha mwisho cha kutoa ni tsh ngapi kwenye ATM mashine kwa siku?
 11. Jamii Opportunities

  Senior Software Engineer at Bongo Live

  Bongo Live is a cloud communications service provider based in Dar es Salaam with a presence across 18+ African markets (www.bongolive.co.tz). Our unique service provides enterprises the ability to reach and transact with customers across Africa via sms, ussd, airtime and mobile payments...
 12. teledam

  Chemsha bongo

  Mwalimu akiwa katika mazungumzo na wanafunzi wake akawaambia "Kama jana ingelikuwa kesho basi leo ingelikuwa jumamosi" je mwl aliitoa kauli hiyo siku gani? Binafsi sina jibu😝😝
 13. Dong Jin

  Wanaowalaumu wasanii wa bongo wa mziki kwa playback hawajui mziki!

  Nipo naangalia Clouds Tv hapa wameweka moja ya show ya Chris Brown... Hatofautiani sana na anavofanyaga msanii wetu pendwa Diamond Platnumz... Zile tuimbe wote kama kawa, sauti out of normal song vocal, afu ni playback... Sa sijui kwanini wasanii wetu hapa wakifanya hivo wanaonekana bogas...
 14. Pascal Mayalla

  Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa

  Wanabodi, Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Kufa Kufaana", wakati watu wanahangaika na janga la Corona, wengine wanaangazia namna ya kutumia changamoto kuzibadili kiwa fursa, yaani turning problems, obstacles, challenges or adversaries into opportunities. Tangu dunia na taifa letu kukumbwa na...
 15. Trubarg

  Corona: Wasanii wa Bongo wanaongoza kwa ukilaza

  Naongelea hasa zile basics za corona ikiwemo matumizi ya vifaa kinga kama mask, gloves na sanitizer. Wakati mashirika makubwa ya Afya duniani na vyombo vingine vya habari wakihamasisha hatua stahiki za kuchukua ikiwemo kunawa mikono na kuepusha kushikana mikono na mikusanyiko isiyo ya lazima...
 16. goldcall

  Hivi ni kweli COVID-19 haijaingia bongo au ndio tunafichaficha kama ilivyo desturi yetu?

  Kichwa chajieleza ni wasiwasi na kuto kuamini viongozi wetu,maana ni matukio mengi, huwa hatuambiwi kwa lengo la kulinda mambo fulani katika nchi au hata jinsi tutakavyo onekana nchi za nje. By fact- Tanzania inategemea bizaha nyingi sana kutoka china, kwa mfano, pale kariakoo, bizaha nyingi ni...
 17. Randy orton

  Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

  Kuna kila dalili ya jinai ya kubaka ikiwahusisha wanawake katika hii connection mpya mjini. Kwa uelewa wangu mdogo wa sheria zetu Tanzania, mwanamke hawezi kuwa convict kwa kosa la ubakaji unless iwe gang rape na huyo mwanamke/wanawake wahusike katika kusaidia ubakaji kufanyika. Hii connection...
 18. mayowela

  Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

  Hili suala linanishangaza sana kwa upande wa media, wenzetu wa nchi za mbali huko wao huajili watu kwa kazi maalumu tu ya ubunifu na hulipwa mshahara wa juu sana, na hiyo hufanya Redio/TV kuwa midomoni mwa watu wakati wote na kuwa undisputed. Sasa tuone hapa kwetu, na wewe utakuja na orodha...
 19. Z

  Ni vigumu kuamini lakini Harmonize is the new king of bongofleva. Mbeya wamethibitisha hilo. Afroeast album ndio itayotoa majibu

  Mapokezi makubwa aliyoyapokea mbeya... Yamemshtua sana kijana wetu anaepambana kuukuza mziki Wa bongo fleva. Mji wa mbeya umezizima siyo kawaida... Na hapo unaambiwa ni maandalizi ya kuupokea album. Ya afroeast . 2009 diamondplatinumz alianza hivihivi. Kama matani. Mwishowe akaubeba ufalme....
 20. mayowela

  Je, Bongozozo ana nia iliyojificha?

  Naweza nikasaidiwa humu kwa wajuzi, haya masuala siyafahamu kiundani ila kupitia maandiko mbalimbali, nk nimekuwa kuna watu siwaamini, nakukaa kwa umakini, kutokumuamini kila mtu, issue za usalama, upelelezi. Hivi Bongo ZOZO ni shabiki tu na mtu mwenye mapenzi na Tanzania au kuna kitu nyuma...
Top Bottom