The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.
Za ndani kabisa.
Mitiani imewahishwa yote, kisha serikali ikatenga billion 700 kwa kile inachokiita elinino.
Ila ukweli ni kuwa Ama Lissu atafia jela kabla ya hukumu yatehe 6 November au Akina kabudi watalazimika kuandika hukumu ya kumnyonga.
Majamaa ya Zimbabwe hayataki kabisa kumuona lissu...
1.Ndio kipaumbele cha kwanza cha Msambaa anapopata kazi mpya.
2.Msambaa anapenda gari Aina ya fuso kuliko Kitu chochote Duniani, ukimpa billion 100 na fuso yeye atachukua fuso.
3. Wanawake zao ni pisi sana
Tembelea anga zote za Tanganyika Chadema inakubalika kama chama ambacho kinaenda kuiondoa CCM ya mafisadi chini ya Samia na Kikwete ambao hawakuchaguliwa na wananchi.
Chadema chini ya Lissu na Heche kama viongozi ni mali ya Watanganyika wasiotaka utawawala wa vibaraka wa kiarabu.
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko makubwa katika safu ya watendaji wake wa mikoa, hatua ambayo imeacha maswali kuhusu sababu ya kubadilishwa kwa karibu makatibu wote wa mikoa ya kichama wakati chama kikijiandaa kuingia katika mchakato wa uchaguzi wa ndani.
Katika mabadiliko hayo...
Wakuu, salaam.
Leo, tarehe 27 Septemba 2026 majira ya saa 1 usiku, nilikumbana na tukio ambalo nimeona ni muhimu kulishirikisha ili watumiaji wengine wa huduma ya parking katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wawe makini.
Nilifika kwenye kibanda cha malipo ya parking ili kulipia huduma hiyo...
Anonymous
Thread
baada
hospitali
hospitali ya taifa
hospitali ya taifa muhimbili
huduma
huduma mbovu
kulipia
mbovu
muhimbili
parking
taifa
Labda kweli cheo kikubwa hakibadilishi akili ya mtu, kinachofanya ni kumfichua anavyofikiri na kufanya maamuzi kwa uhuru.
Mwanzoni nilikuwa nikimuona kama mtu smart sana alipokuwa RC Tabora. Hasa namna alivyoshughulikia kesi ya kumkamata tapeli aliyekuwa akiwadhulumu viongozi ilimpa credit...
Polisi nchini Afrika Kusini walisema siku ya Jumapili Septemba 27, 2026 kuwa wameanzisha msako mkali baada ya watu 17 kuuawa katika shambulio la risasi usiku wa Jumamosi Septemba 26, 2026 kwenye kilabu cha pombe (tavern) katika mtaa wa Wedela, kusini magharibi mwa Johannesburg.
Huduma za...
Wakuu na wanajukwaa wenzangu,Leo natangaza kustaafu rasmi JamiiForums. Nilijiunga hapa mnamo mwaka 2010 kwa jina la Mpinzani. Tangu siku hiyo, nimekuwa member muungwana sana—sijawahi kupigwa 'ban' wala kugombana na mtu yeyote humu ndani. Nilikuja kwa amani, na sasa naondoka kwa amani.Baada ya...
Mimi sishangai kamwe, katuga huyu huyu baada ya hii kesi ambayo inatarajiwa kufutwa baada ya Lisu kuwavua chupi hawa mawakili pompooo wa serikali kupewa ujaji.
Kama aliyekuwa hakimu kesi ya mbowe baada ya kesi kufutwa alipewa ujaji wewe unashangaa katuga kuwa nani?
Hivi wajua kingai alipanda...
Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine.
Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote.
Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
baada
ghafla
kipindi
kiuchumi
kubadilisha
kubadilisha maisha
kuishi
kushuka
kushuka kiuchumi
maisha
mrefu
muda
muda mrefu
presha
sio
tukutane
tuliowahi
uchumi
vipi
wako
Hatuna vipaji ambavyo vitufanye tuone sawa tu mchezaji wa ligue one Mbwana Samatta astaafu kuchezea timu ya taifa huku kuna mashindano ya AFCON.
Aombwe arudi ,aje astaafu baada ya AFCON, mchango wake bado unahitajika.
Leo kwenye runinga chaneli E wamemuonesha mwathirika wa agizo la mkuu wa mkoa mhe. Chalamila la kukamatwa na kuwekwa mahabusu familia yote ya Mushi wa Madale, akihojiwa huyo bibi mwenye umri kama wa Maria Nyerere au Fatuma Karume(marehemu) alisema alipofika Dar baada ya safari ndefu kutoka Moshi...
Vikosi vya IDF vilimpiga risasi na kumuua gaidi Mwarabu-koko Sami Hassan Hussein Zawaida, mwenye umri wa miaka 32 na kutoka kambi ya Jenin, baada ya kujaribu kufanya shambulio la kugonga kwa gari wanajeshi waliokuwa wakifanya operesheni katika eneo la Jenin, huko Yudea na Samaria (Ukingo wa...
Mwanamuziki Nandy amevunja ukimya baada ya kukutana na walezi wa sanaa BASATA kufuatia mjadala mkubwa wa vazi alilovaa kwenye fainali za Miss Universe.
Nandy amefafanua kuwa hakuwa utupu kama wengi walivyodhani, bali vazi hilo lilitengenezwa kwa kitambaa kinachofanana na rangi ya ngozi yake...
Ikulu ya Marekani imezindua kituo cha matangazo ya kidijitali cha saa 24 kinachoitwa “Trump TV: The Essentials Station" huku mvutano kati ya utawala wa Rais Donald Trump na baadhi ya mashirika makubwa ya habari nchini humo ukizidi.
Kwa mujibu wa Ikulu, jukwaa hilo litaangazia video muhimu...
Fidia Baada ya Miaka Kumi
Misri imelipa familia ya mwanaharakati na mshairi Shaimaa al-Sabbagh fidia ya pauni 300,000 za Misri (chini ya $6,000), zaidi ya miaka 10 tangu auawa na polisi.
Hukumu ya mahakama ilitoka 2023, lakini Wizara ya Mambo ya Ndani ilichelewesha malipo hadi wiki iliyopita...
Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo?
Kwa kuwa tukio la...
Anonymous
Thread
baada
bila
gari
katika
kuibiwa
leseni
madeni
magari
mfumo
mjini
mtu
naomba
wadau
wizi
wizi wa magari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.