Wana habari na wasanii wamechangia kutufikisha hapa! Mtazama na Meli Tanzania.
Wanahabari wamebaki kuwa machawa na wasanii badala ya kufikiria kukuza biashara wanafikiria kuwa machawa.
Kama ilivyo kwa AIR TANZANIA sasa ni muda muafakq wa kuunda na kununua meli kubwa za mizigo ili kurahisisha utoaji wa mizigo nchini kuelekea nchi za nje.
Shipping line hii imilikiwe na serikali na tuache woga wa kufanya hivyo.
Tukajifunze IRAN,CHINA ,INDIA N.K....
Takribani Sh219.3 milioni zinaripotiwa kulipwa kama fidia ili kuikomboa meli iliyokuwa imebeba mbolea kuelekea Kenya, baada ya kutekwa na maharamia katika pwani ya Somalia kwa zaidi ya miezi minne.
Meli hiyo, MV Sward, ilitekwa Aprili 26, 2026 ikiwa njiani kuelekea Mombasa. EU Naval Force...
Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Iran ilionya kwamba shambulio lolote dhidi ya meli za mafuta za Iran lingesababisha mashambulizi dhidi ya kambi za Marekani kote katika eneo hilo, huku meli 3 za mafuta za Iran zikipigwa risasi karibu na pwani ya kusini ya Iran, karibu na Kisiwa cha Kharg na...
Captain wa meli yetu anasema yeye ndiyo captain! Sawa lakini angetakiwa kujikita kuokoa meli yeye bado anafukuza watu ndani ya meli na kulaumu abiria wakati moto unawaka kwenye meli na bila kuuzima wote watateketea
Tarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu.. Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25. Je, itazirudisha lini?
Leo ni siku 106 tangu izinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja...
Kampuni kubwa kabisa la wachina, linalojihusisha na migodi mikubwa kabisa mashariki ya Congo Zijin Mining ndio wamiliki wa meli zaidi ya nne katika ziwa Tanganyika, Meli hizo ni maarufu kwa Jina la Jin hang, na zitakuwa zikichukua makaa ya mawe kutoka bongo kwenda kwenye migodi yao mikubwa, na...
Meli yenye bendera ya Tanzania imelipuliwa na Jeshi la Russia huko kwenye Bahari Nyeusi.
Russia wanadai meli hiyoilikuwa inatumika kusaidia Ukraine.
Ni vizuri serikali yetu ikatoa majibu ya kina kuhusu ili tukio.
Hasa ukizingatia ya kuwa tuna mahusiano mazuri na Russia na juzi tuu viongozi...
Meli kubwa ya makontena duniani inayotumia gesi ya LNG, CMA CGM NOTRE DAME, imeandika historia baada ya kufanyiwa kwa mara ya kwanza ujazaji wa mafuta ya Bio-LNG katika Bandari ya Rotterdam, Uholanzi.
Bio-LNG ni aina ya mafuta yanayotengenezwa kutoka kwenye taka za kilimo na mabaki ya viumbe...
Kila siku mbinu mpya zinabuniwa ili mradi madawa ya kulevya kufika duniani kote.
Kuna mbinu mpya ambayo meli za mizigo zimejikuta zikisafirisha madawa bila kujua .
Kinachofanyika ni kwamba wanatumia wale diver
Meli wakati hipo bandarini au zikiwa zimepark.diver wanazama na vifaa maalumu na...
Wanaukumbi.
TEHRAN, Mei 10 (Xinhua) -- Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) lilionya Jumamosi kwamba "uchokozi" wowote dhidi ya meli za mafuta za Iran na meli za kibiashara utasababisha shambulio kubwa dhidi ya moja ya vituo vya kijeshi vya Marekani...
Watu watatu wamefariki baada kushukiwa kuambukizwa virusi vya hantavirus katika meli moja ya kubeba abiria iliyokuwa ikisafiri katika bahari ya Atlantiki, hii ni kulingana na taarifa iliyotolewa na shirika la afya duniani WHO.
Kisa kimoja cha hantavirus kimethibitishwa, huku visa vingine vitano...
Picha zilizopatikana na shirika la habari la Associated Press za meli ya kitalii iliyo katikati ya mlipuko wa virusi adimu zinaonyesha sitaha (decks) zilizo tupu na maeneo ya pamoja yasiyo na watu, timu za matibabu zikiwa na mavazi ya kujikinga, na mandhari tulivu mbele wakati meli hiyo na...
Hivi huyu Bibi kweli anaitakia Mema Tanzania? Ile ni meli ya kuzinduliwa na Rais? 🤣🤣🤣
Yaani Tanzania ndo tujivunie ile Meli? Hii awamu inatia aibu hadi wamekosa vya kuzindua
White Elephant..
Specification zake zinabaki kuwa mali ya Rais🤣🤣🤣
Dau lililozindua wakaliita meli.. Eti ni kijimeli...
Kuna taarifa zinasikika kuhusu Iran kwamba wamewapa muda marekani kuondoka hapo walipoweka wao kizuizi la sivyo wataamua kujenga ukuta wa zege kabisa ili iwe kazi kubwa kuufungua hata kama majadiliano yataisha kwa amani
Meli tatu zimeshambuliwa na jeshi la wanamaji wa IRGCC ikiwa mlango wa Hormuz ukiendelea kufungwa.
Meli iliyokuwa na bendera ya Panama ikitokea kwenye bandari ya Saudi Arabia na kuelekea Singapore imeshambuliwa na imepata uharibifu.
Meli ya pili ya kigiriki nayo imeshambuliwa siku ya leo baada...
Mamlaka ya Usafiri wa Majini Kenya, Kenya Maritime Authority (KMA), imethibitisha kuwa meli yenye bendera ya Kenya imezuiliwa nchini Tanzania, huku uchunguzi ukianzishwa kubaini chanzo cha tukio hilo.
Katika taarifa rasmi, KMA ilisema meli hiyo, inayojulikana kama M/V Sea Mfalme, inashikiliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.