JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Tunachokijua(What we Know) Uganda held a presidential election. The Electoral Commission declared incumbent Yoweri Museveni the winner with roughly 71.6% of the vote; Bobi Wine (Robert Kyagulanyi) placed second with about 24.7%. He rejected the result as rigged and had been in hiding since the vote, with soldiers reportedly raiding his home the day after the election. Bobi wine fled Uganda in the aftermath of the January 15 Presidential elections, saying he was escaping a military manhunt following the disputed election. Since then he has been in exile in the United States, from where he seeks international support and continues his opposition to President Museveni. He claimed his Reason for leaving was the fear for his life and his...
Kumekuwepo na ujumbe unaosambazwa kwenye mitandao , hususan WhatsApp, ukidai kuwa Umoja wa Mataifa (UN) ulitoa ripoti katika robo ya kwanza ya mwaka 2025 ikisema kuwa dunia ina watu bilioni 7.8, wakiwemo wanawake bilioni 5.6 na wanaume bilioni 2.2. Ujumbe huo pia unadai kuwa UN iliwashauri wanawake kuwa makini katika mtazamo wao kuhusu wanaume, kwa sababu kati ya wanaume bilioni 2.2, bilioni moja tayari wameoa, milioni 130 wako gerezani na milioni 70 wana matatizo ya afya ya akili au magonjwa mbalimbali. Kwa mujibu wa ujumbe huo, baada ya kuwaondoa makundi hayo, kuna takriban wanaume bilioni moja pekee wanaopatikana kwa ajili ya ndoa. Ujumbe huo unaendelea kudai kuwa kati ya wanaume hao bilioni moja, asilimia 56 hawana ajira, asilimia...
Kumekuwa na madai kwamba Bill Gates na baadhi ya mabilionea pamoja na wanasayansi wanaingiza kwa makusudi katika mfumo wa chakula matunda yasiyo na mbegu au yasiyoweza kuzaliana, kwa lengo la kuwafanya watu wategemee mbegu zinazodhibitiwa na makampuni yao. Katika chapisho hilo, mdai anasema kuwa mabilionea hao wanaingiza hatua kwa hatua matunda yasiyo na mbegu na yasiyoweza kuzaa katika vyakula vya kila siku. Anaongeza kuwa tunda ambalo haliwezi kupandwa tena kutoka kwenye mbegu zake na ambalo linapatikana kupitia makampuni fulani linapaswa kuwafanya watu kujiuliza kuhusu chanzo na madhumuni ya teknolojia hiyo.
Mchoro unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii unadai kuonyesha “Senators Performance Index 2026”, yaani orodha ya maseneta 47 nchini Kenya kulingana na utendaji wao, inayodaiwa kutolewa na kampuni ya utafiti ya Infotrak Research & Consulting. Kwenye mchoro huo, Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ameorodheshwa wa kwanza kwa asilimia 80, akifuatiwa na Seneta wa Kajiado Lenku Sankok kwa asilimia 76 na Seneta wa Kisumu Tom Ojienda kwa asilimia 74. Mchoro huo pia una jina na nembo ya Infotrak, jambo linaloufanya uonekane kama matokeo rasmi ya utafiti wa kampuni hiyo.
An image circulating on social media appears to show Kenya Defence Forces (KDF) recruits lying on the ground and forming the word “TUTAM”, a slogan associated with President William Ruto and his supporters. The image has been shared as though it captures a real formation by KDF recruits, raising questions about whether members of Kenya’s military participated in a display carrying a political message. But is the image real?
Back
Top Bottom